Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa

Uwe na akili
Biblia sio kitabu
Biblia ni neno la mkusanyiko wa vitabu bu
Kama ilivyo dictionary sio kitabu bali ni umoja wa maneno
 
Yesu hajuwi Biblia ni nini, hajawahi kuiona wala kuisikia.

Biblia yenyewe haijijuwi, hutokuta ndani ya kitabu kinachoitwa biblia neno biblia.

Uwe na akili biblia sio kitabu biblia ni neno tu

Maana ya neno biblia ni vitabu sio kitabu ni vitabu Yaani kwa wingi
 
Kuna Mahali nimesema Yesu Kristo anaijua Biblia? Mbona unapenda kujizezetesha bila ya sababu za Msingi?

Kwa ivo unataka kusema Ili Biblia iwe Biblia ni Lazima ndani mwake kuandikwe neno Biblia?? Acha kujichetua wewe Mzee!!

Kusema neno biblia kwa Kiswahili ni vitabu sio kitabu
Biblia ni neno sio kitabu
 
Biblia & Quran ni vitabu vya hadithi vilivyotungwa ili iwe rahisi kutawala watu, unawamezesha watu matango pori yakishawakolea unaanza kuwa command kama maroboti, unawaambia kabisa hamruhusiwi kuhoji hiki nachowafundisha na mkifikiri tifauti ni sawa na mmetenda dhambi mtaenda motoni, mazombi yanaitikia Sawa Shemasi/Sheikh
 
Mkusanyiko wa vitabu au siyo?

Nani aliviita "biblia" kwa mara ya kwanza? Kwanini isiwe babcheka?

word Bible is derived from Koinē Greek: τὰ βιβλία, romanized: ta biblia, meaning "the books" (singular βιβλίον, biblion). The word βιβλίον itself had the literal meaning of "scroll" and came to be used as the ordinary word for "book".

Biblia ni neno la kigiriki ambalo maana yake ni vitabu
Yaani unaposema biblia kwa Kiswahili ujue una maanisha vitabu
 
Akili huna wewe tuishie hapo ,,hutakuja kuelewa umemezeshwa vibaya sana
 
Kwanini kitabu kilichoandikwa na Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kina contradiction lukuki?
 
Hata biblia nayo imesheheni contradiction nyingi tu.

Uwepo wa contradiction hizo zinaonyesha kabisa kuwa si kitabu cha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
 
Biblia ilitungwa na warumi ambao ndio waanzilishi wa kanisa baada ya kuiba maandiko ya hadithi za waafrika walioishi miaka mingi kabla ya uwepo wa dini yoyote hapa dunian wala uwepo wa jamii za watu weupe.
Infropreneur kasema ni hadithi za Wayahudi, inakuwaje wewe unasema ni za Waafrika?
Biblia+Qur'an sio vitabu vitakatifu bali ni maandiko ya watu waliotunga kwa manufaa yao ya kucontroll akili za watu kwa kuwajaza uwoga na kuwaaminisha uongo.
Hao watu ndiyo tunataka kuwajua walikuwa wakina nani??
Hii nadharia yako utaithibitishaje?
Bible imepitia michakato mingi ya kuedit kama kwel Neno la Mungu linaeditiwa je laweza kuwa kwel?
Neno la Mungu ni lipi na kipi kinatokea linapoeditiwa??
 
Jibu maswali niliyouliza??
 
Hata biblia nayo imesheheni contradiction nyingi tu.

Uwepo wa contradiction hizo zinaonyesha kabisa kuwa si kitabu cha Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.
Jibu maswali nilyoulliza kabla ya.kukosoa maudhui ya kitabu!
 
Wanao kataa wengi hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…