Shetani anakosa gani tofauti na binadamu mwenye dhambi..ikiwa mtu mwenye dhambi hana thamani mbele yake. Mtu mwenye dhambi sio mtoto wa Mungu..ko watoto wa farao waliozaliwa katika ubaya lazima walikuwa wabaya wanahaki ya kuwa perished the like mimi mwenyewe naweza kuwa perished nd maan watu wanaendelea kufa kila siku kwa wakati tofauti ukipata neema shukuru piga moyo konde..Mbona hata sahivi wapo watoto wanakufa..Usilazimishe wakati umekuwa gombania goli la shetani.. afu we umekaa hapo unahisi shetani hakuwa mtoto wa Mungu once mpaka unamcast kiasi hicho?Kwanini kwa binadamu hakuweka hiyo subra ya kumuacha aishi milele bila kumuwekea laana ya kifo na maisha ya shida jwa dhambi aliyosababishiwa na shetani ambaye kamuacha?
Huyu mungu anawajali maadui kuliko watu wake no wonder kwa nini aliangamiza watoto wadogo wa kiume kule misri ili kumkomia farao wakati aliweza kumuua farao bila kuwaangamiza watoto wasio na hatia
Usipoangalia kulia wakati wa kuvuka bara bara ukagongwa na gari ukafa dereva akiwa katika mwendo wa kawaida nani wa kulaumiwa?Mungu hajawahi kuua?
Gharika Genesis 7:23, NLT
Sodomy & gomora Gen 19:24
Mtoto wa kwanza kufa kila nyumba kule misri Ex 12:29-30
Adhabu ya njaa ya miaka saba ulimwenguni kote Gen 41:25-54
Hivyo ni vifo vya mamilion kwa maelfu ya watu ambayo mungu kaua
shetani ndio hana rekodi ya kuua watu wengi kama hivyo wakati ndio mwenye sifa ya ubaya, labda uniambie wewe shetani alimuua nani?
Karibu PMNiko hapa tukuja na maswali yenye utata kuhusu Bible
Alishatoa onyo mapema,matokeo ya kula tunda hilo ni nini kwanin akuzuie wakati unajua matokeoMfano unajua huyu mtu anaenda kuiba na akiiba atauwawa na nguvu ya kumzuia kwanin usimuzuie
Nishajibu hilo swali wacha nikupe tena mfano.Kama Mungu alijua shetani atawapoteza watu kwanin anamuacha mpka leo
unajuaje maisha ya anasa na ubadhilifu ni mafundisho ya shetani?Maisha ya anasa na ubadhilifu wote ni mafundisho ya shetani usitake mpaka upige nae stroy
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mungu ni alfa na omega, kila kitu kinachofanyika ni mipango ya mungu na kazi ya mungu haina makosa at this point the future is set already regardless of his actions.The fact kwamba Mungu ni alfa na Omega na still adam aliweza kula tunda tayari alikuwa na choice. Babako akikuambia nenda shule na adhabu yake itakuwa kiboko usipoenda halafu usiende means wewe nd umechagua adhabu kwsababu you'd have gone to school instaed and still you chose punishment now that's your problem not his
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hiyo haijawahi kuwa sababu ya kifo ndugu labda kma we ndo umejifunza hivo sababu ya kifo haiwezi kuwa nyepesi hivo eti watu wangejaa kwa Mungu mwenye uwezo wa kuwaweka wote kweny chupa. Kwani ulimwengu mbona unaexist malaika na kila kitu ndani yake na haujajaaa
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
mimi hata nikiona uovu wangu haisaidii kitu maana siwezi kubadilika tofauti na alivyopanga yeye. Kwa hiyo hata point ya kusema mitihani ni kwa ajili yangu bado ni insanityWewe ndo Muhusika wa kuona uovu wako sio yey maan kashaona kila uovu ndo maan anasema ukifika kwenye hukumu itakuwa kama umelala usingizi jana usiku then ukaamka meaning utaeza process everything
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
unaweza kurekebisha alichokiona mungu kwa kwenda tofauti na alivyoona mwanzo kabla hakijatokea?Yani unapewa neema ya kurekebisha makosa unakuja kulaumu daa ulitak usiwepo uingie shimoni moja kwa moja nd ukalalamike vizuru
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
hayo madai ya uongo aliyoyatoa shetani umeyapata kutoka upande wake baada ya kumsikiliza?Nishajibu hilo swali wacha nikupe tena mfano.
Hivi kwanin mtuhumiwa hafungwi mpaka kesi yake isikilizwe na agundulike ni kweli aliiba? Kinachofanyika sasa baada ya shetani kwenda kutoa madai ya uongo kuhusu muumba Mungu alikua na uwezo wa kumuua pale pale, lakini viumbe wengine wenye akili wangeonaje hicho kitendo?
Baadhi ya malaika wangeona kwann Mungu kamuua,basi shetani ni mkweli kwa hiyo wengi wangemuunga mkono katika uasi wake.
Mungu kamuacha shetani ili athibitishe madai yake kwamba Mungu anawanyima watu uhuru na muda utakapofika kila mtu akishajua kuwa shetani ni muongo na ameshindwa kutuletea amani bas anapndolewa. Yani ni muda tu
Mtu akifa anakuwepo katika dimention nyingine tofauti kabisa hasa baada ya siku 40 anaingingia katika inner or deep stageMtu akifa amekufa either heaven or hell hakuna alierudi
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
uasi uliofanywa na nani? bila shaka utasema shetani
Hayo madai yapo kwenye maandiko na ushahidi ni jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana shetani kashindwa kabisa kuiongoza dunia,kwa hiyo tunahitaji utawala wa Munguhayo madai ya uongo aliyoyatoa shetani umeyapata kutoka upande wake baada ya kumsikiliza?
ili uthibitishiwe panya wanaongea ukipewa kitabu cha darasa la pili kinachoelezea mipango ya panya kumvika paka kengere hiyo itakua uthibitisho kuonesha panya wanaongea?Uthibitishiwaje na mtu kuna Mungu wakati njia za kujua kama yupo unazijua kasome bible acha kumsumbua mwenzio. Mtu mwenye dhambi amefungwa asione. Unataka kumuona Mungu simple sana acha uovu
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Unakosea tu hapo unaposema shetani kaumbwa. Shetani kabla ya kuwa shetani (mpinzani) alikua malaika baada ya kuasi ndio akawa shetani.alipokua anamuumba shetani alijua au hakujua outcome yake?
maandiko kutoka upande gani?Hayo madai yapo kwenye maandiko na ushahidi ni jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana shetani kashindwa kabisa kuiongoza dunia,kwa hiyo tunahitaji utawala wa Mungu
Mungumaandiko kutoka upande gani?
shetani au mungu?
kwa hiyo upeo wa mungu uliishia kumuona shetani akiwa malaika tu haukuweza kumuonesha extra miles kua atakuja ku change?Unakosea tu hapo unaposema shetani kaumbwa. Shetani kabla ya kuwa shetani (mpinzani) alikua malaika baada ya kuasi ndio akawa shetani.
Ulishawahi kusikia huyu mzazi kazaa jambazi? Kila mzazi anazaa mtoto mwema ila baadaye mtoto mwenyewe anaamua kuasi.