Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

What is Poverty? Is a failure or unable to meet Basic needs, eg, Food, clothes and shelter.

Kwa definition Yako ya umaskini unachanganya needs vs wants.

Utakuwa Bado uko Kwa dada ukianza maisha utajua ukweli.

Hiyo tafsiri uliyokariri kidato cha kwanza unamzungumzia Fukara ambayo ndio stage ya chini Kabisa ya Umaskini.
Ndio wanaitwa chini ya dola moja
 
Khahahaha,mkuu.
Uko siliasi kweli na kusema deni la Taifa haliwezi kukugusa!.
Pole yako
 
Maskini aliyechangamka.
Kwa uelewa wako ukiingiza kila mwezi milioni tano wewe ni tajiri?
Utajiri una definition kubwa na wealth it's Infinity, sijui kama ulishawahi tengeneza hata. 2ml Kwa Mwezi wewe out formal system,

Wakati Niko namaliza chuo wenye mawazo kama Yako walikuwa wengi, Tena wlisema mshahara wa million 3 Kwa Mwezi ni mdogo sana siwezi Fanya kazi ila 99 percentage now wana less than 1,000,000 Gross salary per month na wengine hata kazi wamekosa.
My take; Vijana tuamke tuache kuishi maisha ya kimtandao go and make money you stop talking this non sense,
Kama umeajiliwa tuanze na wewe weka slip attach one slip or kama ni inform sector returns zako hapa,

Nje na hapa ni mawazo ya watoto wanao kaa Kwa shemeji.
 
Ingawaje umaskini kwa upande mwingine ni mtazamo. Mtu anaweza kuwa Maskini wa kipato lakini akawa anajiona tajiri(mental illness) alafu yupo mwenye kipato cha milioni 100 alafu anajiona maskini(hana shukrani).

Ijumaa Kareem

Mkuu hili hitimisho la "mental illness" na "hana shukrani" limetokana na utafiti ama maoni binafsi?
 
Chali angu punguza mahubiri sehemu isiyohitaji mahubiri. Kuhusu ugonjwa unaweza kumpata yeyote bila kujali tajiri wala maskini. Kuna maskini wangapi wanakufa kwa kukosa pesa ya kugharamia matibabu? Halafu kama maskini wana furaha kwa kula chochote kwanini Life Expectancies za Afrika ni ndogo kuliko kwa mabeberu? Kumtaja Yesu kwenye ishu za umaskini hujamtendea haki. Yesu alikuwa hapendi kabisa umaskini na wala kwenye ishu zake alikuwa hahusishi maskini. Wale wanafunzi wake wote aliwachukua kutoka makazini mwao na sio kwamba walikuaa labda vijana wa vijiweni jobless akawabeba afanye nao kazi. Kwa mfano Petro alikuwa mvuvi professional. Hata Mungu mwenyewe alikuwa akiwawezesha manabii zake kiuchumi. Hakuna nabii wa Mungu maskini. Mungu ni wa wote haijalishi tajiri wala maskini. Ni kujifariji kipuuzi kudhani kwamba Mungu hajihusishi na matajiri.
 

Sasa kijana ataamkaje ikiwa hajui kuwa chini ya milioni tano bado upo kundi la maskini.
Ninyi ndio mkipata milioni tatu kila mwezi mnajiona madoni lakini kimsingi ninyi ni maskini bado.
 
Sasa kijana ataamkaje ikiwa hajui kuwa chini ya milioni tano bado upo kundi la maskini.
Ninyi ndio mkipata milioni tatu kila mwezi mnajiona madoni lakini kimsingi ninyi ni maskini bado.
Get that monkey out of you; nakuchallange attach salary slip Yako au TRA returns then tuendelee kuongea otherwise unakaa Kwa shemeji,

Manake unaongea unazani pesa ni maembe utachuma tu.
 
Get that monkey out of you; nakuchallange attach salary slip Yako au TRA returns then tuendelee kuongea otherwise unakaa Kwa shemeji,

Manake unaongea unazani pesa ni maembe utachuma tu.

Salary slip ili uthibitishe nini Mkuu?
Yaani kwa vile unalipwa hicho kimilioni umeitwa maskini ndio unapiga mayowe hapa
 
Salary slip ili uthibitishe nini Mkuu?
Yaani kwa vile unalipwa hicho kimilioni umeitwa maskini ndio unapiga mayowe hapa
Siko kwenye formal sector,navuna kitaa ila nakusadia tu ukweli pesa sio maembe amka ukatafute wanao hustle wanajua.

Hizi ndo mentality unapata opportunity huna mbele wa nyuma unaambiwa utalipwa laki 2 Kwa Mwezi unaona Bora uendelee kukaa Kwa shemeji.

Stories za kahawa na kuota magorofa na V8 Kwa mwaka 1 zinaharibu mentality za vijana. # No easy money may be ukawe shoga
 

😆
Mbona kama umepaniki?
Kosa langu ni lipi?
Mimi nimesema kuwa wewe kama unajijua uchumi wako na kipato chako kwa mwezi ni chini ya milioni tano jua bado upo kundi la watu Maskini.

Sasa hayo maelezo yako yote hapa hayana maana yoyote.

Wapo wanaokaa kwa shemeji zao na wanaingiza pesa kuliko wewe. Hivyo majivuno yako hapa hayana maana yoyote
 
Tzsh 5,000,000 per month, it's Tzs 60 million per year,unawezaje kusema ni masikini ,lower income, lower/upper middle income, higher income...... Benchmark standard huzijui umekuja na personal opinion tu sio Global standard.

Maskini aliyechangamka.
Yupo kwenye nafasi nzuri ya kuingia katika daraja la utajiri katika hatua ya awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…