Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Mwambie hiyo 10k sio chakula unachoweza ita mlo kamili.
Wanga ni nyingi wakati haitakiwi.
Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini kipindi cha samia gdp per capita imeshuka tumerudi tena kwenye kundi la nchi maskini

Nimeshangaa sana na hiki ulikua hukijui hivi huko shuleni mnasomaga au mnasukuma siku ziende
Hujui gdp per capita ndo kipimo cha kujua nchi ni maskini au tajiri na bado hujui aiseeee
 
Utoto unakusumbua ukikua utaacha
Watanzania wanaopata zaidi ya million 5 kwa mwezi hawafiki hata elfu 50 kati ya watanzania million 60+
Hapana mkuu wapo wengi sana wanaopata zaidi ya hiyo, wanasiasa wenye vyeo, wanajeshi wenye vyeo, watumishi wa kwenye mashirika na mamlaka za serikali wenye vyeo, watumishi wa taasisi na kampuni kubwa binafsi wenye vyeo, wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa, nk
 
Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini kipindi cha samia gdp per capita imeshuka tumerudi tena kwenye kundi la nchi maskini

Nimeshangaa sana na hiki ulikua hukijui hivi huko shuleni mnasomaga au mnasukuma siku ziende
Hujui gdp per capita ndo kipimo cha kujua nchi ni maskini au tajiri na bado hujui aiseeee

😃😃
Elimu ya kukariri mbaya Sana.

Nchi yetu itachukua miaka mia mbili kuondoka kwenye nchi maskini.
Sasa hivi tupo kwenye level ya poorest countries hatujafikia kweney Umaskini wa kawaida.
Kipi hauelewi ndugu
 
Tupo kwenye level ya nchi maskini sababu gdp per capita income ilishuka ambayo wewe hujui maana yake

Wazuñgu wanapotaja neno Maskini huku Afrika inamanisha fukara, yaani ile iliyoptiliza.
Mfano kwao maskini ni mtu anayeishi chini ya dola moja ambayo kwa sasa ni Tsh 2500
Sasa hiyo 2500 mtu akiishi chini ya hiyo huyo sio tuu ni maskini bali ni maskini aliyepitiliza(Fukara)

Umeelewa Mr. Gdp
 
Bora ya wazungu wanatumia kipimo, ila wewe unatumia hisia zako alafu unataka watu wakuamini maisha sio marahis hivyo
Unasafari ndefu sana kifikra sababu unaishi kwenye fantasy world
 
Bado hajayajua maisha huyu.

Kuna watu wana familia na wanalipwa 180,000/=.

Na ukimuona huwezi amini anaweza ishi kwa hiyo amount.

Ishu sio kuishi.
Watanzania wapi tunakwenda.
Kinajadiliwa kingine mnaingiza mengine.
Kwani haiwezekaniki mtu kuishi kifukara?
 
Back
Top Bottom