Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Itoshe kusema hawa wayahudi ndo hawa hawa tunaowasoma kwenye kila kitabu cha kale na Israel ndo hiyo hiyo tunayoisoma kwenye kila kitabu cha kale. Kwa sababu hawa wayahudi wa leo wanafanana kila kitu na wayahudi wa kale kuanzia lugha,majina yao, tabia zao hasa za kupenda vita, uwezo kiakili nk nk......pia hata mipaka ya Israel ndo hiyo hiyo tunayoisoma kwenye kila kitabu cha kale. sasa leo hii anatokea mtu anakwambia hawa sio wayahudi wenyewe au hii sio Israel yenyewe kwa ushahidi gani???
 
Hakuna nchi iliyoitwa israel kabla ya 1948.
 
nipelekeni kweny thread inayosimulia vzur huu mgogoro
 
Wayahudi wa sasa waliuliwa sana Ulaya walipokuwa wanaishi. USA wakawapeleka Palestina kwa nguvu. Athari inaonekana hivi sasa
 
Wayahudi walikuwepo hapo hapo mashariki ya kati ila Sasa je hao wayahudi wa kale walikuwa na asili ya Ulaya magharibi/ mashariki (wazungu) kama hawa wa sasa?

zitto junior
 
Ndani ya Biblia, hiyo ina majibu yote ya nchi yao hao watu.
Sijui kwa Quran.
Kwanza utaona mipaka yote ya nchi yao iliyoainishwa kwenye Biblia.

Na zamani hizo mipaka yao ilikuwa mara nyingi ilikuwa milima, mito na mabonde.

Utasoma milima iliyopo kwenye mipaka na iliyo kwenye nchi yao.

La mwisho utatafuta hayo majina ya miji yao ya kale na kujua kwa sasa miji hiyo inaitwa kwa majina gani.
Ilibadirishwa majina mwaka gani na nani aliyeyabadili na sababu za kuyabadili.
 
Tofaut
Na wapo mpaka leo.
Basi wapen nchi yao na waruhusun wamjengee Mungu wao hekalu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…