Itoshe kusema hawa wayahudi ndo hawa hawa tunaowasoma kwenye kila kitabu cha kale na Israel ndo hiyo hiyo tunayoisoma kwenye kila kitabu cha kale. Kwa sababu hawa wayahudi wa leo wanafanana kila kitu na wayahudi wa kale kuanzia lugha,majina yao, tabia zao hasa za kupenda vita, uwezo kiakili nk nk......pia hata mipaka ya Israel ndo hiyo hiyo tunayoisoma kwenye kila kitabu cha kale. sasa leo hii anatokea mtu anakwambia hawa sio wayahudi wenyewe au hii sio Israel yenyewe kwa ushahidi gani???Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa hai