Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

Kuna mmoja huyo ameshindikana.
Yaani kila bar utakayokwenda lazma atafika. Anachokifanya ni kupiga video call kwny group la WhatsApp..ukirespond anaangalia mazingira mliyopo..atawazungukia wrote akirudi kwake kalewa for free.. nowadays tunapiga kitungi nje ya mji kwa kero zake halafu hana aibu hata kidogo atataka umnyweshe,ale kitimoto utadhan demu.
 
OK. I promise you ninakutafuta na nitakupata.

Usifikiri upo safe sana behind your fake I'd.

Subiri.

Halafu nitakupa nafasi ya kuzungumza yote haya unayoyaandika sasa.

Sasa ukifikiri natania.

Nitakupata tu. I promise you that.
 
Ukiwa na hela ndiyo ticketi ya kuwafira wenzako sio?

Mbona kuna mashoga adi wana magari na mijengo
Bora useme, sijui wabongo mindset zao zikoje, wanawaza kila shoga ana njaa, khaaaah
 
Kina cocastic watarajiwa hao...mwanaume unakulaje jasho la mwanaume mwenzio kirahisi rahisi...mwisho wa siku wanakuja kuitwa wajomba maresh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukaona unitajee km mfanoo wao? Kwa taarifa yako sasa siendagi bar wala club, na kwa kifupi sina mda na pesa za mwanaume asiyenihusu,

Hao watu wenu wa club na bar wanao omba bia, pambaneni nao huko huko, mfyuuuuuh
 
Dada kumbe huwa unalipuka hivi? Sikuwahi note hiki kitu.
 
OK. I promise you ninakutafuta na nitakupata.

Usifikiri upo safe sana behind your fake I'd.

Subiri.

Halafu nitakupa nafasi ya kuzungumza yote haya unayoyaandika sasa.

Sasa ukifikiri natania.

Nitakupata tu. I promise you that.
Mikwara mbuzi hii
 
Dada kumbe huwa unalipuka hivi? Sikuwahi note hiki kitu.
Kumbe ni mwanamke??

Namsamehe bure maana unaweza kuta kafikia menopause bila ndoa ndio maana ana Street.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…