Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Hapo mbezi hao wana kikoba walivamia kwenye nyumba ya mdaiwa yaani yule baba pamoja na u polisi wake walinyanyua tv aliyokuwa akiangalia,

Mwingine mwanamke alikopa benki kisirisiri walienda kupiga nyumba mnada mwanaume yuko ndani.

Uliza sasa hizo hela wanachofanyia, ni aibu tupu
 
Tena wanaliwa kwa hela ya kawaida kabisa
Wanaunga unga ili wakamilishe....Juma katoa buku 5 , Jose buku 5 akipata na wengine wa 2 ana 20 ya mchezo wanajua kwenda kupiga 20 mara moja ni ngumu kwa usawa huu maana michezo yao ni kila siku, kupata huyo kidume wakutoa 20 kila siku mbinde
 
Mnafanyia nini hizo hela, tupe madini
 
Wanaunga unga ili wakamilishe....Juma katoa buku 5 , Jose buku 5 akipata na wengine wa 2 ana 20 ya mchezo wanajua kwenda kupiga 20 mara moja ni ngumu kwa usawa huu maana michezo yao ni kila siku, kupata huyo kidume wakutoa 20 kila siku mbinde
Hayupo .hapo mke anakuwa kahaba wa chini kwa chini
 
Watanzania wengi wamesoma kwa vicoba na pombe ya gongo huo ndio ukweli. Halafu unakuta mpumbavu anamsahau mama yake anahonga kahaba. Sema tu wazazi huwa wanamuachia MUNGU tu, mtu akiwaza kalala mara ngapi kituoni kwa kesi za gongo, au vitu vyake vya ndani vilichukuliwa kwa marejesho ya vicoba leo toto limetekwa na kahaba ndo anafaidi. Mungu awatie nguvu wamama wote
 
Mademu wanaturoga sana hadi tunasahau wazazi
 
Demu anagawa uroda Hadi kwa mpalange kwa 5000 TU kitaani...SI Bora aende akawe Malaya pale yule wa 3000 3000 anaweza kuokota hata 40000 kwa usiku mmoja na nyuma asitoe otherwise kwa 20000.
 

Usiseme serikali ipige vita vikoba
Sema wanaume wawajibike kusimama kwenye nafasi zao

Binafsi sijawahi cheza vikoba wala sina huo mpango ila sioni sababu muhimu ya serikali kuweka katazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…