Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hata kwa hili amekurupuka, alitakiwa aende mbali zaidi, kuchunguza ubora wa mashine hata kushirikisha wataalam wa nje washiriane na wetu.Magufuli huwa anafikiria sana Mara nyingi, hiyo ndio sifa kuu ya " Scientists " duniani kote, tatizo lake ni kiburi na hasira za haraka.
Pili angeulizia hata historia za wenzetu wanazozitumia apate majibu yao pia. India walizikatas mashine toka china baada ya uchunguzi wa kina
Sent using Jamii Forums mobile app