Kama Biblia ni kitabu cha kutungwa, nani alikitunga na chanzo na kusudio lake ni nini?

Asante for proove my point.
Sikujua Hilo, kumbe uchakachuaji ni mkubwa.
Ndio maana Quran ni kiarabu pekee na tafsiri hata iwe ya kiarabu rahisi Bado Quran Halisi.
Hapo nimethibitishaje hoja yako?

Kwenye hoja ya weupe kati ya maziwa na theluji kimantiki kuna utofauti gani?
 
Hapo nimethibitishaje hoja yako?

Kwenye hoja ya weupe kati ya maziwa na theluji kimantiki kuna utofauti gani?
Kuna uhusiano gani wa maziwa na theluji.
White haiwezi kuwa colorless !
Au snow,frost,ice hiki ni kingereza lakini kiswahili zote ni barafu.
Hivyo jinsi lugha inavyo kosa misamiati basi maana nayo hupotea
 
Anayesema siyo za kweli ndiye mwenye zigo la kuthibitisha!!

Yaani Biblia yenye miaka mamia ndiyo anayeikubali aithibitishe?

Anayepinga ndiye aje athibitishe kuwa ni ya Kutungwa!!
Nadhani mnapo jadiliana hizi mada mlipaswa kuwa open minded instead of Fixed minded.mngeelewana vizuri.
 
Barafu na theluji ni sawa? Au hujui kuwa siyo kila barafu ni theluji?

Maana na Mantiki ni vitu viwili tofauti ingawa maana ni sehemu ya Mantiki!!
 
Nadhani mnapo jadiliana hizi mada mlipaswa kuwa open minded instead of Fixed minded.mngeelewana vizuri.
Sawa. Hiyo "Open minded" lakini haiondoi ukweli kuwa mada hii maudhui yake yanaongozwa na maswali niliyouliza Mwanzo wa Mada hii.
 
Anayesema siyo za kweli ndiye mwenye zigo la kuthibitisha!!

Yaani Biblia yenye miaka mamia ndiyo anayeikubali aithibitishe?

Anayepinga ndiye aje athibitishe kuwa ni ya Kutungwa!!
Hujanielewa nlichokisema,

Nmekwambia hv, uwepo wa contradiction ndani ya hadithi hizo pamoja na hadithi tata zisizowezekana katika uhalisia, zinatia chachu ya kuhojiwa uhalisia wake,

Uwepo wa contradiction ni uthibitisho kuwa si hadithi za kweli!!

Wewe unathibitisha vipi kuwa ni hadithi za kweli!?
 
Ukifuatilia kwa makini, huenda na Waafrika nao walikuwa na vitabu vyao vya hadihi kiimani, ila wazungu wakatuhadaa na kuziita hadithi za kipuuzi na za kwao zikawa za maana. Leo hii Biblia ni hadithi za kizungu.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni hisia tu. Kama Kuna hadithi za kiafrika mbona hatuzijui. Au sisi siyo waafrika?
 
Unadhani ni asilimia ngapi ya Biblia Ina migongano?

Maana Ili tuhitimishe kuwa Biblia mkusanyiko hadithi zake ni za kutungwa, inabidi angalau ziwe ni zaidi ya asilimia hamsini.
 
Unadhani ni asilimia ngapi ya Biblia Ina migongano?

Maana Ili tuhitimishe kuwa Biblia mkusanyiko hadithi zake ni za kutungwa, inabidi angalau ziwe ni zaidi ya asilimia hamsini.
Hiyo ni sheria yako umeitunga,

Hakuna sehemu yeyote ambayo hudai kuwa ili hadithi iwe ya kutungwa, migongano ni lazima ifikie 50%!!

Je unakubali kuwa unaamini kitabu chenye contradiction!?
 
Hiyo ni sheria yako umeitunga,

Hakuna sehemu yeyote ambayo hudai kuwa ili hadithi iwe ya kutungwa, migongano ni lazima ifikie 50%!!

Je unakubali kuwa unaamini kitabu chenye contradiction!?
Tolea mfano wa hiyo mikinzano. Ngoja aje Mzee wa "Sabato njema" johnthebaptist achangie.
 
Kumbe ndio ilivyo basi sawa haina shida.
 
Wala sijakuelewa comred.
 
Wala sijakuelewa comred.
Ni hivi, biblia ni mkusanyiko wa maandiko matakatifu ikiwemo torati na Zaburi, na iliandikwa na manabii na mitume tofauti

Sasa mtu atasemaje ni injili, torati na zaburi peke yake ilhali kuna hivyo vingine?

Mfano Musa kaandika vitabu zaidi ya kimoja ikiwemo Mwanzo, kutoka ,Mambo ya walawi, na Kumbukumbu la torati

na hivyo na vingine ndio vimeleta Biblia
 
Hakuna kitabu Cha mungu kinachoitwa biblia vitabu vinavo julikana ni 4 na vilishushwa Kwa kila zama
1.Zaburi
2.Torati
3.Injili
4.Quran
Endeleeni kufata wazungu na warabu mkija kujua ukweli wa dunia inavoeenda mmechelewa
Upuuzi
 
People in the bible did not read the bible.
Not true,Jesus in many occasions quotes Old testament scriptures.

Even the Gospel of Mathew quotes a lot of scriptures from old testament.

Jesus read the scriptures when he introduced himself for the first time in the synagogue.

They did not quote the New testament because they were living in it,so it wasn't yet written.
 
Swali langu je watu wanauhakika gani kuwa yaliandikwa katika bible ni sahihi watu hawakutia chumvi zao ?
 
Swali langu je watu wanauhakika gani kuwa yaliandikwa katika bible ni sahihi watu hawakutia chumvi zao ?
Hiyo siyo hoja ya bandiko hili. Hapa mjadala ni kama Biblia ni kitabu cha kutungwa au la?
 
Ata kama ni kitabu cha kutunga lakini watunzi hawakutumia akili za kibinadamu hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…