Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Khahahahahahaha.
Mawazo ya maskini bhana😂

Na ukae ukijua,kama unaishi kwenye Nchi ambayo Ina deni zaidi ya trillion 70 wewe ni mfugo uliokwisha uzwa.

Kwa maana,Kuna uwezekano wa mishahara yote watumishi wanalipwa Kwa fedha za mikopo kutoka IMF.

Nchi inakuwa Maskini,Takataka,Fukara iliyojaa watu wajinga kupitiliza wasiojielewa,kwao Bora Uzima😭😭😭.

Wasomi wasiojua ni Kwa nn wamesoma.
 
Kitu cha kuvutia ni kuwa wew pia ni takataka,

Kingine, madeni ya nchi hayatuhusu, wew kuwa na pesa nying zako zinatosha, usiamze kuleta maneno mingi,
 

Duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…