mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
kwa akili kama za kina sirro suluhu haiwezikupatikana mama D
Kina Mandela, Nkurumah, Nyerere, Chief Mkwawa wangekua wanawaza kama wewe sijui ingekuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa akili kama za kina sirro suluhu haiwezikupatikana mama D
Kina Mandela, Nkurumah, Nyerere, Chief Mkwawa wangekua wanawaza kama wewe sijui ingekuaje
ivyo ni vipindi viwili tofauti unataka kufananisha siasa za miaka ya 60 na za sasa,
Kweli kabisa mama DKwahiyo unataka watu wakifanya maovu wageuze makanisa chimbo la kujificha? Kama police imefuata taratibu kanisa lina wajibu kwa kutoa ushirikiano
Watuhumiwa wanaweza kukamatwa sehemu yoyote ile na vyombo vya usalama. Uwe kanisani au mskitini haizuii serikali kufanya kazi.
Msichonganishe kanisa na waumini wake wala na serikali
Kina Mandela, Nkurumah, Nyerere, Chief Mkwawa wangekua wanawaza kama wewe sijui ingekuaje
Wamejisahau mno! Wakumbushe wenzio kuwa siasa zibakie kuwa siasa. ShukraniTujitahidi kuepuka kufanya udhalilishaji kwenye imani.
Kweli kabisaaa dunia imebadilika sana.siasa za dunia zimebadilika ila wewe bado unataka tubaki na mitazamo ya kuna chief Mkwawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamejisahau mno! Wakumbushe wenzio kuwa siasa zibakie kuwa siasa. Shukrani
Kweli ni tofauti zamani tulikua na wanaume wa haja kwenye mambo yahusuyo siasa, siku hizi tuna wachumia tumbo na walalamikaje tuu.
Tena ukiwa na pesa kama Lowasa wanajiuza kiulaiiiini
toka kwenye bokx ulilojifungia utauona ukweli punguza mahaba ya ki chama na acha kuegemea upande mmoja,
Safi kabisa!toka kwenye bokx ulilojifungia utauona ukweli punguza mahaba ya ki chama na acha kuegemea upande mmoja,
Aliye kwenye box ni wewe ambaye chama chako kinafanya biashara ya kujiuza na wewe umefungwa macho kuliona hilo
kwani kuna makosa mtu kutoka chama kimoja kuenda chengine au umeamua kujitoa faham, mwaka 2019 kulitokea wimbi kubwa kutoka vyama vya upinzani na kuenda kuunga mkono juhudi za JPM hilo kwako wewe unaona sawa ila mtu kutoka ccm kwenda upinzani ndo tatizo, achane siasa chafu
Mtu kuhama chama sio tatizo kabisaaaaa.Safi kabisa!
Du aseeHuyo kazaliwa kwenye kilabu cha pombe za kienyeji hamjui baba wala mama yake.
Na bahati nzuri na yeye ni khanithi kwa hiyo hana familia na hajui uchungu wake.
Anafanya makusudi tu! Basi ilimradi tu na yeye kaandikakwani kuna makosa mtu kutoka chama kimoja kuenda chengine au umeamua kujitoa faham, mwaka 2019 kulitokea wimbi kubwa kutoka vyama vya upinzani na kuenda kuunga mkono juhudi za JPM hilo kwako wewe unaona sawa ila mtu kutoka ccm kwenda upinzani ndo tatizo, achane siasa chafu
Mtu kuhama chama sio tatizo kabisaaaaa.
Ila kweli chadema ndio mliamua mtufanyie hivi watanzania!!??? Kweli!!!
Chadema 2005 - 2014
View attachment 1894224
View attachment 1894225
Watanzania sio wajinga vile mjue tuu
Kuna siku katiba itabadilika na tutafukuwa makaburi yote ya zamani, mzee lowassa ni kama( Simon mkerene) alikubali kubeba msalaba usio wake kwaajili ya kulinda chama cha ccm na mamlaka kuu isianguke, ila mda utafika ambapo hakuna jiwe litakalo baki juu ya jiwe,