Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Hujajibu swali la msingi.

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna na hauwezi kuwa na mabaya?
 
Nani anajua kuna mungu?

Mimi najua kuna vitabu vimeandika kua kuna mungu hata wewe hujui

Kama unajua thibitisha mungu yupo
Uthibitishiwaje na mtu kuna Mungu wakati njia za kujua kama yupo unazijua kasome bible acha kumsumbua mwenzio. Mtu mwenye dhambi amefungwa asione. Unataka kumuona Mungu simple sana acha uovu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Biblia inaeka wazi watu waovu wamefichwa kuhusu ufalme wa Mungu ko ni choice yako uwe mwokovu ufunuliwe uwepo wa Mungu au ubaki Muovu mpaka motoni ndo ukashuhudia

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hujaeleza Mungu ni nininwala kuthibitisha yupo kweli.

Unaletq mahubiri ya Biblia tu.

Biblia ni kitabu chenye contradictions nyingi sana, hivyo hakikubaliki kama muongozo wa maana.

Define Mungu ni nini.

Thibitisha yupo kweli.
 
Hapana kaka uko sahihi Imani inaeza kabisa kuwa transferred kwa mafundisho au maubili. Bible inasema mti usiozaa matunda utakatwa matawi yake Means huwez jiita una imani halafu huwahubirii wa2

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Huo mti usiozaa matunda, usipozaa matunda, katika ulimwengu ambao Mungu ndiye anagawa neema ya kuzaa matunda. Mti haupqti matunda kwa juhudi zake, baki kwa neema za Mungu.

Mtu hapo ukikosa matunda, kwa sababu Mungu hajaupa neema ya kuzaa matunda, hilo ni kosa la mti au kosa la Mungu?

Mungu anauhukumu mti kwa kukosa matunda, wakati Mungu mwenyewe ndiye mwenye kugawa neema ya mti gani utazaa matunda na mti gqninutqkisa matunda.

Unaina hiyo ni sawa na haki?
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kutokea, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayapo, hayawezi kufikirika wala kutokea?
Alitaka walimwengu wawe na choice akaamua kuingiza ubongo ko we unataka umpangie au..we ni sawa na wale wanaouliza eti kama Mungu ana uwezo anaeza kuumba mtu mwenye uwezo kuliko yeye? Unataka kumjaribu au kwann usiombe akuoneshe kwa kukunja wewe kama karatasi kama we kweli unatak kuthibitisha kwann unamuuliza upande wa interest zake yani unampanga. Wakati wewe unatengeneza gari unaeka uscan kucontrol gari kwanini usiweke gari iwe inakamba shingoni iwe inakukaba kila tairi linapovuka hatua moja afu tuone. Mungu hana point ya kuprove kwako we nzi kwake huna umuhimu kwake kwa haki ni kwa neema yake. Wewe nd unapoint ya kuprove kwake. Kwahyo focus katka hilo kakuambia usali anza kusali acha dhambi is simple as that

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Faith is the choice because all the things happening are there to see..you'v just been blinded by illusions happening like mawazo yanaisha kwa pombe badala ya Mungu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hujathibitisha Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu zisizo na ukweli.

Thibitisha Mungu yupo kweli.
 
Kabla ya kula tunda dhambi ilianza wewe. Hujui kuwa ukaidi ni dhambi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Daa we jama hujui ki2 kimoja Mungu hakutaka kumkaribia kiumbe yoyote baad ya kuasi kwasababu yeye ni light kwasababu light ikutana na dark dark sio inaulizwa ni inapotea 2.. lakini kwa huruma yake akaamua isiwe hivo atume watu wake ili kuwapa na nyny nafasi...ndo maan mwisho wa siku akij katika ukuu wake hakuna dhambi itakayosalia. Mark my words

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Umetegwa hapo ujisound ulivo mjinga kwa kufocus kweny tunda kuliko kweny ukaidi wa kufanya ulichokatazwa. Afu baadae muanze kulalamika mnachomwa kwa kuonewa..yani unaona muhimu kujua tunda kuliko neno la ukaidi kwa Mungu wako

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wakati huo adam kashafanya dhambi we unahisi ukiwa na dhambi una thamani kwa Mungu kuliko shetani? Unajidanganya bro angefutwa shetani human race ingefutwa pia kwasababu tulikuwa fungu moja ni neema 2

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mungu msafi hawezi kuumba uchafu, unachafukaje wakati kila kitu hapa kimewekwa kwa utaratibu wake?

Utamlaumuje mtu kua amechafuka wakati yeye siye aliyeumba huo uchafu?
Unataka kuniambia we hapo hujui ubaya wa kuua mtu? Em 2anzie hapo kwanza.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo mungu hakujua kwamba shetani atahasi?

Na hakua na alternative ya kufix baada ya shaetani kuja kuhasi?
Kifo nd kingefuata pamoja na adamu wote inamaan human race isingekuwepo ndo maan nae shetani alipewa muda wa kujichunguza kama ulivopewa sahivi ila akapoteza kafungiwa neema. Nawew usijali kma unatak kushuhudia kikombe cha hasira ya Mungu anachomfanya mkaidi endlea ukaidi waswahili wanasema mwanakulitafuta mwana kulipata

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna uhuru wa kuchagua kwanini kuna sheria kumi za mungu ambazo ukienda kinyume nazo unapewa adhabu?
Ambacho hujaelewa kipi hapo? Si unapewa matokeo tu ya hayo machaguo yako either kifo au uzima na lini? Umewahi tumiwa migambo wakakushikisha amri hapo ulipo

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kifo ni default yako kutokana na dhambi yako sas huwez mpangia aliekupa offer ya kurekebisha makosa yako muda wa offer ametoa ambayo anaona itakutosha kabisa akakupa elimu ufanyeje na bado ukaendelea kukaidi unataka afanyaje.. Afu we nani hasa mpaka ubembelezwe milele kwani Mungu hawezi kuwa na dunia yenye viumbe wengine mpka ujione special ubembelezwe kufanya mema? Kama hujui we ni karatasi 2 muda wote unakunjwa kunjwa unaonewa huruma unaanza kelele...Mungu hajaumba uhuru peke ake kama hujui kaumba haki na kaumba kiasi. Basi fanya hivi iko huru haya mantain na haki basi..je haki ni nini? Unamuiba mwenzio je unahis unafanya haki? Humuheshimu aliekuumba unafanya haki? Humuheshimu aliekuzaa unafanya haki? Unataman mke wa mtu unafanya haki? Hakuna uhuru bila haki. Kama we uko huru je huoni kama mwenzio yuko huru kuishia kwa uhuru na sio kuongopewa kuibiwa kuwawa? Unahisi ukinyima uhuru wa mwenzio umetenda haki? Den uvunjaji wa haki sio ndo dhambi Je, wewe nafasi yako ni ipi kama sio kutoweka? Fuata haki tuone afu mlaumu Mungu tutakuelewa..

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwani Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu wana choive ila choice yao ni katika kufanya mazuri tu?

Yani unasema baba kajenga nyumba, halafu kategesha mabomu ndani, kaweka chupa ya maziwa na bomu, ili mtoto wake mchanga awe na choice ya kunywa maziwa au kulipuliwa na bomu.

Kwa nini baba aweke choice ya bomu ambayo anajua itamuua mtoto wake?

Nakuuliza, kwani huyo baba alishindwa kuweka choice mtoto achague kunywa maziwa au juice, kusiwe na kibaya katika choice ya mtoto?

Huyo Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu wenye choice ya mambo mazuri tu?
 
Wakati mungu anamuumba adam alikua tayari anauwezo wa kujua yajayo kabla hayajatokea, alikuwa na upendo wote na uwezo wote au hivyo vitu alikuja kuwa navyo baadaye baada ya kufanya uumbaji?
Huwezi eka camera ofisini kumchunguza mfanyakazi unaemuhisi anakusaliti na ukaja kumnyang'anya vitu na kumfukuza kazi na kumshtaki? Una kosa gani hapo na ulijua kuwa anakuzunguka ila unakuja kumuonesha video ili athibitishe

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao usaliti unawezekana kuwepo?

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao usaliti hauwezekani kuwepo?
 
Asingekuajiri bila kukuthibitishia mapungufu yako ungemlaumu kiasi gani? Kama sahivi 2 amekuonesha makosa yako bado unamlaumu..je, asingekuonesha ungelaumu kiasi gani..angekufanya roboti ungelalamika unataka uhuru kakupa uhuru unataka uroboti

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…