Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini kipindi cha samia gdp per capita imeshuka tumerudi tena kwenye kundi la nchi maskiniMwambie hiyo 10k sio chakula unachoweza ita mlo kamili.
Wanga ni nyingi wakati haitakiwi.
Hapana mkuu wapo wengi sana wanaopata zaidi ya hiyo, wanasiasa wenye vyeo, wanajeshi wenye vyeo, watumishi wa kwenye mashirika na mamlaka za serikali wenye vyeo, watumishi wa taasisi na kampuni kubwa binafsi wenye vyeo, wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa, nkUtoto unakusumbua ukikua utaacha
Watanzania wanaopata zaidi ya million 5 kwa mwezi hawafiki hata elfu 50 kati ya watanzania million 60+
Wewe unatumia hisia na sio gdp per capita income
Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini kipindi cha samia gdp per capita imeshuka tumerudi tena kwenye kundi la nchi maskini
Nimeshangaa sana na hiki ulikua hukijui hivi huko shuleni mnasomaga au mnasukuma siku ziende
Hujui gdp per capita ndo kipimo cha kujua nchi ni maskini au tajiri na bado hujui aiseeee
Haelewi huyo jamaa bado hajaanza kujitegemea analeta Mambo ya shule kwenye maisha halisi watu wanavyo ishiMwambie hiyo 10k sio chakula unachoweza ita mlo kamili.
Wanga ni nyingi wakati haitakiwi.
Tupo kwenye level ya nchi maskini sababu gdp per capita income ilishuka ambayo wewe hujui maana yake😃😃
Elimu ya kukariri mbaya Sana.
Nchi yetu itachukua miaka mia mbili kuondoka kwenye nchi maskini.
Sasa hivi tupo kwenye level ya poorest countries hatujafikia kweney Umaskini wa kawaida.
Kipi hauelewi ndugu
We ni mtoto kama hujui tu gdp per capita income sasa nikusaidiajeHaelewi huyo jamaa bado hajaanza kujitegemea analeta Mambo ya shule kwenye maisha halisi watu wanavyo ishi
10k nime mtolea mfano tu, ila bado haitoshi vile vileMwambie hiyo 10k sio chakula unachoweza ita mlo kamili.
Wanga ni nyingi wakati haitakiwi.
No it's how you percieve success or poverty!You mean mental illness?
Mleta uzi ni mtoto ambaye anatafuta umaarufuMilioni tano nyingi sana mkuu.
Tupo kwenye level ya nchi maskini sababu gdp per capita income ilishuka ambayo wewe hujui maana yake
Bado hajayajua maisha huyu.Mleta uzi ni mtoto ambaye anatafuta umaarufu
Milioni tano nyingi sana mkuu.
Tunazungumzia kipato Cha mtu mmoja mmoja elewa sio taifa kwa ujumla, naona wewe ndio huelewi unacho andikaWe ni mtoto kama hujui tu gdp per capita income sasa nikusaidiaje
Yah tupo huku uswahili tunaishi na tunapendeza kwa mshara huo wa muhindi.Bado hajayajua maisha huyu.
Kuna watu wana familia na wanalipwa 180,000/=.
Na ukimuona huwezi amini anaweza ishi kwa hiyo amount.
Bora ya wazungu wanatumia kipimo, ila wewe unatumia hisia zako alafu unataka watu wakuamini maisha sio marahis hivyoWazuñgu wanapotaja neno Maskini huku Afrika inamanisha fukara, yaani ile iliyoptiliza.
Mfano kwao maskini ni mtu anayeishi chini ya dola moja ambayo kwa sasa ni Tsh 2500
Sasa hiyo 2500 mtu akiishi chini ya hiyo huyo sio tuu ni maskini bali ni maskini aliyepitiliza(Fukara)
Umeelewa Mr. Gdp
Bado hajayajua maisha huyu.
Kuna watu wana familia na wanalipwa 180,000/=.
Na ukimuona huwezi amini anaweza ishi kwa hiyo amount.