Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Hakuna utajiri mkubwa kama kua na afya njema na kuwa ni mtu mwenye kushukuru, haya maisha ya show off unaweza ingaza hata zaidi ya milioni 10 na ukawa ni mtu wa stress tu.
Ndugu zangu mara moja moja mkipata nafasi muwe mnatembelea mahospitalini kuwajulia hali wagonjwa msisubiri mpaka nyinyi wenyewe muugue ndio muende hospital.
Kuna rafiki yangu alitaka kujiua kisa duka lake limeungua, alijifungia ndani wiki nzima hataki hata chakula, baada kupata hizo habari nikaenda kwake nikaforce twende tukatembee apunguze stress, alinikatalia katakata baada ya kumlazimisha sana ndio akakubali, ilikua ni jumapili nilinunua vizawadi kidogo halafu moja kwa moja nikampeleka Ocean Road kwenda kuwajulia hali wagonjwa wa Cancer.
Baada ya kurudi tu home kitu cha kwanza jamaa aliomba ugali, baada ya kula na kushiba akipiga goti kumshukuru Mungu kwa neema kubwa ya afya aliyonayo.
 

Afya kila mtu anaweza kuwa nayo.
Lakini utajiri ni zawadi ya wateule wachache
 
Hivi viwango ni vya Ulaya au Africa?
 
Umaskini au utajiri ni vile unavoyaona mambo kwa mtazamo wako binafsi!!

Vipimo vingi vya umaskin sio halisi ni vya kutengeneza kutokana na malezi na makuzi ya mtu au elimu feki ambayo haisadifu uhalisia!!

fedha sio chakula Wala afya SEMA Kuna watu wachache sana walizifanya hizI karatasi zionekane za maana kumbe ni ujinga mtupu!!

kwangu mimi simuoni mtu tajiri Sana eti kisa ana makaratasi meeengi kwenye nyumba iitwayo Benki!!


Umaskini was kumiliki fedha au kuthaminisha kitu kwa fedha ni WA kutengeneza na elites fulani na kutuaminisha eti hizo karatasi ndio thamani ya status ya mtu kwenye jamii!!
 
Sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…