Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

A Asante Mkuu,nimependa kwa jinsi ulivyo nijibu kiungwana.Pia zaidi nimepata kitu kutokana na uchambuzi wako.
 
Most of weapons sold today are sold to enhance peace and prevent war rather than to be used miltary actions.
 
Ukiona panya anamdhihaki paka ujue kuna shimo jirani. Urusi ya leo siyo ile ya USSR.
 
Sasa hivi wana S500 mkuu
 
Mkiambiwa ukweli mnapanic


Mmarekani ana nn ambacho mrusi hana ama hatengenezi usitaje vingi taja kimoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ana silaha bila ya kuwa na pesa.Mtu wa design ni rahisi sana kugeuka jambazi kukaba watu kwa kutumia silaha zake ili aambulie chochote,rejea anachokifanya huko Cremea,Ukraine
 
Una ujuzi au uzoefu wowote wa utengenezaji silaha na biashara ya silaha za kivita?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crimea kafanya nn ?!
Kwan yale si yalikua maamuzi ya wana Crimea ama hakupiga Kura ?!
Urusi ana silaha bila ya kuwa na pesa.Mtu wa design ni rahisi sana kugeuka jambazi kukaba watu kwa kutumia silaha zake ili aambulie chochote,rejea anachokifanya huko Cremea,Ukraine
Sasa wewe rejelea anayo yafanya US Pale IRAQ SYRIA AFGHANISTAN


RUSSIA Walapesa Sio Tatizo Kwake Nandio Maana Hujawahi Msikia Akilia Lia Njaa Ama Kuomba Omba Kama Nchizadunia Yasaba Hzi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hujui kuhusu mambo ya missile, Russia anaziendesha hizo S400 hata kwa miaka 10 ijayo, Uturuki kaingia cha kike hafu usizani hayo Makombora wanayotengeneza yanaubora kama ambayo anatumia Urusi mwenyewe, mfano Hata USA zana anazowauzia wengine haziko first class kama anazotumia yeye,
 
 
 
Wewe umepata wapi hizo taarifa?
Have you ever served as Russian military personal?
 
Urusi wana bidhaa nyingi sana Mkuu.Urusi ana karibu viwanda vyote alivyonavyo Mmarekani.
Let's make good arguments here, mrusi ana kiwanda cha kutengeneza iPhone?

Refer your words up there
 
Wewe umepata wapi hizo taarifa?
Have you ever served as Russian military personal?
Hivi kwa akili yako unaweza kuuziwa kitu cha hatari kama silaha ambayo iko genuine 100%? Kawaulize Saudia wauliziwa ndege zile F-35 ambazo Trump alikuwa anazipamba kuwa hata rada haiwezi kuziona lakini kule Yemeni zilidondoshwa na waasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…