Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

Je Chadema walikueleza Majimbo Yataongozwaje? Au umeamua kujiongeza wewe na akili kisoda.
Nchi haihitaj jimbo ili kuchafuka
 
Following the Treaty on the Creation of the USSR of 1922, the Russian Soviet Socialist Federative Republic, Ukrainian Socialist Soviet Republic, the Byelorussian Socialist Soviet Republic and the Transcaucasian Socialist Federative Soviet Republic established the Union of Soviet Socialist Republics (USSR).

The treaty established the government, which was later legitimised by the adoption of the first Soviet constitution in 1924. The 1924 constitution made the government responsible to the Congress of Soviets of the Soviet Union. In 1936, the state system was reformed with the enactment of a new constitution. It abolished the Congress of Soviets and established the Supreme Soviet of the Soviet Union in its place.

================
Uko sahihi kuwa USSR ni muunganiko wa nchi za kisovieti - lkn chini ya huyo uliyemtaja kwa jina la Gorbachev alikuwa wakala wa USA ili kuiangusha USSR - na CIA siku zote wametumia njia hiyo hata kwenye mataifa yasiyokuwa na majimbo i.e Libya, Tunisia, Iraq nk
 
Watanzania wapi wa wapi hao walimjibu Lisu kwa kura zipi? Maana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kawachagua CCM kwenye uchaguzi huu haramu wa kishetani
Hizo porojo zenu, endeleeni kujifurahisha
 
NI kweli walimjibu....kwa kumpa kura za KUTOSHA....mkaamua kuzikwapua...ila MUNGU HASHINDWI....
Inaelekea nyie mnaishi JF, hamuishi Tanzania.
Mtaani kote ngoma ni JPM tu, wasanii wa upinzani tupa kule. Kama wabunge, madiwani na viongozi wengi tu wa ndani ya CHADEMA walishajitoa wenyewe baada ya kuona usanii wa Mbowe, unashangaa nini watu wengine wakiisusa CHADEMA kwa kutoipa kura?
 
Hata kama mnalipwa kutetea udhalimu ndugu zanguni, kuna wakati mnatakiwa kutumia vichwa.

Kwa kukusaidia tu mtoa uzi, hizi propaganda ni nzuri mno hasa kwa watu wa vijijini na wale wasio na ufahamu wa mambo.

Ukiwalisha hizi propaganda utawanasa kama kumbikumbi.

Lakini ukizileta kwa watu wenye utambuzi ni sawa na kuwatusi.

You are actually insulting my intelligence.

Sera ya majimbo ililenga kuleta uhuru wa mfumo wa kifedha, kibajeti na kiuchumi katika maeneo husika.

Serikali kuu imehodhi fedha zote kiasi kwamba hata ukitaka kujenga tundu la choo uende ukampigie magoti magufuli.

Magufuli hana macho ya kutazama nchi nzima kwa wakati mmoja. Ndio maana umasikini umetapakaa kila mahali kwa sababu tuna mungu mtu anayeishi chato mwenye maamuzi ya kila kitu.

Hii haifai. Lazima tuwe na utaratibu wa kifedha katika local levels.

Barabara, maji, miundombinu vyote vingepaswa kushugulikiwa na mamlaka za chini.

Sasa hivi hata ukitaka kujamba lazima uombe kwanza ruhusu kwa magufuli.

Nchi ya namna hiyo ya kumuabudu dikteta ni nchi ambayo imekwisha kujifia.

Tunaenda tu kama manyumbu.
 
Labda kichaa tu atakayeipigia kura ccm.

I can assure you, uchaguzi ukiwa huru, kura zikapigwa na kuhesabiwa hadharani, huo ndio utakuwa mwisho wa hicho chama cha wahuni.

Tunafanya maigizo tu. Mara sijui kupita bila kupingwa?

Tumaigizo maigizo twa hapa na pale!
 

Hakuna tofauti ya kanda na majimbo mfumo wa Kenya ni mfano wa Lissu alivyokuwa anataka. Ethiophia ina matatizo toka zamani
 
Ungeachana na mambo ya Lissu, nakuambia hii miaka mitano itakatika na ulambi teuzi
 
Binti ungekua umeolewa ningekushauri muda unaoupoteza kuandika pumba hapa JF ungeutumia kumridhisha mmeo, ila ni bahati mbaya sana bado unadanga tu na kuchukua waume za watu.
 
.
Na hakika hawataweza Tanzania ni nchi teule kila Aina ya jaribio la kuiharibu halitafanikiwa kamwee.
 
Wale Watigrey wala hawana shida Yule waziri wao
mkuu Abhi AHMADI ndo anasababisha haya yote ,Nadhani Ile tunzo ya Nobel aliyoipata ndo ina Mpa jeuri.
 
Hivi nyie watu hizi propaganda za kipuuzi mnamdanganya nazo nani siku hizi?

Mbona hutolei mfano serikali za majimbo za Marekani?

Ethiopia vita zao ni za enzi, nyie endeleeni kumdanganya Awafu mpate ugali.
Soma historia utaona jinsi vita imetumika kuweka hayo majimbo pamoja tangu mwaka 1776. Na wakati wanatofautiana hapakua na uingiliaji wa nje wenye nguvu kama kwa nchi za kiafrika zinavyoingiliwa na wakoloni wao wa zamani na wanyonyaji wengine dumiani.
 
Ni kweli, Mbowe kawa nyumbu kabisa wala hajitambui......kimyaaaaa utadhani yuko chooni anakunya huku akisoma gazeti.
Mkuu mbona unaniwekea maneno kinywani mwangu? Nimesema mwenyekiti wangu unakimbilia kumtaja Mbowe. Si muwaache watulie, tushawapora bado tunawafuata. Mimi ni kada mzoefu wa CCM, alafu siasa haifanyiki hivyo. Kama unaona hii ni baiskeli bado unang'ang;ania kuwa ni pikipiki, basi kuna shida mahala
 
Post utopolo ya UVCCM hii, Congo, Somalia kuna majimbo ? Ambapo wanapigana vita.

Ebu angalia USA, KENYA penye majimbo kuna vita ?, migogoro ndani ya nchi sio sbb ya majimbo ni uongozi wa raisi dhaifu
 
Mbona kwa Akina Nkurunziza hakuna majimbo na vita vya wa Hutu na wa Tutsi kila siku?

Namibia, Botswana, South Africa, Kenya etc kuna serikali za majimbo lakini hakuna shida?

Huu uzi wapelekee Darasa la saba ndio watakuelewa
Sahihisho: Namibia na Botswana hakuna serikali za majimbo.
 
Post utopolo ya UVCCM hii, Congo, Somalia kuna majimbo ? Ambapo wanapigana vita.

Ebu angalia USA, KENYA penye majimbo kuna vita ?, migogoro ndani ya nchi sio sbb ya majimbo ni uongozi wa raisi dhaifu
Huelewi chochote kuhusu Kenya.

Mauaji ya watu zaidi ya 1500 katika uchguzi wa 2007 kichocheo kikubwa ilikuwa ni huo umajimbo
 
Ungeachana na mambo ya Lissu, nakuambia hii miaka mitano itakatika na ulambi teuzi
Wala sitafuti uteuzi. Shida nyie mnaotafuta mnafikiri kila mtu anatafuta uteuzi. Kuna wale wanatafuta viti maalum hadi wamebakia na ukimwi. Ubinafsi ndio umetawala nyoyo zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…