Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachoka na ma copy cut paste YakoItakuwa mumeelewa, Iliyobaki ni mutoke huko kizani kwenye figisufigisu mje kwenye uongofu na mpate kuokoka na moto. Nyumbani kwenu ni uislamu karibuni sana
Wacha kiburi , umeelewa, Toka kizani njoo kwenye nuru kabla umauti haujakufika, ukaenda kuchomwaTunachoka na ma copy cut paste Yako
Hii pia ni copy and paste?😝😝😝Tunachoka na ma copy cut paste Yako
Vitabu vyote hivyo vilitakiwa kufungwa kifungo cha maisha kabisa maana havieleweki kabisa
Soma Mwanzo 3:1-5,3:22 utueleze nini walimaanisha
Quran sijui mara hadithi sijui hizi ni sahihi mara hizi ni dhaifu yaani mmekariri tu ila hamna kitu
Kama huelewi ni vema kuuliza kuliko kuridhika.Vitabu vyote hivyo vilitakiwa kufungwa kifungo cha maisha kabisa maana havieleweki kabisa
Soma Mwanzo 3:1-5,3:22 utueleze nini walimaanisha
Quran sijui mara hadithi sijui hizi ni sahihi mara hizi ni dhaifu yaani mmekariri tu ila hamna kitu
Kweli nimebaini Allah na Mungu wa Wa Kristo wapo tofauti sana.watu wasiojua wanasema eti Sisi wakristo na waislamu tunaabudu Mungu mmoja.kwa mfano utofauti wa Alah na Mungu wa Wa Kristo ni kwamba ukienda Kwa Allah wao unapewa eti wanawake mabikra alafu eti mke wako wa duniani anakuwa mke mkubwa,lakini huku Kwa wakristo hakuna kuoa wala kuolewa Kwa mujibu wa maandiko.hiyo niutofauti mmoja kuna mengi Sana.Issa, Musa, Daudi, yusufu, yakobo, N.k ni waarabu?
Kama umefika Chuo kikuu basi utajua Dalili au sifa za Plagiarism.
1. Kachukua wahusika wa Wayahudi
Kamtoa Musa kwenye Torati ya Wayahudi kamuweka kwenye visa vyake vya Quran kisha kafanya modification
Kamchukua Daudi na Suleiman kwenye Zaburi kampachika kwenye kitabu chake cha Quran.
Kamchukua Yesu akampa jina Issa kwenye Injili akamuweka kwenye Quran yake.
Kachukua Yona kwenye Visa vya manabii wa kiyahudi, akamuita Yunus na kumuweka kwenye Quran.
2. Kaiba Visa vya Wayahudi alafu kafanya modification.
Mfano, kisa cha Yesu/Issa
Kisa cha Yusufu
Kisa cha Musa na Kina Daudi.
Kitu pekee nilichoona Muhammad hajafanya Fair ni kumuacha kumuiba Mungu WA Wayahudi aitwaye Yehova ambaye ndiye aliyesimamia shoo zote tangu Ibrahimu mpaka Yesu, akamuweka mungu wake wa kiarabu aliyekuwa anamuabudu pale kwenye Alkaba aitwaye Allah.
Huyu ISA siyo yesu wa wakristo
Harafu unapewa nguvu za kuwaingilia wanawake kumi kwa siku Moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku ukijiburudisha na mito ya pombe huko peponi[emoji23][emoji23][emoji23]hawa jamaa wajinga sana aiseeKweli nimebaini Allah na Mungu wa Wa Kristo wapo tofauti sana.watu wasiojua wanasema eti Sisi wakristo na waislamu tunaabudu Mungu mmoja.kwa mfano utofauti wa Alah na Mungu wa Wa Kristo ni kwamba ukienda Kwa Allah wao unapewa eti wanawake mabikra alafu eti mke wako wa duniani anakuwa mke mkubwa,lakini huku Kwa wakristo hakuna kuoa wala kuolewa Kwa mujibu wa maandiko.hiyo niutofauti mmoja kuna mengi Sana.
Yaani mbingu iwe na pombe na ngono kweli Imani zingine zinatia kinyaa sanaKweli nimebaini Allah na Mungu wa Wa Kristo wapo tofauti sana.watu wasiojua wanasema eti Sisi wakristo na waislamu tunaabudu Mungu mmoja.kwa mfano utofauti wa Alah na Mungu wa Wa Kristo ni kwamba ukienda Kwa Allah wao unapewa eti wanawake mabikra alafu eti mke wako wa duniani anakuwa mke mkubwa,lakini huku Kwa wakristo hakuna kuoa wala kuolewa Kwa mujibu wa maandiko.hiyo niutofauti mmoja kuna mengi Sana.
Hapa Mtume Mohamed alikuwa possesed..Na Shetani..nakubaliana na weweMimi nilidhani kule pangoni alikuja Jibril, kumbe ni adui yake Ibris.
Ndio maana hakujitambulisha na kumkaba mtume.
Jibril miaka yote huwa anajitambulisha.
Luka 1:30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Hadi ktk maisha ya leo.
Adui kamwe hajitambulishi.
Mwizi huwa hajitambulishi.
Wachawi hawajitambilishagi.
Kuficha utambulisho ni hila za shetani.
Mgeni mwema huwa anajitambilisha bila shaka yoyote, na wakati wote na kujibu maswali yote.
Shetani Ibris huwa hajitambulishi hadi hii leo.
Tafakari chukua hatua.
Sio mimi tu.Hapa Mtume Mohamed alikuwa possesed..Na Shetani..nakubaliana na wewe
Sio mimi tu.
Mtume Muhammadi baada ya kukabwa na kurudi nyumbani. Mkewe Hadija alimwuliza kulikoni upo katika hali hiyo (maana alikuwa anaugulia maumivu ya vipigo toka kwa aliyemtokea pangoni)
Muhammadi mwenyewe akamjibu mkewe "nahisi kuzugwa na mashetani"
Mkwewe akaogopa sana, ikabidi ampeleke kwa Padri Mkatoriki aliyeitwa Waraqa Bin Naufal.
Baada ya kujieleza kilichomtokea kule pangoni ndipo huyo Padre akamjibu.
"Bila shaka aliyekutokea kule Pangoni ni Malaika Jibrili, hivyo basi nakubashiria kuwa Mtume wa Umma huu nami nitakuwa upande wako wa kulia utakapo utangeneza umma wako"
Na tokea hapo Padri Walaqa ndiye aliyekuwa Mwandishi wa Wahayi aliodai kuteremshiwa Muhammadi na Malaika Jibrili.
Muhammadi mwenyewe alijua kuwa huyu aliyenitokea ni shetani.
Kwani Eva aliubwa Ili Adamu amfanyaje kama siyo kumpiga miti, kula na kunywa kwa pamoja.Yaani mbingu iwe na pombe na ngono kweli Imani zingine zinatia kinyaa sana
Okay wewe kwa mujibu wa Mungu wako amekuahidi nini ukifika mbinguni kama binadamuHarafu unapewa nguvu za kuwaingilia wanawake kumi kwa siku Moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku ukijiburudisha na mito ya pombe huko peponi[emoji23][emoji23][emoji23]hawa jamaa wajinga sana aisee
Waliambiwa wakazaane ,Kwani Eva aliubwa Ili Adamu amfanyaje kama siyo kumpiga miti, kula na kunywa kwa pamoja.
Kwa hiyo unahisi ukifika mbinguni utaishi kama malaika...bro wewe binadamu huwezi kuwa malaika...mbinguni utakula na kunywa
Kwahiyo wewe unavutiwa kwenda kufanya ngono na kulewa pombe? Hiyo ni mbingu kweli? Endeleeni kufuga majini hao ndg zenu na kufanya ushirikina kwa mujibu wa dini yenu ila mbingu mtaisikia tuOkay wewe kwa mujibu wa Mungu wako amekuahidi nini ukifika mbinguni kama binadamu
Ukute unapambana kuishi kwa Imani nzuri afu huna ahadi yoyote mbinguni .
Eti unaahidiwa ukifika mbinguni utakuwa unaimba...Sasa wewe kama binadamu kuimba ndio starehe yako ni kitu kinachokuvutia hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waliambiwa wakazaane ,
Hii Pepo ya Allah mkishakula na kushiba mtainyea? Na pia mkisha kunywa pombe mtakujoa mkojo wa pombe ?