Mungu ni uwezo,cheo,ujuzi flani wa kipekee au mkubwa sana.
Uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kupitia uimbaji wake tu. Yan hata kama huamini biblia na vitabu vingine maelezo yake,basi ukiangalia uumbaji wote,kwanzia mpangilio wa sayari zote kama jua, mwezi, nyota utashangaa. Hakuna mwanadamu anayeweza kupangilia hivyo.
Angalia dunia yetu ilivyopangwa vizuri bila kuingiliana kama bahari,maziwa,mito nchi kavu,milima na viumbe hai wote.
Ni mwanadamu gani amefanyiza huo mpango? Au amewahi kujaribu akaweza? Bila shaka kutakuwa na mkuu zaidi ya kila kitu ndio huyo mweza yote yaani Yehova Mungu.
Ukifa hakuna chochote kinachoendelea mkuu. Labda tu kma ulikufa ukiwa na tumaini la ufufuo ndio unaweza kukumbukwa kwenye ufufuoSio mie kutaka kitu,ila mie nimeuliza baada ya mtu kufa kuna chenye kuhusika na Mungu au kwamba Mungu anahusika na baada ya kifo cha mtu? Kwamba suala la sisi kufa Mungu hahusiki je na baada ya sisi kufa kuna kichoendelea ambacho Mungu anahusika au kwamba pia hakuna kinachoendelea baada ya mtu kufa na wala hicho kifo chenye Mungu hahusiki?
Kama siyo Mungu ni nani kaumbaHuo unaosema ni uumbaji wa Mungu, unathibitishaje kuwa ni uumbaji wa Mungu na si kitu kingine chochote?
Mbona unanichanganya mkuu kwa sababu unasema tukifa hakuna chochote kinachoendelea halafu hapo hapo tena unazungumzia habari za ufufuo,kama kuna ufufuo utasemaje tena tukifa hakuna kinachoendelea?Ukifa hakuna chochote kinachoendelea mkuu. Labda tu kma ulikufa ukiwa na tumaini la ufufuo ndio unaweza kukumbukwa kwenye ufufuo
Nikisema najua square root ya mbili haiwezi kuwa kumi, ni lazima niijue square root ya mbili ni nini?Taja kitu chenye uwezo zaidi huo ushaidi wangu?
Kama siyo Mungu ni nani kaumba
Mungu anaogopa lawama?Mungu hajaumba shetani ila shetani alihasi na kutaka kuwa kama Mungu. Kwa hiyo sababu Mungu ni Mungu wa hali hawezi kutoa hukumu bila uthibitisho. Ndio maana ameachia muda upite kwanza ili akifanya maamuzi asipate lawama kwa viumbe vingine
Kwa maana hiyo saizi wewe haufungamani na upande wowote na hauwezi kusema shetani ni mbaya kwasababu hujasikiliza upande wa shetani?Hajashindwa yeye anataka haki...kwan mahakama imeshindwa kumfunga mtuhumiwa moja kwa moja bila kesi? Kwanin mtuhumiwa anasikilizwa? Ni ili hukumu ikitoka isiwe ya upendeleo
Uhuru hauingiliwi wala kufungamana na mipakaMungu unayehubiriwa kila siku anakupa free will ya kumchagua yeye au mengine na hakuingilii katika maamuz yako ndo maana hata Adamu hakuzuiwa alipoasi
Mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ambaye alikwisha jua hatma yetu angali bado hatujazaliwa anatoa mtihani kwa lengo la kujua kitu gani kipya ambacho kabla hakukiona?Kuanzia lini kuchagua ikawa swala bovu.????......kukupa mtihan ambao una majibu nayo ni shida kwamba huku ni "Haki" huku "kifo" na kila siku unaambiwa usichague kifo chagua haki hilo ni jambo baya???
Kwamba alishindwa kuumba ulimwengu usio ruhusu na tukakubali kuwa ni muweza?tungeonaje ukuu wake na kumtukuza na kukubali kuwa yy ndio muweza wa kila jambo?
Tafuta muda, hapo hutaelewa. Unajua kwanini Yesu pia anakuwa Mungu (lakini sio mweza yote) miungu ipo mingi na shetani amefanya iwe vigumu kujua Mungu wa kweli ni yupi. Ukiwa na muda nichekNikisema najua square root ya mbili haiwezi kuwa kumi, ni lazima niijue square root ya mbili ni nini?
Nimekuuliza Magufuli ni Mungu, kwa mujibu wa definition yako?
Hujajibu.
Kwa nini swali la kuumba liwe "nani"?
Haogopi lakini anapenda haki ni Mungu wa haki ndio maana ana subira kuhusu mni nani mwenye haki ya kuabudiwaMungu anaogopa lawama?
Kama kusingekuwa na sharti lile wewe ungejuaje kuna muumba ambaye ni Mungu?Kwamba alishindwa kuumba ulimwengu usio ruhusu na tukakubali kuwa ni muweza?
Hapo ni sawa na mtu aliyempiga baba yake ili awathibitishie majirani zake kuwa ana nguvu.
Inaama huwezi kuonekana una nguvu nyingi bila kumpiga babako?
Huyo mtu anakua ana uwezo wote ujuzi wote na upendo wote kiasi cha kuepuka hilo?we utakumbukaje kula bila kufikwa na njaa ...?
Na chanzo cha dhambi si mungu mwenyewe au nalo linahitaji mjadala?huo n mtazamo wako na c wa fulani pengine mwingine angewaza nje na hilo ulilo uliza .
jibu n ivi chanzo cha dhambi ndo kulileta hayo mabayo yote ambayo huyapendi coz binadam hatujaumbwa kwa bahati mbaya tungekuwa wasafi tungefutiwa zote mabaya na kuishi pasina maswali na hofu ama shaka mioyoni mwetu
Nani anajua kuna mungu?Kama kusingekuwa na sharti lile wewe ungejuaje kuna muumba ambaye ni Mungu?
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayapo, hayawezi kufikirika wala kutokea?Tafuta muda, hapo hutaelewa. Unajua kwanini Yesu pia anakuwa Mungu (lakini sio mweza yote) miungu ipo mingi na shetani amefanya iwe vigumu kujua Mungu wa kweli ni yupi. Ukiwa na muda nichek
Ukijirusha ghorofan ukafa utasema umeadhibiwa????au umeenda kinyume na law of gravity hence umejiadhibu mwenyewe kwa lugha nyingine "umechagua kifo"Uhuru hauingiliwi wala kufungamana na mipaka
Adam hakupewa uhuru alipewa masharti na masharti ni limitation inayoonesha uhuru haupo
Adam alipewa onyo kua matunda flani usile na ndio maana alipoenda kinyume na masharti alipewa adhabu. Penye uhuru wa kuchagua hakuna adhabu, adhabu hutolewa endapo umeshindwa ku obey amri ya mkuu aliye juu yako.
Freewill ni hadithi tu tusidanganyane humu. Adam alipohasi alizuiwa kufanya vitu vingi ikiwemo hata kutembelea bustani ya eden kwa hofu ya kwamba anaweza kula tunda la mema akarudi katika hali yake ya mwanzo
Ukisoma biblia kwa huku ukiwa umekumbatia hofu ya mungu kifuani hutakuja kuielewa biblia, Kasome upya unaonekana hujui kabisawe unasomaga vitabu vya dini kweli hujui chanzo cha dhambi ? sisi wenyewe ndo tulio tengeneza dhambi katika bustani ya eden kwa kula tunda ambalo alisema mungu tusilile adam na hawa /eva sasa unaniulizaje hilo swali mkuu weka hoja yenye mashiko boss
Kwa mfano mtu anakwambia unaitwa halafu ukataka kumjua kwanza huyo anayekwita,utauliza "nani" ananiita AU "nini"kinaniita?Nikisema najua square root ya mbili haiwezi kuwa kumi, ni lazima niijue square root ya mbili ni nini?
Nimekuuliza Magufuli ni Mungu, kwa mujibu wa definition yako?
Hujajibu.
Kwa nini swali la kuumba liwe "nani"?