Nani anang'aka? Hapa watu wanajadili ukweli wa historia. Wewe kama una ukweli zaidi, weka mchango wako hapa ili watu wauone.
Kwanza ukweli ni kuwa hilo eneo linaloitwa Palestine, hata wakati hao wayahudi wakiwa Ulaya, hakukuwahi kuwepo hata kipindi kimoja ambacho Wayahudi hawakuwepo kwenye eneo hilo. Kilichotokea ni idadi kubwa ya wayahudi kupungua kipindi cha migration lakini siyo kwamba waliisha au hawakuwepo kabisa kwenye l hilo eneo.Hapo Palestine walipokuwa awali wanaishi kwa sasa panaitwaje ? Najiuliza pia, kama Waisraeli hawapo,, kiebrania kimetunzwaje hadi leo kama lugha yao. Hata kama walienda ulaya Marekani nk kama wakimbizi, hiyo inaondoa uwepo wao na asili yao ?
Israel imeitwa mwaka 1948 kabla ya hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Israel ila wayahudi walikuwepo kama jamii mojawapo ya wapalestina.wapalestina wameishi hapo hapo Palestina tangu mwanzo. Kuhusu lugha siyo ajabu hao wazungu kujua kuongea kiebrania labda walijifunza kwa vizazi vya kiyahudi vilivyokuwa vinaishi huko ulayaHapo Palestine walipokuwa awali wanaishi kwa sasa panaitwaje ? Najiuliza pia, kama Waisraeli hawapo,, kiebrania kimetunzwaje hadi leo kama lugha yao. Hata kama walienda ulaya Marekani nk kama wakimbizi, hiyo inaondoa uwepo wao na asili yao ?
Wayahud walikuwepo pale hata kabla 1948 wakiishi na waaarabu pamoja so hao waliorud ni huko waliko walikutana na madhilaWachaga warudi kwao Ethiopia, tuwarudishe mbilikimo kutoka DRC pale Kilimanjaro.
Wangoni warudi kwao SA watuachie Songea yetu, hivyo hivyo kwa kila kabila duniani.
Nabii Ibrahim alitoka Iraq, kama ni asili basi warudi Iraq, pale waliishi wakaanani sijui Philips
Tukianze kunukuu kila jambo kwa mtazamo WA mnufaika na kukubaliana naye kwa kujibu wa maandishi anayoamini yeye basi dunia nzima itawaka Moto maana unaweza kuta hata Wanyakyusa na Wanyamwezi asili yao ni Texas USA.
Palestina ni eneo wewe hao unaowaita wapalestina ni waarabu.Israel imeitwa mwaka 1948 kabla ya hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Israel ila wayahudi walikuwepo kama jamii mojawapo ya wapalestina.wapalestina wameishi hapo hapo Palestina tangu mwanzo. Kuhusu lugha siyo ajabu hao wazungu kujua kuongea kiebrania labda walijifunza kwa vizazi vya kiyahudi vilivyokuwa vinaishi huko ulaya
Yupo kazini, atakaaje kimya ....!?Duh! Kweli akili ni nywele. Si aheri ungekaa kimya?
Mayahudi ni watu wa kuhama hama kama wakimbizi
Tatizo unaandika hata usichokijua.
Watu wa kwanza kukataa uwepo wa mataifa mawili sambamba ni Waarabu, hawakywa wayahudi wala watu wa mataifa mengine. Wayahudi waliridhia, Urusi iliridhia, Marekani waliridhia, Uingereza iliridhia, LAKINI waarabu wa Palestine walikataa baada ya kushinikizwa na Misri, Jordan, Iraq, Bahrain na Lebanon.
Mwaka 1992 baada ya Oslo Accord, wayahudi waliridhia liundwe Taifa la Palestine kwa hatua, wakianzia na mamlaka ya ndani. Na wapalestine waliridhia, LAKINI kwa msukumo wa Iran, Hamas walikataa. Mpaka leo hii Hamas na Hezbollah hawaitambui Oslo Accord iliyosainiwa na Yizack Rabin na Yassar Arafat.
Kabla ya 1948 ilikua hamna nchi inaitwa IsraelUkimwona mjerumani, mmisiri au mreno hapa, haimaanishi hana kwake.
Hakuna wasikua na kwaoMayahudi hayana kwao
Quruani pia inasema Mfalme Suleiman alikuwa anatawala Jerusalem.
Catholic ni Taifa?😳😳😳😳
Wayahudi weusi tupambane na uchaguzi wa serikali za mitaa yetu yanatushinda. Judasm ni dini.Uyahudi ni dini? Yaani Leo hii kama kuna Mmatumbi akijiunga na hiyo dini anakuwa Myahudi?
kwani watu wana shida na ardhi ya israeli ilipo,shida israeli ndo wanataka maeneo ya wapalestina kama si palestina nzima...ukiangalia mipaka yaoiliyowekwa kihalali tangu mwaka 1948 utagundua nani ndo anamuona mwenzie yupo mkwenye ardhi ambayo si yake kutokanana mipaka hiyo ilivyobadilishwa kiholela na wayahudiKuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Dini ya kiisilamu ni propaganda za Israel, usisahau mkuu alietengeneza Hamas ni Israel.baba-mwajuma kama hili suala la nani ana sifa za kuwepo eneo hilo, linahusu zaidi masuala ya asili ya mtu. Imekuwaje linageuzwa ni la dini ya Kiislamu dhidi ya Israel?
Hapa ni sawa na kusema watanzania na wachaga au waswahiliPalestina ni eneo wewe hao unaowaita wapalestina ni waarabu.