Kama kweli tunamuamini Mungu katika majanga ni kwanini tulikatazwa kumuombea Tundu Lissu alipopigwa risasi?

 

Attachments

  • VIDEO-2020-04-17-16-06-34.mp4
    2.7 MB
Nakupenda sana
 
Lisu alipatwa na janga? Tanzania waliopigwa risasi ni Lisu peke yake? Wewe kama vipi acha kuomba sisi tutakuombea na utakua huru kwelikweli kwa maombi yetu.Lisu Lisu Lisu who is Lisu sasa? Is there Lisu only in Tanzania?
 
Nyie mliingiza siasa kwenye maisha ya lissu
Nyie wabaya sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna kitu kimetuponza na kutulemaza WaTZ ni kuamini na kuafiki ile dhana na kauli mbiu ya “Zidumu Fikra za Mwenyekiti”! Matokeo yake tumetengeneza mfumo wa Uimla, utegemezi na kupoteza uthubutu wa kuwa na maarifa na mbadala za kuleta Maendeleo. Zaidi tumekuwa waoga zaidi! Upumbavu huu ndio unatukost kwenye corona
 

Attachments

  • 77C610B3-07F0-4B46-84B4-74A9A5962B80.jpeg
    453.4 KB · Views: 1
Kumbe lilikuwa janga?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mwambeni Mbowe astaafu siasa aache udkteta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnachagua mambo ya kuombea, kwa corona tuombe, watu wakipigwa risasi wakipotezwa wakiuwawa ni sawa tuu??
Huyo Mungu si anatuona wanafiki??
Tutubie kwanza maovu yetu, damu za watu zilizo mwagika tuombe utakaso maana Mungu sio mwanadamu, kama hatutajitakasa hata kama tulishabikia Bwn Mungu hatasikiliza hayo maombi ni bure!!!
 
Thank God una kumbukumbu dah!
 
Kwa nn sasa hapa tuambiwe tuombe wakati sisi tunajua kuomba ni siri ya mtu na Mungu wake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sio unafiki unakwendaje mbele za Mungu na mikono inayovuja damu za watu eti ufanye maombi??
Tena mbaya zaidi hata waliokimbia nchi waliopona kuuwawa bado wapo, unaombaje eti kwa mfano??
Tusiwe Kaini alisema sio mlinzi wa Abili aliye muuwa!!
Mungu hataniwi kihivyo wala hadhihakiwi, tubuni kwanza mjitakase muombe rehema na msamehe na kusameheana ninyi kwa ninyi.
Bwn atasikia na atajibu!!
Mbarikiwe!!
 
Kitend
 
Week end huwa nzuri kwa tunalipa kodi nyingi za namna tofauti..

Chupa yangu ikiwa inakaribia kuisha hapa,mara nikakumbuka leo ni siku ya 3 kuliombea taifa.

Sija kaa sawa ITV wanarusha habar ya askari mkoani mbeya.

Nawaza ni askari hawa hawa waliokuwa wanakamata na kuzuia watu waliokuwa na nia ya kufanya maombi ili Tundu Lissu apone haraka.

Leo imekuwaje jinai ya kufanya maombi kufanywa kituo cha polisi,tena kukiwa na hamasa nchi nzima.

Mungu ni mwema daima. Tuendelee kumuomba hata pale tunapowekewa vikwazo na mawakala wa shetani.

Corona ipo,chukua tahadhari,endelea kumuomba Mungu atuepushe na maafa ya corona lakin pia wanasayansi waweze kuipatia tiba.

Sent using iphone pro max
 

Andika kama msomi Basi. Who is Lissu. Ulienda kanisani au msikitini kuomba. Sala. Ikagoma. Au hujui hata maana ya Sala. Tofautisha Lissu na Taifa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwashee kuna tofauti kati ya Kuvamiwa na majambazi na Covid 19!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…