Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Itakuwa mumeelewa, Iliyobaki ni mutoke huko kizani kwenye figisufigisu mje kwenye uongofu na mpate kuokoka na moto. Nyumbani kwenu ni uislamu karibuni sana
 
Tunachoka na ma copy cut paste Yako
 
Tunachoka na ma copy cut paste Yako
Hii pia ni copy and paste?😝😝😝

Itakuwa mumeelewa, Iliyobaki ni mutoke huko kizani kwenye figisufigisu mje kwenye uongofu na mpate kuokoka na moto. Nyumbani kwenu ni uislamu karibuni sana
 
Vitabu vyote hivyo vilitakiwa kufungwa kifungo cha maisha kabisa maana havieleweki kabisa
Soma Mwanzo 3:1-5,3:22 utueleze nini walimaanisha
Quran sijui mara hadithi sijui hizi ni sahihi mara hizi ni dhaifu yaani mmekariri tu ila hamna kitu
 
😀😀😀
 
Kama huelewi ni vema kuuliza kuliko kuridhika.
Neno Nyoka kwanye Biblia linamaanisha Shetani yaani Ibirisi.

Ufunuo wa Yohana 12:7
Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;

(Hapo panaeleza vita ya Malaika wema wakiongoza na Michael na Malaika waasi wakiongozwa na Lusifer)

Ufunuo wa Yohana 20:2
Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
 
Issa, Musa, Daudi, yusufu, yakobo, N.k ni waarabu?

Kama umefika Chuo kikuu basi utajua Dalili au sifa za Plagiarism.

1. Kachukua wahusika wa Wayahudi
Kamtoa Musa kwenye Torati ya Wayahudi kamuweka kwenye visa vyake vya Quran kisha kafanya modification
Kamchukua Daudi na Suleiman kwenye Zaburi kampachika kwenye kitabu chake cha Quran.
Kamchukua Yesu akampa jina Issa kwenye Injili akamuweka kwenye Quran yake.

Kachukua Yona kwenye Visa vya manabii wa kiyahudi, akamuita Yunus na kumuweka kwenye Quran.

2. Kaiba Visa vya Wayahudi alafu kafanya modification.
Mfano, kisa cha Yesu/Issa
Kisa cha Yusufu
Kisa cha Musa na Kina Daudi.

Kitu pekee nilichoona Muhammad hajafanya Fair ni kumuacha kumuiba Mungu WA Wayahudi aitwaye Yehova ambaye ndiye aliyesimamia shoo zote tangu Ibrahimu mpaka Yesu, akamuweka mungu wake wa kiarabu aliyekuwa anamuabudu pale kwenye Alkaba aitwaye Allah.
Kweli nimebaini Allah na Mungu wa Wa Kristo wapo tofauti sana.watu wasiojua wanasema eti Sisi wakristo na waislamu tunaabudu Mungu mmoja.kwa mfano utofauti wa Alah na Mungu wa Wa Kristo ni kwamba ukienda Kwa Allah wao unapewa eti wanawake mabikra alafu eti mke wako wa duniani anakuwa mke mkubwa,lakini huku Kwa wakristo hakuna kuoa wala kuolewa Kwa mujibu wa maandiko.hiyo niutofauti mmoja kuna mengi Sana.
 
Harafu unapewa nguvu za kuwaingilia wanawake kumi kwa siku Moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku ukijiburudisha na mito ya pombe huko peponi[emoji23][emoji23][emoji23]hawa jamaa wajinga sana aisee
 
Yaani mbingu iwe na pombe na ngono kweli Imani zingine zinatia kinyaa sana
 
Mimi nilidhani kule pangoni alikuja Jibril, kumbe ni adui yake Ibris.

Ndio maana hakujitambulisha na kumkaba mtume.

Jibril miaka yote huwa anajitambulisha.

Luka 1:30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

Hadi ktk maisha ya leo.
Adui kamwe hajitambulishi.

Mwizi huwa hajitambulishi.

Wachawi hawajitambilishagi.

Kuficha utambulisho ni hila za shetani.

Mgeni mwema huwa anajitambilisha bila shaka yoyote, na wakati wote na kujibu maswali yote.

Shetani Ibris huwa hajitambulishi hadi hii leo.

Tafakari chukua hatua.
Hapa Mtume Mohamed alikuwa possesed..Na Shetani..nakubaliana na wewe
 
Sio mimi tu.
Mtume Muhammadi baada ya kukabwa na kurudi nyumbani. Mkewe Hadija alimwuliza kulikoni upo katika hali hiyo (maana alikuwa anaugulia maumivu ya vipigo toka kwa aliyemtokea pangoni)

Muhammadi mwenyewe akamjibu mkewe "nahisi kuzugwa na mashetani"

Mkwewe akaogopa sana, ikabidi ampeleke kwa Padri Mkatoriki aliyeitwa Waraqa Bin Naufal.
Baada ya kujieleza kilichomtokea kule pangoni ndipo huyo Padre akamjibu.
"Bila shaka aliyekutokea kule Pangoni ni Malaika Jibrili, hivyo basi nakubashiria kuwa Mtume wa Umma huu nami nitakuwa upande wako wa kulia utakapo utangeneza umma wako"
Na tokea hapo Padri Walaqa ndiye aliyekuwa Mwandishi wa Wahayi aliodai kuteremshiwa Muhammadi na Malaika Jibrili.

Muhammadi mwenyewe alijua kuwa huyu aliyenitokea ni shetani.
 
🙏🏽🙏🏽
 
Yaani mbingu iwe na pombe na ngono kweli Imani zingine zinatia kinyaa sana
Kwani Eva aliubwa Ili Adamu amfanyaje kama siyo kumpiga miti, kula na kunywa kwa pamoja.
Kwa hiyo unahisi ukifika mbinguni utaishi kama malaika...bro wewe binadamu huwezi kuwa malaika...mbinguni utakula na kunywa
 
Harafu unapewa nguvu za kuwaingilia wanawake kumi kwa siku Moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku ukijiburudisha na mito ya pombe huko peponi[emoji23][emoji23][emoji23]hawa jamaa wajinga sana aisee
Okay wewe kwa mujibu wa Mungu wako amekuahidi nini ukifika mbinguni kama binadamu
Ukute unapambana kuishi kwa Imani nzuri afu huna ahadi yoyote mbinguni .
Eti unaahidiwa ukifika mbinguni utakuwa unaimba...Sasa wewe kama binadamu kuimba ndio starehe yako ni kitu kinachokuvutia hicho.
 
Kwani Eva aliubwa Ili Adamu amfanyaje kama siyo kumpiga miti, kula na kunywa kwa pamoja.
Kwa hiyo unahisi ukifika mbinguni utaishi kama malaika...bro wewe binadamu huwezi kuwa malaika...mbinguni utakula na kunywa
Waliambiwa wakazaane ,

Hii Pepo ya Allah mkishakula na kushiba mtainyea? Na pia mkisha kunywa pombe mtakujoa mkojo wa pombe ?
 
Okay wewe kwa mujibu wa Mungu wako amekuahidi nini ukifika mbinguni kama binadamu
Ukute unapambana kuishi kwa Imani nzuri afu huna ahadi yoyote mbinguni .
Eti unaahidiwa ukifika mbinguni utakuwa unaimba...Sasa wewe kama binadamu kuimba ndio starehe yako ni kitu kinachokuvutia hicho.
Kwahiyo wewe unavutiwa kwenda kufanya ngono na kulewa pombe? Hiyo ni mbingu kweli? Endeleeni kufuga majini hao ndg zenu na kufanya ushirikina kwa mujibu wa dini yenu ila mbingu mtaisikia tu
 
Waliambiwa wakazaane ,

Hii Pepo ya Allah mkishakula na kushiba mtainyea? Na pia mkisha kunywa pombe mtakujoa mkojo wa pombe ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom