RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,806
- 2,723
Hamna Mbona Biden aligoma kutoa silaha kwa Israel au umesahu mapema Trump anumuhusudu sana NetanyauKitendo cha Trump kurudi nyumbani chap baada ya vita kuanza kina maana kubwa! Kuna haja ya kujua nafasi ya Israel kwa Marekani kikatiba. Huwenda ni Waisrael wenyewe ndio wanashambulia Iran kutokea Marekani. Pia kuna haja ya kujua kama Marekani ina full control na jeshi lake bila mikono ya Israel!
Here we go again!! Sijui Trump na Natenyahu watatujia no stori gani mpya za kufikirika/kusadikika?? Aibu tupu na majigambo yao bado Iran imewazidi KETE, labda watumie mabomu us nuclear kubomoa deep buried and highly reinforced concrete bunkers za Iran - Wairan walifanya utafiti wa kutosha kabla hawaja design such umpregnable BUNKERS!! Bravo Ayatollah.
Kama ndiyo hivyo kwa nini wanakwenda kuomba msaada WA kijeshi no Silaha kutoka kwa Trump? Si wanajifanya vifaru na jeuri juu - Natenyahu ni janga WA Dunia tusipo kuwa makini anaweza kusababisha WW3 - si mtu mwema hata kidogo, muone anavyo wauuwa wa Palestine kila siku no watu wa magharibi wapo kimya Karisa, Kazi kuwananga Wairan, Hamasi no Hezibolla!!!China na ukubwa wake na wingi wake wa watu na ukubwa wake kiuchumi ila bado wanagiza nyama ya ng’ombe brazir na soya wanagiza marekani
Sio kwamba ukiwa mkubwa bas umekamilika ndio israel ananguvu ila hajakamilika sio kwamba kila kitu anacho nando
Maana unaona vifaa ving vya kivita ananunua toka mataifa mengne
Hayo kakwambia nani? Leta ushahidi basi.hakuna mfumo wowote wa anga unaozuia makombora kwa asilimia 100, makombora yanayorushwa kwenda israel ni asilimia tano hadi kumi tuu ndo yanatua, asilimia tisini yote yanazuiwa angani, urusi yenyewe ina mifumo imara kama S500 lakini drone za ukraine zinapenya hadi moscow
Hao hata mpeleke jeshi lenu Israel wakristo watakwambia waisrael ndio kila kitu wakijificha kwenye mahandak wanakili ayatollah akijificha muoga so hawa watu wangalir tuUongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Bado narudia kusaidiwa kwenye vita ni tofauti na kuingia kwenye vita? Marekani kafanya shambulizi moja kwa moja kwa Iran huwezi kuita ni kusaidia. Kwani mbona Marekani kasaidia Ukraine dhidi ya Urusi ila leo itokee Marekani ashambulie moja kwa moja Urusi habari inakuwa nyengine kabisa huko sio kusaidia.Acha ujinga nitajie nchi yoyote inayoweza kupigana vita peke yake bila kusaidiwa na nchi yoyote!!!!
ndo mana nimesema hakuna mfumo wowote wa anga ambao uko 100% efficiencyKitu cha kwanza S500 haikuwa designed kwa kudhibiti kitu kidogo kama drones,uliundwa kwa ajili ya air defense system dhidi ya ndege za vita no bombers za NATO pamoja no kudhibiti missiles type zote za NATO.
Siku za hivi karibuni Urusi imeunda anti drone system ambayo success rate yake ya kuintercept no ku-destroy DRONES ni almost 95.5 percent.
Hayo kakwambia nani? Leta ushahidi basi.
Kwahiyo unakiri Marekani ndio mtemi wa dunia?Bila msaada wa US, Israeli hana ubavu hata wa kupambana na Hamas.