GE2025 Kama hujafa maandamano ya 29/10 basi wewe ni key board warrior tu, msituchoshe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe kima si ulikuwa unasema wa tz waoga na hakuna maandamano na hakuna atakaye thubutu?
 
Kama ni member wa JF na ulikuwa unahamasisha maandamano na uko hai basi wewe ni KEY BOARD WARRIOR
 
Kwa hiyo kufa ni sifa njema?
Mnatanguliza watoto wa wenzenu wasiojitambua huku nyinyi mkisubiri kuja kutamba JF eti maandamano yamefanikiwa. Nyambaaaaf
 
Unakazwa ww, kwahy ukifa Ndo ishara ya ulikuwa unapambana, bc wanajeshi wakienda vitani wasirudi wafie huko huko. Punga ww
Fahamu kwa hiki mlichowatendea ndugu zetu, iko siku tutawaulizeni mtujibu, mmefanya ushetani wa hali ya juu, mmewahamasisha vijana hata wasiofaidi sana hizo siasa, na nyie mkajificha kwenu huku mkiwaacha vijana wetu, ndugu zetu wakiumia. Mungu akashughulike na nyie, hamtaepuka hizi lawama
 
..Mimi nilihamasisha kutokupiga kura.

..Pia kumuapisha Raisi machakani / uani sio poa, ni kumdhalilisha.
Riots mitigation strategy, fahamu hilo KEYBOARD WARRIOR
 
Hivi ukiwa mwanaccm huruhusiwi kumiliki akili?🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Ungekuwa una akili usingeshabikia wizi na uporaji
 
Nye Nye Nye
Ndio siye keyboard warriors mwatuogopa sio ajabu mkafungia mtandao maana mwatujua vizuri. Na bado
Endelea kuandamna kimyakimya humu kwa kuandika, ila kwa ground ni zero
 
Sijaelewa ulichokiandika,

anyway, Hili n swali langu au n swali kwa huyo aliyenijumuisha?
Mashujaa wa kwenye mtandao mtajijua wenyewe, nani ni General na nani ni corporal
 
Hukusikia kuna baadhi ya askari viherehere wamekufa? Unadhani walikufa kwa mapenzi ya Mungu? Kwenye kila vita kuna survivors wa kila upande.
Wewe cheo chako ni nani kwenye jeshi la mashujaa wa mtandao?
 
Hata Lord Denning intel zimeknesha hayupo Tanzania.
Tatizo unaishi kwa kukariri sana. Nipo Tanzania nimejaa tele.

Unadhani wote ni wajinga kama wewe? Pamoja na mitandao kufungwa watu tulikuwa na uwezo wa kutumia internet na tupo Tanzania.
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anapost na kuunga mkono huu upumbavu wa #MO29 lkn kilichomkuta ni wapumbavu kumvunjia duka lake Manzese na wakasafisha kila kitu yupo anaugulia huko.........kila kilichotokea wanaopaswa kulaumiwa ni waliochochea haya machafuko na si vinginevyo
Kaka tuponye nchi na kugangana mioyo. Naomba mambo ya siasa tuweke pembeni mkuu wangu kwa sasa sio mda wa kunangana huu. Watu wamepoteza ndugu ma marafiki. Moyo wangu umeinama sana kwa kilichotokea.
 
Nipo upande wa waovu, em nambie ushirika wangu kwenye huo uovu.
Hatuwasahau mmechochea vurugu na uasi kwa jina la kudai haki huku ndugu zetu wamefariki na tumepoteza biashara nyie mkiwa zenu Nairobi, Ulaya na Marekani salama salimini. Jinai haitokaa ioze na Serikali inatizama nadhani mmeridhika sasa damu mlizozitaka zimemwagika mmefurahi sasa wafadhili wawape pesa muendelee kuishi wakati sisi tumezika ndugu zetu na hakuna kilichobadilika. Kaeni mkijua siku moja mtakuwa accountable kwa kuchochea vurugu huku mkiwa distant, sisi tunawalaumu nyie wanaharakati na damu za watu mlizosababisha kumwagika hazitaenda bure, nafikiri kwa sasa mna amani.
 
Duh!

Mkuu 'Lusungo', sikutegemea kamwe kwamba umezama kiasi hiki kwenye mitafaruku hii ndani ya nchi yetu hii?

Ile kadhia ya Mbowe kuachia uenyekiti ilikudhuru kiasi hiki hadi kufikia hali hii?

Mbona zamani hukwa hivi!
Wewe jamaa unataka watu wawe rigid ?? Ndiyo maana mumechochea maandamano na watu wamekufa sana
 
Msikae kuanza kulaumu nyie ndo wakulaumiwa kwamauwaji hayo vurugu mmeinzisha nyie wanao kuja kufa niwengine. Yaani laana tayari imewashika wote walioshiliki ktk uharifu huo hatapona hata mmojawenu. Atakufa mmojammoja mpaka mtaisha wote.
 
..rai yangu siku zote ilikuwa wananchi wagomee kupiga kura.

..kwanza, nilijua 100% kuwa hakuna ushindani na Mama Abdul angetangazwa mshindi.

..pili, nilijua wananchi wakiandamana Mama Abduli atatuma askari wake wakauwe waandamanaji.
Sema wewe ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea umetumbukiza vijana kwenye Chaka. Haya October 29 imepita na maisha yanaendelea, angalieni agenda msishindane na Serikali, kuna lugha za kuongea na serikali sio kuifokea
 
Sema wewe ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea umetumbukiza vijana kwenye Chaka. Haya October 29 imepita na maisha yanaendelea, angalieni agenda msishindane na Serikali, kuna lugha za kuongea na serikali sio kuifokea

..waliotuma askari wauwe waandamanaji ndio watu wa hovyo.
 
Huyo mama na yeye asiwatume polisi kupambana na wananchi, tunataka aje mwenyewe na bastola tuone kama atafika hatua tano mbele.

Atanyoroshwa balaa. Aendelee kujificha tu.
Roho za vibaka wote waliohusika kuvunja maduka ya watu, kuchoma moto magari ya watu na kuharibu miundombinu ya umma zilazwe kwenye moto mkali wa Jehanam.
 
Mimi binafsi lawama zangu kwa waandamanaji ambao walivunja amani, yaani wale waandamanaji wezi na wachoma miundombinu ndio wasababishaji wakubwa wa hivi vifo
 
Walisusa ili waje wakinukishe, na wamekinukisha kweli ila wamenuka wao
 
Tatizo unaishi kwa kukariri sana. Nipo Tanzania nimejaa tele.

Unadhani wote ni wajinga kama wewe? Pamoja na mitandao kufungwa watu tulikuwa na uwezo wa kutumia internet na tupo Tanzania.
Unewagharimu vijana wa Kitanzania maisha kwa kuhamasisha waandamane, huku wewe ukilipwa na mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…