Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Nani anang'aka? Hapa watu wanajadili ukweli wa historia. Wewe kama una ukweli zaidi, weka mchango wako hapa ili watu wauone.

Post #7 uliniona?

Maisha ya binadamu yalianzia Eden hakukuwa na binadamu pengine popote.

IMG_20241022_105632.jpg

Ni mwenda wazimu pekee mwenye kutaka kushinikiza maisha popote kivyake vyake au na wapambe wake.

Na humo ndiko kung'aka kwenu kulipo.
 
Hapo Palestine walipokuwa awali wanaishi kwa sasa panaitwaje ? Najiuliza pia, kama Waisraeli hawapo,, kiebrania kimetunzwaje hadi leo kama lugha yao. Hata kama walienda ulaya Marekani nk kama wakimbizi, hiyo inaondoa uwepo wao na asili yao ?
Kwanza ukweli ni kuwa hilo eneo linaloitwa Palestine, hata wakati hao wayahudi wakiwa Ulaya, hakukuwahi kuwepo hata kipindi kimoja ambacho Wayahudi hawakuwepo kwenye eneo hilo. Kilichotokea ni idadi kubwa ya wayahudi kupungua kipindi cha migration lakini siyo kwamba waliisha au hawakuwepo kabisa kwenye l hilo eneo.

By 1914, approximately 85,000 Jews resided in Palestine, of whom about 35,000 had arrived in recent decades.

Kwa hiyo hata kabla ya mwaka 1900, kabla ya wayahudi kuja toka Ulaya, tayari kulikuwa na wayahudi ambao wakati wote wamebakia kwenye maeneo hayo, wapatao 50,000.

Wakati wa ukoloni wa Ottoman Empire, wayahudi wengi walitawanyika kwenda mataifa mbalimbali.
 
Hapo Palestine walipokuwa awali wanaishi kwa sasa panaitwaje ? Najiuliza pia, kama Waisraeli hawapo,, kiebrania kimetunzwaje hadi leo kama lugha yao. Hata kama walienda ulaya Marekani nk kama wakimbizi, hiyo inaondoa uwepo wao na asili yao ?
Israel imeitwa mwaka 1948 kabla ya hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Israel ila wayahudi walikuwepo kama jamii mojawapo ya wapalestina.wapalestina wameishi hapo hapo Palestina tangu mwanzo. Kuhusu lugha siyo ajabu hao wazungu kujua kuongea kiebrania labda walijifunza kwa vizazi vya kiyahudi vilivyokuwa vinaishi huko ulaya
 
Wachaga warudi kwao Ethiopia, tuwarudishe mbilikimo kutoka DRC pale Kilimanjaro.
Wangoni warudi kwao SA watuachie Songea yetu, hivyo hivyo kwa kila kabila duniani.

Nabii Ibrahim alitoka Iraq, kama ni asili basi warudi Iraq, pale waliishi wakaanani sijui Philips

Tukianze kunukuu kila jambo kwa mtazamo WA mnufaika na kukubaliana naye kwa kujibu wa maandishi anayoamini yeye basi dunia nzima itawaka Moto maana unaweza kuta hata Wanyakyusa na Wanyamwezi asili yao ni Texas USA.
Wayahud walikuwepo pale hata kabla 1948 wakiishi na waaarabu pamoja so hao waliorud ni huko waliko walikutana na madhila
 
Israel imeitwa mwaka 1948 kabla ya hapo hakukuwa na kitu kinaitwa Israel ila wayahudi walikuwepo kama jamii mojawapo ya wapalestina.wapalestina wameishi hapo hapo Palestina tangu mwanzo. Kuhusu lugha siyo ajabu hao wazungu kujua kuongea kiebrania labda walijifunza kwa vizazi vya kiyahudi vilivyokuwa vinaishi huko ulaya
Palestina ni eneo wewe hao unaowaita wapalestina ni waarabu.
 
Tatizo unaandika hata usichokijua.

Watu wa kwanza kukataa uwepo wa mataifa mawili sambamba ni Waarabu, hawakywa wayahudi wala watu wa mataifa mengine. Wayahudi waliridhia, Urusi iliridhia, Marekani waliridhia, Uingereza iliridhia, LAKINI waarabu wa Palestine walikataa baada ya kushinikizwa na Misri, Jordan, Iraq, Bahrain na Lebanon.

Mwaka 1992 baada ya Oslo Accord, wayahudi waliridhia liundwe Taifa la Palestine kwa hatua, wakianzia na mamlaka ya ndani. Na wapalestine waliridhia, LAKINI kwa msukumo wa Iran, Hamas walikataa. Mpaka leo hii Hamas na Hezbollah hawaitambui Oslo Accord iliyosainiwa na Yizack Rabin na Yassar Arafat.
 
Ya nini kuandikia mate ndugu?

IMG_20241022_105632.jpg

Anayekataa mataifa mawili ni nani?

Kung'aka kwenu kupo kwenye kukerwa na maswali ya wazi kama haya!
 
Hawa ma zionism ndio wenye kuleta shida kwa kudai kwa kuwa wanafuata Judasm watu kizazi na vizazi walikuwa nchi za ulaya wanadai na wao ni ukoo wa Israel, hata katika uislamu wako watu wa hivyo ila hawajapata support na nguvu, wako katika uislamu wanadai ni katika ukoo wa mtume wao ni level nyingine hawaozeshi watoto zao nje ya cycle yao lakini sote tunajuwa ni uwongo. Sasa hawa kesho waibuke waseme nitaitaka Makkah sababu sisi ndio babu zetu walitoka hapo unadhani hali itakuwaje? Natoa mfano huu ni kama ma Zionism. wakipima DNA utakuwa hawana hata chembe za koo hizo.
 
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.

Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?

Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
kwani watu wana shida na ardhi ya israeli ilipo,shida israeli ndo wanataka maeneo ya wapalestina kama si palestina nzima...ukiangalia mipaka yaoiliyowekwa kihalali tangu mwaka 1948 utagundua nani ndo anamuona mwenzie yupo mkwenye ardhi ambayo si yake kutokanana mipaka hiyo ilivyobadilishwa kiholela na wayahudi
 
Umeshasema zina Hadhithi...., Huwezi kusimamia argument ukaleta proof ambayo sio wote wanakubaliana nayo...., kuna watu watakwambia Bible ni the Best Selling Novel ever written...; Kwa muktadha huo ni vigumu kuleta hoja kwenye vitabu kama the Doomsday Consipiracy kwenye factual events....
 
baba-mwajuma kama hili suala la nani ana sifa za kuwepo eneo hilo, linahusu zaidi masuala ya asili ya mtu. Imekuwaje linageuzwa ni la dini ya Kiislamu dhidi ya Israel?
Dini ya kiisilamu ni propaganda za Israel, usisahau mkuu alietengeneza Hamas ni Israel.

Struggle za wapalestina chini ya Yaser Arafat zilikua ni za ki secular, Wapalestina wote bila kujali dini ama rangi zao, na walikua ni socialist ndio maana Nyerere aliwasupport Plo/Fatah chini ya Arafat.

Arafat aliwapelekesha sana Israel kidiplomasia na kuna kiongozi wa Israel akakubali kuwapa nchi Yitzhak Rabin, akawa assassinated kwa kukubali Oslo Accord.

So solution ya hayo yote ni nini? Kuanzisha kikundi kitachompinga Arafat, Israel wakamwaga hela na Hamas ikatengenezwa, Lengo la Hamas ikiwa ni ku mpinga Arafat na kusababisha mpasuko ndani ya wapalestina, alivyokufa Arafat kundi likawashinda na leo ndio linawapelekesha.

Mwisho wa siku mkuu Wapalestina wapo United, unakuta Mkristo hayupo Hamas ama Iran ila ikitokea hayo makundi yamefanya tukio wanawaunga mkono.
 
Back
Top Bottom