Msipende kupinga kila kituWewe mbona unatapatapa sana wewe? Nenda huko Lumumba
Lakini kuna shabiki moja wa Saccos alikuwa anafananisha maendeleo ya Ethiopia na fly overs za nguvu na ndege kibao lakini watu wanakimbilia nchi zingine, hivyo Tz au Bongo tulikuwa tunaelekea huko, kumbe matatizo ya Ethiopia sio maendeleo ya vitu bali ni tatizo la asili au siku nyingiEthiopia wana matatizo toka kitambo sababu za koo zao siyo majimbo - kama majimbo yangekuwa tatizo basi nchi ya Kenya, Rwanda, South Africa, Mazambique, Lesotho, na Angola kungekuwa na vita
Shida yako ni uelewa
ktk maisha toa mfano mmoja kujustfy umanishacho mfano ktk nchi znazofata mfumo huo znazofanikiwa na zinazoferiKwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
IMEVUJAAA!!!!Mkuu unapoandika uwe unajaribu kidogo kutulia na kushusha pressure.
Yanini utake facts angali ulichoandika hakieleweki?
#"Was"!
#"Maendekeo"!
watu hizi propaganda za kipuuzi mnamdanganya nazo nani siku hizi?
Mbona hutolei mfano serikali za majimbo za Marekani?
Ethiopia vita zao ni za enzi, nyie endeleeni kumdanganya Awafu mpate ugali.
KILA sentensi mbili unamuweka LISSU....hivi amewafanyaje?ukiona hivi huu uchaguzi Kuna KITU amewafanya.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaeni kwa kutulia....Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hebu jaribu kusoma tena ulichokiandika.
Aisee,pole Sana.....HAYA MAKANDE YALOCHACHA ULIYOYAANDIKA KAMLISHE SLOW SLOW.....IMEVUJAAA!!!!
Ujerumani na Marekani zapanga kuhujumu Tanzania
Taarifa kutoka ndani ya Balozi za nchi hizi mbili zimethibitisha kuwa kuna mipango inasukwa ya kuihujumu Tanzania. Mipango hiyo inaandaliwa na Marekani na Ujerumani kupitia Balozi zao nchini.
Taarifa zilizopo ni kwamba Dkt. DONALD J. WRIGHT (US Ambassador) na Bi. REGINA HESS (Germany Ambassador) walianza kutekeleza mipango hiyo baada kujionyesha wazi kwa kumsindikiza Airport aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu Tanzania TUNDU ANTIPHAS LISSU
Maagizo yaliyotolewa kwa Mabalozi wa Nchi hizi mbili ni kwamba wahakikishe wanawasaidia Wagombea wote wa Upinzani ambao walishindwa Uchaguzi hususani wa CHADEMA ili waende kuishi Ujerumani pamoja na Familia zao.
Lengo ni kuwapa Mafunzo Maalum ya namna ya kuvuruga nchi ambayo yatahusishwa na Political Violence Vurugu za Kisiasa yatakayotolewa na Majasusi wa Marekani na Ujerumani.
Viongozi hao wa Upinzani wametakiwa kuzichukua na Familia zao kwani watakuwa wanalipwa kila mwezi USD 5000 sawa na (Tshs. 11,595,000/=) na kupewa makazi, ndio maana tumeona tayari LISSU ameondoka na familia yake na wengine wanaofuata ni LAZARO NYARANDU, ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA.
Watakaobaki nchini wametakiwa kuendelea kukijenga Chama ili watakaomaliza mafunzo wakirudi waanze mikakati ya kuivuruga Tanzania kwa kuanzisha Political Violence (Vurugu za Kisiasa) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Na ndio maana hatumsikii JOHN MNYIKA, JOHN HECHE, HALIMA MDEE, ESTER BULAYA na wengine wakilalamikia kutishiwa maisha kwa kuwa wao wametakiwa kubaki nchini ili kuendelea kulinda uhai wa Chama na wataendelea kulipwa kama wenzao watakaokuwa wanaishi Ujerumani.
Watanzania tujiandae kwa jaribio la Pili maana jaribio la kwanza la kutaka kutuvuruga kwenye Uchaguzi huu wameshindwa kutokana na Umoja wetu, na sasa wanekwenda kuongeza ujuzi wa jinsi ya kutugawa ili waendeshe vurugu na kufanikiwa azma ya MABEBERU kutaka nchi isitawalike ili wao wavune mali kirahisi.
UMOJA NDIO SILAHA YETU!
Watanzania wapi wa wapi hao walimjibu Lisu kwa kura zipi? Maana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kawachagua CCM kwenye uchaguzi huu haramu wa kishetaniUzuri watanzania walishamjibu Lissu kwa njia ya kura!
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angefikaje Belgium?tuombe samahani watanzania Lisu sio mtanzania ni mbelgiji
Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni? Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba? au umehamia kuvutia kwa Le mutuz?KILA sentensi mbili unamuweka mumeo LISSU....hivi amewafanyaje?ukiona hivi huu uchaguzi Kuna KITU amewafanya.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaeni kwa kutulia....
Nitake radhi MKUU....kunihusisha na CCM NI KOSA KUBWA SANA...ambalo sidhan Kama litasameheka....,ila ITATEGEMEA NIMEAMKAJE...Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni? Bado unavuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba? au umehamia kuvutia kwa Le mutuz?
NI kweli walimjibu....kwa kumpa kura za KUTOSHA....mkaamua kuzikwapua...ila MUNGU HASHINDWI....Uzuri watanzania walishamjibu Lissu kwa njia ya kura!
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Mbona hajaweka majimbo mengine kama: -Provinces of Burundi
===========.====
- Bubanza.
- Bujumbura Mairie.
- Bujumbura Rural.
- Bururi.
- Cankuzo.
- Cibitoke.
- Gitega.
- Karuzi.
Burundi majimbo yapo lkn chanzo cha migogoro yao hakihusiani na majimbo isipokuwa ukabila (hakuna jimbo lililosimama kupigana na jimbo lingine ila mtu kupigana na mtu mwingine).
Hakili ni nini mkuu?Hakili za waafrika bado zina zina usokwe ndani yake.
Ndiomaana unaona mtu akipata wazifa fulani anaona wale wachini yake ote wajinga na kawana hakili kama yeye.
Lisu mwenyewe...yuko katulia kwa mabeberu hukoKwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
huwa mkiambiwa ukweli mnaweweseka yule bwana alikuwa mpuuzi sana kwa sababu ya kauli zakeWewe mbona unatapatapa sana wewe? Nenda huko Lumumba
huoni kenyan wanavyopata tabu sana na haya majimbo kwa sababu ya ukosefu wa pesa za kutosha kuendesha jimbo vp kuhusu nakuru usituletee mifano ya kipuuz hata Amerika kaskazini kuna shida sembuse Burundi ambako civil war ni normalMbona kwa Akina Nkurunziza hakuna majimbo na vita vya wa Hutu na wa Tutsi kila siku?
Namibia, Botswana, South Africa, Kenya etc kuna serikali za majimbo lakini hakuna shida?
Huu uzi wapelekee Darasa la saba ndio watakuelewa
Asante mkuu hay yalikua maoni yangu tuwe akili huna huoni kenyan wanavyopata tabu sana na haya majimbo kwa sababu ya ukosefu wa pesa za kutosha kuendesha jimbo vp kuhusu nakuru usituletee mifano ya kipuuz hata Amerika kaskazini kuna shida sembuse Burundi ambako civil war ni normal