GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nenda Tiktok, X mpaka FB aachana na jf kwa muda kule pia kawaambie labda wanafikiri watanzania wote ni X, Tiktok na FB
Hakuna kitu 95 % hawajitambui , ukikaa hapo daslamu tu ,unaweza fikiri kila mtanzania ni mjanja🤔
 
Reactions: Lax
Answer my question, what about your Mama Abdul?
You know what they say, if you no better thing to say about somethings best to remain quite.

Best mention chawa wake for that to defend her. As for me no matter how you tempt me with your reserve psychology to defend her that will never happen.

I remain neutral and let nature take its course.

Ciao
 
Abdul what about your Mama?
 
Kama kuna mpango madhubuti kila la kheri.

kama hakuna mpango madhubuti tutambue M7 - 39 years , Biya - 43 years madarakani


"hoja ya hawawezi kua watu 1000" hii ni kweli kama watu watajitokeza kwa wingi

swali la msingi ni Tupo tayari? na malengo hasa ni yapi?
 
Binafisi ningekuwa Dar kama kufa ningefia kwenye geti la Abduli au la shemeji yake nikipambania zile
uchaguzi upo nchi nzima mkuu, kama upo ndani ya nchi kuna kwa mkuu wa wilaya , mkoa, mkurugenzi, mahakama

nilionya jambo hili
 
Kitu kimoja ambacho hakijawahi kufanyika kwenye maandamano ya Tanzania ni collective action.

Mimi kama mchunguzi na kwa nini imefikia hatua nasema Jeshi letu lazima liiungane na watu kubadilisha Serikali ni hivi, Tuna vyombo vya ulinzi na usalama visivyo weza ilinda nchi kwenye serious threats na national interests.

Katika Mataifa yaliyoendelea au yanayojitambua Samia asingeruhusiwa kugombea
 
Reactions: Lax
Iwe positive au negative hii nchi inahitaji mabadiliko!
 
Reactions: Lax
nakubaliana na wewe kwenye collective action --- na hapo binafsi kufikia kwenye uwezo wa kua na collective action maoni yangu huyu mama aapishwe afanye haya aliyoyafanya tena, uwezo wa collective action tunaupata chap sana

kwenye jeshi sio watu wa kuwaamini sana na wala kutaka kuwaingiza kwenye siasa -- sisi wananchi tujenge huo uwezo uliouita "collective action" ni njia sahihi sana kuliko kutegemea miujiza ya jeshi maana hapa ni afrika

tukifanikiwa kuifisha hii awareness katika level ya uraiani tutakua tumepiga hatua kubwa (japo sisi wa online ndo haohao wa uraiani ila mijadala hii ya online kule uraiani haipo wazi kama huku)
 
Mimi naamini hivyo!

Watanzania sisi tuliopo hatuna uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.

Kwa sasa hatuna huo uthubutu na kuna idadi kubwa sana ya watu wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome.
Nakubali.

Na wasichojua wengi jeshi huwa halianzishi tu hadi waone Wananchi wameanza.

Moves wanayojichanganya kama kweli watu wataandamana hiyo October 29 ni kuua watu. Hilo litakuwa kosa kubwa sana kwa jinsi hali ya mambo ilivyo.
 
Mfumo aliouweka bi chura ni ngumu sana kumpindua kwasababu wakubwa wenu wote kawaacha wale kwa urefu wa kamba zao

Hvyo hawatakubali kuona wanapoteza hyo nafas ya kula bila kuulizwa
Mkuu unaijua nafasi aliyokuwa nayo Idd Amin kabla ya mapinduzi?

Unaweza ukawa mkubwa ila huna ushawishi jeshini. Hii ipo.
 
Hii ni Lugha Gani umeandika mkuu ?
Huu ni upuuzi wa wasomi wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…