Wewe Muhalifu aje nyumbani kwako kuchoma nyumba yako utamuacha salama?Pumbavu zako
Nilikuwa front kabisaaa.Utapataje haki wakati unaandamana humu JF pekee?
Hiyo ni siri ya kambi yetu.Kwa hiyo umekwepa risasi
Samia kateka na kaua wengi kabla ya maandamano, watu wanataka haki, kuzuia utekaji na mauaji, kupata uchaguzi wa haki, na hakuna mtu kalipwa, story za mabeberu wanatumia kupata support za wajinga kama wewe, samia ataishia kukimbia tuu na ICC haitamuachaUnewagharimu vijana wa Kitanzania maisha kwa kuhamasisha waandamane, huku wewe ukilipwa na mabeberu
Walikuwa wanahatia, kwanini waharibu miundombinu, wamechoma na kuiba mali za watu useme hawana hatia.
Tundu Lissu ndiye aliharibu 4R
Walisusa ili waje wakinukishe, na wamekinukisha kweli ila wamenuka wao
sina haja ya kukutukana coz unaongea usichokijua! Kwa mara ya kwanza mimi The nightwalker namsamehe bure mtu kama wewe!! Ila usinichokoze. Nimekuacha coz haukushuhudia niloshuhudia mimi ndo maana unaongea chochote kile unachofikiria! Asee usinichokoze.Wewe ni bwege na bado unajivunia ubwege wako. Unarekodi watu wanaokata roho badala ya kupambana na wauaji!!
sina haja ya kukutukana coz unaongea usichokijua! Kwa mara ya kwanza mimi The nightwalker namsamehe bure mtu kama wewe!! Ila usinichokoze. Nimekuacha coz haukushuhudia niloshuhudia mimi ndo maana unaongea chochote kile unachofikiria! Asee usinichokoze.Wewe ni bwege na bado unajivunia ubwege wako. Unarekodi watu wanaokata roho badala ya kupambana na wauaji!!
ICC ya Kazuramimba labda. Lakini ICC ya the Hague siyo ngeni. Kwani Uhuru Kenyatta na William Rutto waliwahi kushtakiwa huko baada ya vurugu za Kenya za mwaka 2008, na wakaendelea kuwa Ma Rais wa Kenya hadi sasaSamia kateka na kaua wengi kabla ya maandamano, watu wanataka haki, kuzuia utekaji na mauaji, kupata uchaguzi wa haki, na hakuna mtu kalipwa, story za mabeberu wanatumia kupata support za wajinga kama wewe, samia ataishia kukimbia tuu na ICC haitamuacha
Waandamanaji wote duniani hubeba mabango wakiandika madai yao. Yale ya Tanzania yalikuwa ni magenge ya wezi. Na tulipongeze JWTZ na vyombo vingine vya dola kwa kukomesha uhayawani ule, la sivyo madhara yangekuwa makubwa kuliko.Samia kateka na kaua wengi kabla ya maandamano, watu wanataka haki, kuzuia utekaji na mauaji, kupata uchaguzi wa haki, na hakuna mtu kalipwa, story za mabeberu wanatumia kupata support za wajinga kama wewe, samia ataishia kukimbia tuu na ICC haitamuacha
Unasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo..hawakupaswa kushambuliwa kwa risasi.
..mabomu ya machozi, maji ya washawasha, yangetosha kuwatawanya.
Dawa ya wahalifu na wezi ni risasi za moto tu, no more. Hatucheki na kimaHao watu msi-engage nao kwa chochote, msiwajibu hizi nyuzi zao za kejeli, mpite kimya kimya, kuanza kujibishana nao ndo kitu wanachokitaka.Nyuzi zao zote msijibu, na kama mnafahamiana nao, rafiki zenu watengeni - msishirikiane nao kwa chochote -kuanzia mambo ya kijamii mpaka ya kiuchumi.
Kushabikia mauaji ni zaidi ya unyama