Wewe hata swali hujalielewa.Hayo yote majanga, magonjwa hayakuepo kabla ya uasi. Matatizo yalikuja baada ya kuasi,kwa hiyo kama kusengua na uasi kusingekuwa na mambo yote mabaya uliyotaja
Hajashindwa,lakini kama kusingekuwa na sheria ungemjua muumbaji? Mfano mwingine. Hivi barabarani kusingekuwa na sheria kwa ajili ya usafiri,hivi tungeweza kuendesha kweli?Wewe hata swali hujalielewa.
Nakuuliza, Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na ubaya wowote, pamoja na uasi? Maana uasi nao ni ubaya.
Wewe unanijibu, hayo yote hayakuwepo kabla ya uasi.
Hujaelewa swali.
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu uasi?
Kwani kuwa na ulimwengu usiokuwa na mabaya, matetemeko ya ardhi, ma tsunami, magonjwa, vifo, njaa, uasi ni kuwa na ulimwengu usio na sheria?Hajashindwa,lakini kama kusingekuwa na sheria ungemjua muumbaji? Mfano mwingine. Hivi barabarani kusingekuwa na sheria kwa ajili ya usafiri,hivi tungeweza kuendesha kweli?
Wasingejua,hapo ulipo tu una kiburi sababu hauna tatizo. Je kusingekuwa na matatizo?Kwani kuwa na ulimwengu usiokuwa na mabaya, matetemeko ya ardhi, ma tsunami, magonjwa, vifo, njaa, uasi ni kuwa na ulimwengu usio na sheria?
Mbona hata huo msingi wa "ulimwengu usio na mabaya" ni sheria tayari inayokataza mabaya?
Unataka kusema Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na wakati huo huo watu wanamjua muumbaji?
Hujajibu swali langu.Wasingejua,hapo ulipo tu una kiburi sababu hauna tatizo. Je kusingekuwa na matatizo?
Ndo mjinga gani tena jamani!!😬😬!Primo Levi
Wewe ndiye mwenye ujinga wa kutomjua.Ndo mjinga gani tena jamani!![emoji51][emoji51]!
Hana faida ndio maana sitaki kumjuaWewe ndiye mwenye ujinga wa kutomjua.
Zaidi unamuita mtu usiyemjua mjinga.
Wewe unakumbatia ujinga, unajuaje hana faida wakati humjui?Hana faida ndio maana sitaki kumjua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2772]mamaeeee walahWewe unakumbatia ujinga, unajuaje hana faida wakati humjui?
Ww umejuaje ni ujinga,nipe ushahidi. Ww kumjua kwa umepata nini cha kuthibitika?Wewe unakumbatia ujinga, unajuaje hana faida wakati humjui?
Kudismiss kitu usichokijua ni ujinga.Ww umejuaje ni ujinga,nipe ushahidi. Ww kumjua kwa umepata nini cha kuthibitika?
Asante kwa kukubali kuwa mjinga kwa kutomjua MunguKubdismiss kitu usichokijua ni ujinga.
You are an incurious ignoramus.
mkuu huku nilikuwa swali ila umekimbia?mimi hata nikiona uovu wangu haisaidii kitu maana siwezi kubadilika tofauti na alivyopanga yeye. Kwa hiyo hata point ya kusema mitihani ni kwa ajili yangu bado ni insanity
Swali gani ambalo nimekimbia?mkuu huku nilikuwa swali ila umekimbia?
labda nikuulize swali hivi kuboresha huduma za afya kunapunguza idadi ya vifo?
Swali gani ambalo nimekimbia?
Kama wewe ni msomaji mzuri kachunguze kisa cha Abrahamu na Isaka kwa makini!
Abraham anaambiwa akamtoe isaka, wanaenda mlimani na Abraham anafunga isaka ili amchinge .....
Sasa ona Mwanzo 22:12 Kisha akasema: “Usimdhuru mvulana huyo, wala usimtendee lolote, kwa maana sasa ninajua kwamba unamwogopa Mungu kwa sababu hukuninyima mwana wako, mwana wako wa pekee.”
Niambie hilo neno "kwa maana sasa ninajua" linamaanisha nini kwa wakati uliopita?
Kwanza unaelewa hayo maneno ya huo mstari yamemnukuu nani?Kama wewe ni msomaji mzuri kachunguze kisa cha Abrahamu na Isaka kwa makini!
Abraham anaambiwa akamtoe isaka, wanaenda mlimani na Abraham anafunga isaka ili amchinge .....
Sasa ona Mwanzo 22:12 Kisha akasema: “Usimdhuru mvulana huyo, wala usimtendee lolote, kwa maana sasa ninajua kwamba unamwogopa Mungu kwa sababu hukuninyima mwana wako, mwana wako wa pekee.”
Niambie hilo neno "kwa maana sasa ninajua" linamaanisha nini kwa wakati uliopita?