Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Magufuli huwa anafikiria sana Mara nyingi, hiyo ndio sifa kuu ya " Scientists " duniani kote, tatizo lake ni kiburi na hasira za haraka.
Hata kwa hili amekurupuka, alitakiwa aende mbali zaidi, kuchunguza ubora wa mashine hata kushirikisha wataalam wa nje washiriane na wetu.

Pili angeulizia hata historia za wenzetu wanazozitumia apate majibu yao pia. India walizikatas mashine toka china baada ya uchunguzi wa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is ludacris!
You shouldn't discredit your institutions in public like that before a comprehensive and conclusive investigation.
Uko sahihi na maoni yangu...ikiwa itathibitika kuwa mashine ziko sawa, atakuwa amejivua ngua kuwa hana wataalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I really hope Magufuli wins in the end against this disease then we will be living in an interesting world with new ideologies of right and wrong
 
We tend to overestimate capabilities of science at the expense of unexplainable events.we have blanketed most of the world with a single ideology of lockdown is the only way out while watering down all other solutions like the ingenious strategy employed by magufuli .Just because we don't want to seek other solutions doesn't mean that Pombes way is wrong it is a solution too isnt 5+4=9 as 8+1=9?
 
Ubishi 101
 
Can you help me identify Tanzania's way, because up to now they have not devised any particular formula, apart from not catching up with the rest of the world, you can't run lazily and tell people that's your approach to the race. Am seeing here according to CDC, Tanzania has only managed 652 tests and got 480 cases, that shows how they are terribly slow and the percentage of viral infection is so high.
I got the info from this thread Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa wat 652 tu kwa muda wote! - JamiiForums
2388980_IMG_20200504_163228.png
 
I have watched the whole of it. Magufuli just wants to divert attention from his failed policies... a very good script here.
If that tickles you then more power to you but we're good with how our president is handling this pandemic.
 
Ujui kutoa mifano ,endapo hiyo mashine umeambiwa inasaga vyuma kwa nini usipeleke misumari ?. Lazima ukubali vipimo vilivyotengenezwa havina ubora vilitakiwa vitoe majivu ya negative iwe imepelekwa sampuli ya binadamu au mbuzi au kwale au papai au oil madhari hivyo vitu vijachanganywa na damu yenye virusi lazima iseme negative Kama mashine imetengenezwa Kwenye ubora hasa, huwez unaleta porojo zako hapa eti ele mashine inapima majimaji yaliyotoka kwa binadamu tu bc sio kipimo hicho
Maana ya kuropoka ni kuongea kwa hisia bila kuzingatia facts, sio tusi!
Sasa Facts zipi alizotumia? Kwenda kupima mbuzi, oil, mapapai na fenes?!!
Huwezi ukaweka misumari kwenye mashine ya kusaga mahindi ukasema haisagi vizuri. alafu ukabeba hiyo misumari kama evidence!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaijua thermometer?. Imetengenezwa kupima joto la binadamu Sasa ukachukua bakuli la supu ukapima itakwambia -5au 0 kwakua umepima supu

Kwa mda uliotokea ugonjwa na mda uliotumika kutengeneza hizo mashine lazima zitakua na matatizo maana hawajapata mda kabisaa wa kuzifanyia majaribio maana hata Kama ndio wangekuwa wamegundua gari kwa mda huu bc ilo gari lingekua kila cku vyuma vinavunjika mda mfupi Sana uliotumika kubuni hivyo vifaa na kuingia sokoni
Hapa tayari ashatia doa elimu yake. PhD unaongea kama form 4 dropout!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe nani kakwambia Kama mashine ya korona inauwezo wa kugundua virusi vya korona Kama vipo au la Kwenye majimaji ya binadamu tu .je Kama inatokea barakoa zina maambu kizi unataka kupima ili uthibitishe kwahiyo ukatoe oda kwa wazungu wakutengenezee kipimo chengine ee, hii ndio shida watu wakiwa na mawazo ya kitumwa kitu akitengeneza mzungu wanakiamini 100% utazan wameambiwa kimetoka mbinguni
Who cheated you that thermometer is only made for human beings?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can you help me identify Tanzania's way, because up to now they have not devised any particular formula, apart from not catching up with the rest of the world, you can't run lazily and tell people that's your approach to the race. Am seeing here according to CDC, Tanzania has only managed 652 tests and got 480 cases, that shows how they are terribly slow and the percentage of viral infection is so high.
I got the info from this thread Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa wat 652 tu kwa muda wote! - JamiiForums
2388980_IMG_20200504_163228.png
Ive seen the director for National health laboratory named Nyambura, ive also come across Chege, Kairuki- closer to kariuki, wambura and mungai, would you happen to knw why kikuyus names are on the othr side?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe nani kakwambia Kama mashine ya korona inauwezo wa kugundua virusi vya korona Kama vipo au la Kwenye majimaji ya binadamu tu .je Kama inatokea barakoa zina maambu kizi unataka kupima ili uthibitishe kwahiyo ukatoe oda kwa wazungu wakutengenezee kipimo chengine ee, hii ndio shida watu wakiwa na mawazo ya kitumwa kitu akitengeneza mzungu wanakiamini 100% utazan wameambiwa kimetoka mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
You argue like a class two kid. The kits were made specifically for human corona virus and that's why you haven't seen HIV being tested on those kits. Thermometer was also made for temperature readings and not salinity or pH. So you can't take goat's samples and test them in the human test kits and expect to achieve a correct outcome. It's like testing the functionality of ARVs drugs on someone suffering from malaria.
 
Unaijua thermometer?. Imetengenezwa kupima joto la binadamu Sasa ukachukua bakuli la supu ukapima itakwambia -5au 0 kwakua umepima supu

Sent using Jamii Forums mobile app
Thermometer imetengenezwa kupima joto.
Kwaiyo kuitumia kupima joto la binadam, supu, papai, mbuzi, fenesi n.k yote ni matumizi sahihi. Ila sasa ukitumia thermometer yenye calibration ya 0-100°C kupima joto la kinu alaf ikakupa 100°C ukaja kulalamika thermometer chuma kinayeyuka ila thermometer inasoma 100°C tu, tukueleweje?
 
Kwa mda uliotokea ugonjwa na mda uliotumika kutengeneza hizo mashine lazima zitakua na matatizo maana hawajapata mda kabisaa wa kuzifanyia majaribio maana hata Kama ndio wangekuwa wamegundua gari kwa mda huu bc ilo gari lingekua kila cku vyuma vinavunjika mda mfupi Sana uliotumika kubuni hivyo vifaa na kuingia sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujui kutoa mifano ,endapo hiyo mashine umeambiwa inasaga vyuma kwa nini usipeleke misumari ?. Lazima ukubali vipimo vilivyotengenezwa havina ubora vilitakiwa vitoe majivu ya negative iwe imepelekwa sampuli ya binadamu au mbuzi au kwale au papai au oil madhari hivyo vitu vijachanganywa na damu yenye virusi lazima iseme negative Kama mashine imetengenezwa Kwenye ubora hasa, huwez unaleta porojo zako hapa eti ele mashine inapima majimaji yaliyotoka kwa binadamu tu bc sio kipimo hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa la saba wapo kuleee....
 
You argue like a class two kid. The kits were made specifically for human corona virus and that's why you haven't seen HIV being tested on those kits. Thermometer was also made for temperature readings and not salinity or pH. So you can't take goat's samples and test them in the human test kits and expect to achieve a correct outcome. It's like testing the functionality of ARVs drugs on someone suffering from malaria.
Unafikiri vyombo vya usalama walikuwa wanapima corona? Walitaka kujua ufanisi wa vifaa vya maabara au wataalam kama wanaweza tambua samples za uongo au kama baadhi ya test kit zimehujumiwa.

Ukiiendea kichwa kichwa hii huwezi kuielewa.

Ongea na ndugu yako MK254 muulize wakati anapofanya design patterns kwenye kutengeneza logic ya kuingiza data kwenye server, muulize kama hatengenezi logic statements zinazoangalia kwanza kama data ziko sawa kabla hazijaingizwa kwenye server. Muulize kama sehemu ya kuweka umri ataruhusu mtu kuweka miaka 382 au characters za regex kama (.*).
 
Back
Top Bottom