Sikuwahi kutafakari kwa nini aliniambia hivi. Toka afariki huwa nakumbuka sana . .Tatu acha na mambo ya dhuluma. Wengi wanakwama kwa sababu ya dhuluma. Babu yangu alinionya nisije kuwa mwizi au kuwa polisi alikataa kabisa....
Mwizi na polisi hata mm Babu yangu aliwai nambia π€
Kuna wizi wa kalamu na wizi......kibaka
π₯ Babu atakua alimaanisha wizi wa ujambazi "kibaka"
Mm piaSikuwahi kutafakari kwa nini aliniambia hivi. Toka afariki huwa nakumbuka sana . .
Sasa ndo lijue hili,baada ya kuhitimu shule dhania sasa shule halisi ndo inaanzi!!Sawa nashukuru. Ila ni kama umenitisha. Hata huku kusoma mbona ni mapambano pia? Au unaongelea mapambano yapi?
Kuna brother angu mmoja ni tycoon kwenye media.....Tengeneza Connections.
Kwa watu Mkuu Mimi Kuna Mtu nilikuwa namchukulia kawaida lakini kamuingiza Jamaa yangu Serikalini so tukae vizuri na watuZinapita wap connection
Kuna jambo KWAKO linaweza kua gumu ila ukishirikisha watu yaan ukali communicate unaweza shangaa....linafanikishwa na hata usie mtegemea...Kwa watu Mkuu Mimi Kuna Mtu nilikuwa namchukulia kawaida lakini kamuingiza Jamaa yangu Serikalini so tukae vizuri na watu
1. KIWANJA & MASHAMBA (wekeza kwenye ardhi usije ukaja kujuta kwa nini huku nunua eneo flani kipind iyo viwanja vilikua bei cheee la muhimu zingatia location)Heri ya siku njema ya leo.
Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea kutimizia 25 hivi karibuni. Ninasoma chuo kikuu mwaka wa nne(wa mwisho).
Nimewaona wengi ambao wangeweza kunishauri vitu vya msingi vya kuwa navyo umri huu kabla muda haujaniacha, ila kwa heshima ya madini yatokayo JF nimeamua kuja humu kwanza kutoa duku duku langu hili.
Humu najua tupo watu tofauti ila wengi ni intellectuals. Naomba mnisaidie fumbo langu hili, kulitafsiri na kuniambia chochote kitu.
Sitaki kujutia kama wengi wa miaka 50+ wanavyojuta, kwa kushindwa kuukomboa wakati. Sitaki yanifike hayo.
Wakati ni sasa, na leo ni leo asemaye kesho ni mwongo. Wakati umeiva!
Kuna jambo KWAKO linaweza kua gumu ila ukishirikisha watu yaan ukali communicate unaweza shangaa....linafanikishwa na hata usie mtegemea...
Nakazia1. KIWANJA & MASHAMBA (wekeza kwenye ardhi usije ukaja kujuta kwa nini huku nunua eneo flani kipind iyo viwanja vilikua bei cheee la muhimu zingatia location)
2. KUJENGA (usisubir uwe na ela nyingi ndo uanze ujenzi au uzeeni ela ya pension)
3. WEKEZA (utt AMIS mfukoni wa bond au liquidity, government bond, hisa, fixed deposit account (FDA), cryptocurrency ila apa ujue coin gani nzuri uwekeze ila nzuri ni top 3 au 2 BTC, ETH na labda BNB, kuna Mashamba uko unawez ukaenda kulima mikorosho au mbao)
4. BIASHARA (anzisha biashara iendeleze mpak watot nawo waje wafany iyo biashara uwafundishe iwe kama ya familia wajue baba anafanya biashara iii ata wasipo ajiriwa maisha yao pia yaende kulko kumsubir mty au connection)
5. WATOTO( tafta watot mapema ila kama una uwezo wa KUHUDUMIA kama hauna uwezo jipange usije ukamuumiza dogo)
6. JIPENDE ( balance diet, maji mengi, matunda, mazoez....punguza pombe na sigara vyanzo vya mgonjwa mengi uzeeni [emoji117]liver cirrhosis, kansa ya kooo, kidney failure na magonjwa mengine)
7. MARAFIKI (tafta marafik ambao watakusaidia ukiwa na shida na ww pia)
8. KUSOMA (endelea kusoma kdg kdg usije juta bdae we una diploma wenzio wana master)
9. SALI (mwombe mungu sana upate mty aliye sahihi + utenge mda wako kumjua mty unaeenda kuanza nae maisha usikurupuke)
10. TAFTA ELA HASWA NA UUKATAE UMASKINI NI MBAYA SANA ( amna kity kinamuumiza mzazi kama kukosa ela ya ada, matibabu, chakula na mambo mengine ya ki financial ni bhax ty)
Nakumbuka Uzi wa mshana jr akitambua michango ya ma Dr. Yaan PhD wewe ukiwa mmoja wao.....πππππ€π€Sure tunabidi kukaa vizuri na watu hasa wasomi wenzetu
Apo anakua 100% successful1. KIWANJA & MASHAMBA (wekeza kwenye ardhi usije ukaja kujuta kwa nini huku nunua eneo flani kipind iyo viwanja vilikua bei cheee la muhimu zingatia location)
2. KUJENGA (usisubir uwe na ela nyingi ndo uanze ujenzi au uzeeni ela ya pension)
3. WEKEZA (utt AMIS mfukoni wa bond au liquidity, government bond, hisa, fixed deposit account (FDA), cryptocurrency ila apa ujue coin gani nzuri uwekeze ila nzuri ni top 3 au 2 BTC, ETH na labda BNB, kuna Mashamba uko unawez ukaenda kulima mikorosho au mbao)
4. BIASHARA (anzisha biashara iendeleze mpak watot nawo waje wafany iyo biashara uwafundishe iwe kama ya familia wajue baba anafanya biashara iii ata wasipo ajiriwa maisha yao pia yaende kulko kumsubir mty au connection)
5. WATOTO( tafta watot mapema ila kama una uwezo wa KUHUDUMIA kama hauna uwezo jipange usije ukamuumiza dogo)
6. JIPENDE ( balance diet, maji mengi, matunda, mazoez....punguza pombe na sigara vyanzo vya mgonjwa mengi uzeeni [emoji117]liver cirrhosis, kansa ya kooo, kidney failure na magonjwa mengine)
7. MARAFIKI (tafta marafik ambao watakusaidia ukiwa na shida na ww pia)
8. KUSOMA (endelea kusoma kdg kdg usije juta bdae we una diploma wenzio wana master)
9. SALI (mwombe mungu sana upate mty aliye sahihi + utenge mda wako kumjua mty unaeenda kuanza nae maisha usikurupuke)
10. TAFTA ELA HASWA NA UUKATAE UMASKINI NI MBAYA SANA ( amna kity kinamuumiza mzazi kama kukosa ela ya ada, matibabu, chakula na mambo mengine ya ki financial ni bhax ty)
Abet kama kamari tu..Pia beti Hata buku 2 kwa wiki Itakusaidia d0g0...Anza le0 nakupa code ya sportybet 82656E Weka Buku tu...utanishukuru kesh0..
Mm sijawai bet na sijawai tarajia ntakuja bet.....najua watu wote makini huwaga hawa bet....in JPM voice π€£π€£Pia beti Hata buku 2 kwa wiki Itakusaidia d0g0...Anza le0 nakupa code ya sportybet 82656E Weka Buku tu...utanishukuru kesh0..
Hawawazi ya keshoYes bro #mshanajr saving muhimu but hawa vijana wa chuo wakipata boom lote wanalimalizia club and that is problem tena kubwa saana