Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.

Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.

Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Lissu yupi, yule mtanzania anaishi Ubelgiji?
 
Utawala wa majimbo ni mzuri kwani pesa inayokusanywa sehemu husika huendeleza sehemu husika hata china wanatumia mfumo wa majimbo siyo wakuu wa mikoa RC mfumo uliopitwa na wakati na wa kishamba sana
Haya ngoja nikuelimishe mfumo wa majimbo China kichwa chako kilichokaa vibaya uelewe vizuri

Serikali za majimbo zaweza fafanuliwa vizuri na mfumo wa majimbo wa CHINA .

Kila raia wa China ana kitambulisho kinachoitwa HUKOU. Hicho ni kama kitambulisho cha jimbo la Kwenu kwa wazazi wako yaani place of origin ya ukoo wako.Ukitaka kwenda jimbo lingine unatakiwa kuwa na visa kukubaliwa kuishi jimbo lingine ambako sio ukoo wako wa mababu na mababu ulitokea,Wakibaki wenyewe wenye jimbo ndio watajichagulia RC au DC awe nani

.Hii ikija KILIMANJARO wajiandae maumivu na kurudi kwao kama wanaishi majimbo mengine ambako sio koo zao zilikozaliwa.Wanatakiwa wafungashwe virago warudi kwenye koo zao wakaishi huko,wakafaidi raslimali zao huko na ajira huko na ardhi huko wasikae mahali ambapo sio majimbo ya koo zao waachie wenye koo zao.Kwa mfumo wa Majimbo koo za MBOWE hazitakiwi Dar es salaam wala ukoo wa LIsu marufuku DAR WANATAKIWA KWENDA KWAO KILIMANJARO NA SINGIDA mkoa wa DAR inatakiwa waachie koo za wazaramo na bandari zao na ardhi yao na ajira zao na raslimali zao na fursa zao huko ila DAR WAFUNGE VIRAGO NA MAJIMBO MENGINE YOTE AMBAPO SIO KWAO KWA KOO ZAO WAFUNGE VIRAGO WAWAACHIE WENYE KOO ZAO WA ENEO HUSIKA ili kila mtu afaidi kilichoko katika eneo la ukoo wake wa mababu na mababu

Angalia serikali ya majimbo China inavyofanya kazi ili kuhakikisha raslimali,ajira na fursa wanaofaidi ni koo tu za eneo husika kupitia mfumo wa majimbo wa HUKOU

China introduced the hukou system in 1958 – a hukou book was assigned to each household to classify the resident’s hukou by their place of origin. The practice continues.

The hukou system categorizes each Chinese citizen as either an agricultural (rural) hukou holder or a non-agricultural (urban) hukou holder.

Rural hukou are usually assigned to residents who live in towns and villages; urban hukou are usually for those who live in larger cities – each type of hukou enjoys different and specific rights.

As a legal document that is attached to one’s household registration, the hukou is also inherited. For example, if the parents hold an agricultural hukou – all their descendants would also hold a rural hukou.

With respect to rights and entitlements, those holding rural hukou are distributed arable land for their livelihood while urban hukou holders have access to government jobs, subsidized housing, education, and healthcare.

The entitlements of urban hukou holders, however, vary in different Chinese cities, such as those offered in megacities versus smaller cities.

Chinese citizens can also transfer their hukou in certain circumstances, such as during study and work.

University students are allowed to transfer their hukou to the city of their university, though it will expire after their graduation.

Migrant workers can be granted an urban hukou as long as they fulfill certain criteria. This includes level of educational qualification, technical expertise, entrepreneurship etc. The process is more complicated in larger cities where the labor market is highly competitive.

Why should employers care?

In a free market, employers are rarely concerned with a candidate’s location – beyond the practicality of interviewing the candidate, any relocation expenses they may seek, as well as any difficulties in adjusting to a new location.

Employers and candidates in China often face bureaucratic challenges through the hukou system as it can sometimes be seen to undermine worker mobility.

Corporate recruiters in China also have difficulties in attracting and retaining skilled workers because of these reasons.

Compensation policies by Chinese companies

Assistance to their employees in obtaining urban hukou and the offer of social welfare are key ways Chinese companies are able to recruit elite candidates.

Employers, who provide necessary documents for household registration, are responsible for an employee’s hukou conversion. Some companies have a legal team to help workers in the conversion process, while others even pay the fee of hukou conversion on behalf of their employees.

In return, such companies are able to extend the contract length and retain their skilled workers for a longer term. For those workers who want to keep their rural hukou, companies offer social welfare in compensation.

A recent study finds that only one-fifth migrant workers are interested in converting their rural hukou to urban hukou, as they are unwilling to give up their rural land – valuations having increased sharply in recent years.

Still, companies can attract this group of skilled workers by offering indirect benefits. For instance, the housing fund, insurance, healthcare, and transport subsidies can all be on the list.

Hukou talent incentive

China’s municipal governments have now been granted greater autonomy in deciding quota and eligibility criteria for hukou conversion.

Yet, megacities continue to control their population size and have strict criteria in place for granting a hukou.

Beijing, Shanghai, Guangzhou, and Shenzhen have adopted a point-based system to vet applicants. For example, employment type, property ownership, education, and innovation achievements are all factors for those who apply to get a Beijing hukou
 
Tunapozungumzia ukongwe wa kiutawara tunaangalia na ukongwe wa kisiasa pia.

Kama hawajatawliwa na walijiongoza kifalme labda huyo bado ni tatizo kwa mifumo ya dunia ya leo.
Bado nauliza tena.
Tanzania tangu ipata uhuru ina Rais wa awamu ya 5.

Marekani wa 45.
Wa ethiopia ni raisi wa ngapi?
Na hata wale waliotaka kuwatawala walishindwa wasingekua na muongozo au mfumo wa kuwafundisha kujiongoza.
Lazima.wangefuata mfumo wa waingereza au wafaransa..
Kwanini umeamua kujifananisha na loser?
 
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.

Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.

Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Majimbo yapo hata USA,Nigeria,south Africa,mbona huko hakuna majanga,matatizo ya Ethiopia sio kwa sababu ya kuwepo kwa majimbo,zipo sababu za kisiasa,Hilo jimbo linalo zua balaa,mbona wakati limeshikili sekta zote muhimu za kiutawala,kwa miaka 30,hakuwa na shida,alipoingia huyu waziri mkuu,wakapoteza ushawishi ktk serikali kuu,ndio wameanza chokochoko.
 
Kwanini umeamua kujifananisha na looser?
Wacha nikukumbushe baadhi ya matukio ya kwetu na hao wamarekani ili ujue sisi uwezo wetu wa uwelewa ulivyo mdogo.

Kikwete alipoingia madalakani aliamua kuwaamsha watanzania wajue kile kinachoendelea kwenye nchi yao,kama kuna kiongozi kakosea iwe kwa makusud au kibinadam.alijadiliwa kwa uwazi bungeni unaya wake ulioneka na haki yake atalipewa.

Vyama vya siasa vilipata nguvu na sifa na ikulu aliwaita kunywa nae juisi.
Lakini kwa uelewa mdogo wa watanzania hadi watoto walimtukana mzee huyu.

Sasa leo leo nae kaja magu,kaamua kuwalaza usingizi tena msijue kinachoendelea matokeo yake kila mtu anashangilia kinafki hata kama anaumia .

Wakati rais trump anaapishwa kipindi kile kuna watu walimpinga sana,siku anaenda kuapishwa watu wlikesha wanaandama wakimpinga,lakini waliachwa waandamane na yeye yupo kwenye kuapishwa.
Hivi kwa nchi za afrika kuna mtu takaethubutu kuandamana siku rais wa nchi anaapishwa?

Angalia uchaguz wa sasa wa marekani trump kakubali mwenyewe kwamba hapa nimeshindwa ,kuna kiongozi wa afrika ataekubali hilo.
Tumemsikia wakwetu hapa kabla hata hajapitishwa na nec kugombea.
Akaanza kusema MBONA WENZANGU WALIOPITA WALIMALIZA MIAKA 1O 10 KWANINI MIMI NISIFIKISHE KAMA WENZANGU.
NINAKASORO GANI.

utaona sisi waafrika bado sana kisiasa.
Hatujaelimika.
Ndiomaana nasema breini kapasiti yetu bado ina usokwe ndani yetu.
 
s

Sio anatapata anasema ukweli ma CHADEMA ilifika hatua wakawa wanausemi wao eti Lissu ana akili sana. Kumuelewa Lissu unatakiwa uwe na akili kubwa sana haha dah. Sasa yuko wap. Nyie mnao muelewa hya tuambieni mbona kawasaliti sasa hv kaenda kula raha tu huko nje.
Hujawahi kufika Ulaya nini...nani kakuambia Ulaya raha tu...
 
Mbona wakati wa mkoloni Tanzania ilikuwa na majimbo kwa nini hayo hayakutokea, nyie vijana mmelishwa ujinga na CCM
 
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.

Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.

Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Uzuri watanzania walishamjibu Lissu kwa njia ya kura!
 
Hivi nyie watu hizi propaganda za kipuuzi mnamdanganya nazo nani siku hizi?

Mbona hutolei mfano serikali za majimbo za Marekani?

Ethiopia vita zao ni za enzi, nyie endeleeni kumdanganya Awafu mpate ugali.
Aaah mwanamke upo?, Ulihadimika kweli kweli!!
 
kilichosababisha kuundwa majimbio nchi hizo unakijua?

Tuanzie kenya tu hapo walitwangana kwa ukabila wakauana kama kuku hadi Kikwete ndie akaenda kuwasuluhisha ndio wakaja na sera ya majimbo kila jogoo la kikabila liwike kwake

Afrika Kusini ndio usiseme wazungu na waafrika walitwangana ndani barabara haikuishia hapo makabila yakaanza kutwangana wao kwa wao ndio wakaunda serikali ya majimbo kila mtu awike kwake,BOTSWANA,NAMIBIA SAME KESI

Msumbiji hapo tatizo hilo hilo ukuienda Nigeria same case ,ukiernda Ghana same case

Marekani pia waligawana majimbo baada ya kutwangana hasa .Hata UBelgiji walipigana wenyewe kwa wenyewe kikabila wakaamua waunde majimbo kila jogoo awike kwake!!! Uingereza pia
Kwa hio na Tanzania tusubiri tuchinjane halafu kila jogoo aikimbilie kweke?
 
Kweli kabisa mkuu..... Majuzi nimeona pia matukio km hayo kule marekani hakika inasikirisha sana yani
 
Kwa hio na Tanzania tusubiri tuchinjane halafu kila jogoo aikimbilie kweke?
Sisi ukabila Nyerere aliuwahi mapema kuumaliza mara tu tulipopata uhuru immeadiately wao walichelewa ndio maana baada ya kuchinjana ndio wakaunda serikali za majimbo ikiwemo Kenya ,Afrika kusini,Nigeria,Ghana,nk cHADEMA WANATAKA KULETA KITU KILICHOPITWA NA WAKATI HAYO WALITAKIWA WAYALETE ENZI ZA MACHIFU KILIMANJARO WAKIWEMO AKINA Msngi nK SASA hivi taifa liko UNITED lilishavuka huko ndio maana hata ukiitisha maandamano yanabuma
 
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya taifa addis ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la tigray. Jimbo lina rais lina bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.

Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.

Umajimbo ni rahisi kusambaratishwa taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Kwa hiyo wanandoa wanaouana unawashauri ambao bado kufunga ndoa wasithubutu kuoana, tatizo la kuishi Kigamboni masikio yako Kinondoni.
 
Pole yao sana... Ila Ethiopia uhasama wao haujaanza leo, ni wa muda mrefu sana kabla hata serikali ya majimbo...

Cc: mahondaw
 
Mwandishi wa hii makala ni mjinga tu kwa maana ya Ignorant hajui kwamba mataifa mengi duniani yana mfumo wa shirikisho (Federation).

Mataifa yenye mfumo wa utawala wa Unitary System of Government kama wetu huu ni machache sana na mengi ni ya kidikteta kama ilivyo ada kwa mfumo huu.

Tungekuwa na mfumo wa Federation kamwe Magufuli asingefanya huu uhuni alioufanya majuzi kwenye uchaguzi na hata yeye ni dikteta kwa sababu huu mfumo unampa hiyo fursa.

Ccm wanapinga huu mfumo wa Federation kwa sababu utawapora fursa waliyonayo ya kutawala kwa mkono wa chuma.
 
Sisi ukabila Nyerere aliuwahi mapema kuumaliza mara tu tulipopata uhuru immeadiately wao walichelewa ndio maana baada ya kuchinjana ndio wakaunda serikali za majimbo ikiwemo Kenya ,Afrika kusini,Nigeria,Ghana,nk cHADEMA WANATAKA KULETA KITU KILICHOPITWA NA WAKATI HAYO WALITAKIWA WAYALETE ENZI ZA MACHIFU KILIMANJARO WAKIWEMO AKINA Msngi nK SASA hivi taifa liko UNITED lilishavuka huko ndio maana hata ukiitisha maandamano yanabuma
Kweli ukabila ulikua umekufa ilibaki kuzikwa tu...
Lakini kwa sasa umefufuliwa
Kuna makabila fulani yametengwa kabisa katika serikali na biashara zao kuharibiwa kabisa na TRAFFORD Q
Kuna kabila fulani kuanzia wakuu wa jeshi mpaka mambo ya kifedha ni wao
Kila wakuu wa wilaya wa 3 mmoja ni kabila hilo wakurugenzi Ndio usiseme Miaka mitano hii wamekua wafanya biashara TRA haiwasimbui kwa sababu zao
Kwenye dini acha kabisa kuna dini fulani walikuwepo serikalini angalau 36% lakini sasa ni 18%,tuu. Ukisikiliza taarifa za jabari mpaka aibu mpaka usikie majina yao labda wiki imepita
Kweli nchi ilikua nzuri lakini tunaelekea pabaya
 
Mbona kwa Akina Nkurunziza hakuna majimbo na vita vya wa Hutu na wa Tutsi kila siku?

Namibia, Botswana, South Africa, Kenya etc kuna serikali za majimbo lakini hakuna shida?

Huu uzi wapelekee Darasa la saba ndio watakuelewa
Hao darasa la saba ndiyo wenye nchi; kuwadharau ni kuonesha ujinga ulio nao. Ndiyo maana hao la saba wanajua namna ya kuwadhibiti na kuwanyima uongozi kwasababu hamueleweki.
 
Back
Top Bottom