Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kipindi cha magufuli tulipanda sahivi tumeshuka na hili tena hulijui pole sana

Attached doc, inaonyesha ni jinsi huko shule ulienda kula makamasi,

Document toka world bank ya September 2023 inaonyesha bado tupo LMIC sasa wee nionyeshe lini tulitoka kwenye middle income mtu uliye enda shule
 
Attachments

  • IMG_20240302_133814.jpg
    IMG_20240302_133814.jpg
    203.9 KB · Views: 3
Huo ujinga wako peleka huko oysterbay na Masaki.Mimi nashi kijijini nalima na kufuga na nina mapato ya tsh milioni tatu kila mwezi naabudiwa hapa kuliko mfalme.BEFORE YOU WRITE ANY THING FERIFY WHAT KIND OF AUDIENCE ARE YOU AIM AT.
Brother huyo asikuumize kichwa kachoka kweli kweli
 
Nambie gdp per Capital yetu ni ngapi? Nambie hio kututoa katutoa nani? Nionyeshe latest data toka world bank au IMF (ambao ndio wanapanga hayo makundi) kusapoti maneno yako, lastly nambie hio video ni ya mwaka gani?

Kwenye uchumi tunaleta namba sio maneno, sema mwaka fulani tulikuwa na per Capita fulani so tulikuwa tumeshuka, na sasa tunayo per Capital kiasi fulani ambayo ni lower income,
 
Huo ujinga wako peleka huko oysterbay na Masaki.Mimi nashi kijijini nalima na kufuga na nina mapato ya tsh milioni tatu kila mwezi naabudiwa hapa kuliko mfalme.BEFORE YOU WRITE ANY THING FERIFY WHAT KIND OF AUDIENCE ARE YOU AIM AT.

😃😃
Sasa mkuu milioni tatu hiyo anayekuabudu huoni kama atakuwa na matatizo ya Akili.

Kwa fukara milioni tatu ni parefu.
 
Kama unalipwa chini ya 5M kumiliki gari DSM ni kujiongezea mzigo. Huu ushauri wa Gen Ulimwengu ulinifikirishaga sana.

Kwa sababu bado mtu huyo atakuwa anajitafuta.
Ingawaje kwenye nchi yetu kipato hicho wengi ndio huona wametoboa kwa sababu walipotoka ni parefu kwenye ufukara mpaka maskini aliyechangamka ni parefu.
 
Nambie gdp per Capital yetu ni ngapi? Nambie hio kututoa katutoa nani? Nionyeshe latest data toka world bank au IMF (ambao ndio wanapanga hayo makundi) kusapoti maneno yako, lastly nambie hio video ni ya mwaka gani?

Kwenye uchumi tunaleta namba sio maneno, sema mwaka fulani tulikuwa na per Capita fulani so tulikuwa tumeshuka, na sasa tunayo per Capital kiasi fulani ambayo ni lower income,
Kama humuamin Rais wako basi wewe unapenda ubishi wa kitoto na mimi siwezi endelea kubishana na wakati hio ilikua habari kubwa

Nimekuletea video kabisa ya Rais sababu ningekuletea habari ya kawaida usingeamini
Tusitumie nguvu kubwa kwa jambo ambalo lilishatolewa ufafanuzi na Rais wa nchi
 
Utajiri una definition kubwa na wealth it's Infinity, sijui kama ulishawahi tengeneza hata. 2ml Kwa Mwezi wewe out formal system,

Wakati Niko namaliza chuo wenye mawazo kama Yako walikuwa wengi, Tena wlisema mshahara wa million 3 Kwa Mwezi ni mdogo sana siwezi Fanya kazi ila 99 percentage now wana less than 1,000,000 Gross salary per month na wengine hata kazi wamekosa.
My take; Vijana tuamke tuache kuishi maisha ya kimtandao go and make money you stop talking this non sense,
Kama umeajiliwa tuanze na wewe weka slip attach one slip or kama ni inform sector returns zako hapa,

Nje na hapa ni mawazo ya watoto wanao kaa Kwa shemeji.
Huyu asikuumize kichwa ni choka mbaya sana. Nakubaliana na wale wanaosema anakaa Kwa shemeji.

Nilikuwa naona mshahara wangu mdogo lakini nilivyopitia ule Uzi wa Unaosema Hizi ndio taasisi zenye mishahara minono ilibidi mishukuru Mungu Kwa kile ninachokipata maana si Kwa comment zile
 
Back
Top Bottom