Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Wenye hela hawawezi weka avatar kama aliyoweka yeye.. hizo editing za picha zinapatikana infinix sijui 🤣
Ni maskini mwenzetu, aje tupeleke CV kwa Boss la DP World
Hakuna sehemu mtoa mada kasema yeye ni tajiri au kutaja kipato chake,ila kaandika anachoona yeye ni sawa haijalishi yeye anavyo au hana,shida yetu wabongo wengi ni masikini sana na tunapenda maneno ya faraja,mtu akituchana ukweli tu tunapaniki na lazima tumshambulie
 
Basi nyamaza mkuu, usilie 😘
 

Hiyo mishahara ni midogo mkuu. Hiyo wanalipwa vibarua, wafanyakazi wa kwenye viwanda, call center n.k.
Kwa mwaka ndio inarange usd 23k to 35k
 
Mkuu inawezekana tunatofautiana mitizamo. Ila kwa Tz yetu hii useme kwamba 5M ni masikini? Aisee inabidi wengine turudi shule kujifunza maana halisi ya umasikini.
Hebu jaribu kuangali mishahara ya public sector around the world. Utagundua Tz tunajitahidi.
Tuache utani 5M ni pesa ya kuishi.
 
ila wewe jamaa una akili fupi sana, unajua maana ya umaskini?
 
Ukisikia mgambo wanaruka na kukanyagana ndo huku sasa,mara wealth is infinity,mara milioni tano ni pesa nyingi ya utajiri? Mzee tukueleweje? Halafu muda huohuo unatuasa vijana tuamke tutafute hela,hela gani sasa kama milioni 3 kwako ni utajiri?
 
Ukisikia mgambo wanaruka na kukanyagana ndo huku sasa,mara wealth is infinity,mara milioni tano ni pesa nyingi ya utajiri? Mzee tukueleweje? Halafu muda huohuo unatuasa vijana tuamke tutafute hela,hela gani sasa kama milioni 3 kwako ni utajiri?
Umedandia Treni Kwa mbele itakugonga,red btn lines arifu.
 
Mkuu kumbe yule binti kimoso ndio anamlea jamaa, maana posts zake nyingi za kitoto na zimejaa picha za binti kimoso, kweli usiamini kila kinachoandikwa jf
Hahaaaaa unamfahamu. Hana lolote anatishia watu tu humu JF, tunaomfahamu toka anajinyea na kunya minyoo kule Ugweno Upareni hatusumbui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…