Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Sasa kwa utu uzima wako unapoambiwa upo nchi maskini Unafikiri wanamaanisha jambo gani?
Kwamba nchi maskini ndo wanatumia hiko kigezo chako
Unajua vigezo vya kujua hii nchi ni maskini
We endelea kutafuta umaarufu kwa kupost ujinga na utoto
Unaweza ukawa maarufu kwa mambo ya kijinga kumbuka hata mwijaku na baba levo ni maarufu
 
Wengine wanapata laki 5 Kwamwezi na Bado Wana magari, sema haya mambo ni priority tu,
 
Kwamba nchi maskini ndo wanatumia hiko kigezo chako
Unajua vigezo vya kujua hii nchi ni maskini
We endelea kutafuta umaarufu kwa kupost ujinga na utoto
Unaweza ukawa maarufu kwa mambo ya kijinga kumbuka hata mwijaku na baba levo ni maarufu

Moja ya kigezo cha umaskini ni pamoja na pato la mtu mmojammoja.
Ndio hapo nikakuambia kama upo chini ya milioni tano bado upo kwenye daraja la Umaskini.

Wewe kipi hapo unaona hakipo sawa.
Maana wenye hivyo vipato vya hiyo milioni tano wenyewe wanajua nazungumzia nini. Lakini wewe kwa vile huna hicho KIPATO huwezi Elewa
 
Pato la mtu mmoja hapa Tanzania ni gdp per capita $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka ukizidisha kwa rate ya dollar ya sasa ni kama million 3 kwa mwaka ukigawanya kwa 12 utapa kama laki 2 karibia laki 3 hiko ndo kipato cha kila mtanzania kwa mwezi
 
Pato la mtu mmoja ni $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka ukizidisha kwa rate ya dollar ya sasa ni kama million 3 kwa mwaka ukigawanya kwa 12 utapa kama laki 2 karibia laki 3 hiko ndo kipato cha kila mtanzania kwa mwezi
Hoja yako ni ipi?
Huo ni ufukara hatujafika level hata ya maskini wa Kawaida. Achilia mbali maskini aliyechangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…