Kwikwikwikwi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Sisi tulikuwa busy kupiga kura. Nyie mko huko ulaya mlakula pensheni za wazee wa kikoloni. Huo ni utumwa mdogo wangu. Mwanaume mzima unakubali kuosha migongo ya wazee wa kizungu. Aibu
Uongo. Kila mtu anakujua wewe unapokaa. Usidhani kutumia majina fake kwenye mtandao huwezi ukajulikana. Watanzania wote wenyenia njema na Tanzania walipiga kura na mgembea wa CCM alipata kura zaidi ya 31,000,000...Naishi mwananyamala kama unahitaji kunipata.
..Nafasi ya kufanya uchaguzi mzuri ambao ungemalizika bila vurugu ilikuwepo.
..Mama angetekeleza 4R tusingekuwa tunazungumzia maafa yaliyotokea.
..Mama atafute washauri wapya. Waliomfikisha hapa hawafai.
Uongo. Kila mtu anakujua wewe unapokaa. Usidhani kutumia majina fake kwenye mtandao huwezi ukajulikana. Watanzania wote wenyenia njema na Tanzania walipiga kura na mgembea wa CCM alipata kura zaidi ya 31,000,000.
Mpango wenu mlichemka. Analyisis zote zinaonesha kuwa SSH anapendwa na watanzania wengi.
Tathimini zinaanzia kwenye kampeni mpaka kwenye siku ya kupiga kura saa Tano.
Mlijaribu kuleta vitisho mkidhani kuwa uchaguzi utaahirishwa mkakwama.
CHADEMA waligoma wao wenyewe kushiriki uchaguzi wakitegemea kuleta vitisho ili uchaguzi usifanyike. Baada ya kuona miaka 5 hawatakuwa na ruzuku yoyote kutoka kwa Wabunge na Madiwani kwamba CHADEMA itakufa. Mmegeuka kuwa kikundi cha mauaji ya kibali.
Hatua zote zinazohitajika zilifanyika.
1. Moja mlitaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi = Zilifanyika
2. Mliitwa kwenye mjadala wa sheria za uchaguzi mlienda na mkashiriki = Baada ya kuona maslahi yenu binafsi na ya bwana zenu kutoka Ubelgiji na Ujerumani yamekwamba mkasusia.
3. Mliitwa kupeleka maoni kuhusu kanuni za uchaguzi mlipeleka maoni yenu na mkaridhia kanuni hizo
4. Wakati wa kusaini kanuni za uchaguzi mkasusia. Who are you in This Coutry?
MNAMTISHA NANI SASA?
HUO NI UPUMBAVU na KUKOSA USTAARABU. Kwakuwa familia yako na wewe mpo ulaya mnadhani hatuwajui?
Ushauri unasikilizwa siyo lazima uchukuliwe. Hakuna mtu asiyekujua wewe...Nimekwambia naishi Mwananyamala. Lakini hoja yangu haiwi mbaya, au nzuri, kwasababu ya mahali ninapoishi.
..Mama alifanya marekebisho ya kitoto na kilaghai katika Tume ndio maana Chadema wakasusia. Bila shaka washauri walimpa ushauri mbaya na yeye akaufanyia kazi.
Yaani unajiona mjanja mwenyewe Kwikwikwikwikwi Unajidanganye wewe na nafsi yako tu. Huku unajiumbua wazi wazi...Nimekwambia naishi Mwananyamala. Lakini hoja yangu haiwi mbaya, au nzuri, kwasababu ya mahali ninapoishi.
..Mama alifanya marekebisho ya kitoto na kilaghai katika Tume ndio maana Chadema wakasusia. Bila shaka washauri walimpa ushauri mbaya na yeye akaufanyia kazi.
Ushauri unasikilizwa siyo lazima uchukuliwe. Hakuna mtu asiyekujua wewe.
Jana internet haikuwepo Tanzania ulikuwa una post kwa kutumia mtandao gani. Usituone watanzania mafala wewe endelea kuosha vizee vya kizungu huko Ulaya, tuachie Tanzania yetu. Umeamua kuondoka wewe nenda hatukutaki
View attachment 3496852
Yaani unajiona mjanja mwenyewe Kwikwikwikwikwi Unajidanganye wewe na nafsi yako tu. Huku unajiumbua wazi wazi.
Wewe haupo Tanzania unapiga kelele ukiwa nje ya nchi
Uwezo wako wa kufikiri upo chini ya kiwango kabisa. Nyie ndio mnaolipwa mkiwa nje ya nchi kuichafua Tanzania. Hakuna mtanzania yeyote raia halali wa Tanzania anayeweza kufanya unayofanya. Jana Internet haikuwepo hapa Tanzania wewe uliipata wapi? Stop pretending to be in Tanzania while your in other country. Unajidanganya mwenywewe tu...Nimekwambia naishi Mwananyamala. Lakini hoja yangu haiwi mbaya, au nzuri, kwasababu ya mahali ninapoishi.
..Mama alifanya marekebisho ya kitoto na kilaghai katika Tume ndio maana Chadema wakasusia. Bila shaka washauri walimpa ushauri mbaya na yeye akaufanyia kazi.
Tuanze kwanza na wewe kuongea uongo kuwa upo Mwananyamala wakati haupo mwananyamala. Unakosa legality ya kujadili vitu vinavyohusu Tanzania kwa sababu huenda wewe siyo mtanzania, halafu wewe ni muongo na mzandiki...kwanini Mama hakutekeleza 4R?
Basi tafuta wafugaji wa ng'ombe uhasiwe uwe towashi.Kuendelea kuzaa watoto nchi ikiwa chini ya CCM ni kuwalaani kiaina
Naunga mkono hojaUnakazwa ww, kwahy ukifa Ndo ishara ya ulikuwa unapambana, bc wanajeshi wakienda vitani wasirudi wafie huko huko. Punga ww
Hao wadada mbona kuna kitu kinaniambia ni wapelelezi wa polisi siyo kwa kujiamini hivo.
Ukiwaza hv bc kila mtu utakuwa na wasiwasi nae, kila mtu amechokaHao wadada mbona kuna kitu kinaniambia ni wapelelezi wa polisi siyo kwa kujiamini hivo.
We jamaa kende sanaWote walio andamana mliwaua?
Tuanze kwanza na wewe kuongea uongo kuwa upo Mwananyamala wakati haupo mwananyamala. Unakosa legality ya kujadili vitu vinavyohusu Tanzania kwa sababu huenda wewe siyo mtanzania, halafu wewe ni muongo na mzandiki.
View attachment 3496857
Keyboard warriorsNi swali kwako. Na kama bado huelewi maana yake utakuwa hujitambui ni sehemu ipi unakosimamia wewe ndani ya taifa hili..
Huwezi kuwa mguu mmoja upande wa waovu; halafu wakati huo huo ujifanye huhusiki na lolote. Waovu hao hao watakuweka watakakoona kunakufaa.
Hatuwezi kuchoka mpaka haki ipatikane.Ukiwaza hv bc kila mtu utakuwa na wasiwasi nae, kila mtu amechoka