Kama kweli tunamuamini Mungu katika majanga ni kwanini tulikatazwa kumuombea Tundu Lissu alipopigwa risasi?

Kweli kabisa.
 
Hzo T-shirts zina uhuaiano gani na maombi ya jamaa mmoja.
Wanasiasa wana njaa kma nn hasa wapinzani.😂😂😂😂 kujipendekeza kwa wazungu na kulialia eti wanaonewa😂😂
Njaa ikiwazidia wanarudu chama tawaka😂😂
Bora nikamulilie Babu yangu kwenye kaburi lake, kulko kujipendekeza au kulilia mwanasiasa.
 
Wamuhakikishie lissu Uhai arudi nyumbani, huko ulaya pamechafuka na hii corona.
 

chama tawala ndio chama rahis sana kupata nafasi sababu ukipata nafasi wanakuja kuiba kura wanashinda au wananunua mabalot, nilifanya research jamaa nlowah kusoma nao wale walokuwa wanakuwa wa mwisho ndio wengi wapo ccm (ndio kuna urahis kwao na sio makosa they are trying to survive) na ndio wanaropoka kweli , ila ukikutana nao sababu unawajua wanakuwa wapole 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ndio mana sipend siasa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Dunia hii kila mtu anatafuta sehemu ya kushibia haijalishi ni njia sahii au sio sahii!
Walioichagua siasa kama sehemu ya maisha yao wanajua mengi.
 
Tuwaombee Tundu Lissu ili apone haraka, tuwaombe na wale wote waliopotezwa akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale waliouawa bila makosa akina Alphonce Mawazo na wengineo. Mwenyezi Mungu aziweke roho zao mahali pema. Awaadhibu wale wote waliohusika na kuwaonea wengine na kuwanyima wengine haki za kuishi, walipwe hapa hapa duniani.
 
Ha ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wewe hukumuombea sababu tu ulikatazwa kuvaa tisheti ulitaka Mungu asome ile tisheti ,
Mbona wengi tu tulikua tukimuombea na ukuu wake Mungu akawezesha kupona.
Ukisubiri chakula kwa jirani kwa njaa yako utakufa nayo
Ni kwanini walikatazwa kuvaa zile Tshirts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa ccm ni laana
 

Attachments

  • IMG_20200125_220632.jpg
    121.5 KB · Views: 1
Kwanini walizuiwa wasiombe wakati sio kinyume na katiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hawa mbwa ccm wakisema kitu nawaangalia tu ni serikali ya kishetani hii.......
Wkt tulipigwa vita tusimuombee NABII na MZALENDO wa kweli Tundu Lissu rais wa malaika alikua kila siku anataka aombewe na watz
 
Mungu hapendi hata mtu mmoja apotee, maombi yanatakiwa kwa madhara ya mmoja na wengi vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKATI HUO UKIKUTWA NA TISHETI PRAY FOR LISSU UNAWEKWA LUPANGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…