Kama Magufuli alikuwa kichaa kama watu wanavyodai, kwanini Kikwete na Mkapa walimteua kama Waziri?

Huyo Mzee Lawi Sijaona Nangwanda yeye hakuwa na matatizo ya akili?
 
Yule bwana alikuwa kichaa wa mageuzi kama kina alexander the great, sankara, Castro, Tesla, Napoleon, wenzake wote waliomzunguka wanaona haiwezakani yeye aliona inawezekana lazima wakuone kichaa.
Na wizara zote ali overpoform.
Ni kweli alikuwa kichaa wa mageuzi kwani aliwageuza wengi wakawa wafu
 
Kwa hiyo uliamini? Lawi Sijaona?
 
Nakumbuka wabongo walikuwa wanasema kwa hali tuliyofikia tunahitaji Rais Dikteta. Maana kikwete walimwita Dhaifu, wakajibiwa sawasawa na maombi yao, Mh.Kikwete alikuwa anawaangalia tu
 
Hivi binadamu au mtanzania gani ambaye anaweza kusema yupo huru au hana matatizo ya akili?

Hivi nyie watu wengi wa JF mnaojiita Great Thinkers na msiyo na matatizo ya akili mmewasaidia nini watanzania ukiacha uchawa wenu na ukuwadi?
Mnapata wapi ujasiri wa kumzodoa hayati na kusema alikuwa na matatizo ya akili?
Kweli kichaa anawaona wengine ni vichaa isipokuwa yeye tu in Kanumba Voice. Ndo member wengi wa JF mlivyo, nyie ni vichaa ila hamjujui
 
Kwa mujibu wa sheria gani wewe? Kubembeleza kupata mkopo maana yake ni mzazi wako kushindwa majukumu ya kulea familia yake, hivyo anaomba msaada wa serikali. Kama utakiri wazazi wako walishindwa majukumu, basi ntakubaliana na wewe.
 
Mkuu hata vichaa ni watu haitakiwi kuwabagua,na pia ukichaa na una level 1 hadi 3
 
Ndo silka ya binadamu hiyo.

Wengine ndo vichaa, ila mimi ninayewaita wengine vichaa, siyo kichaa!
 
Kuna watu huuhusisha ukichaa na u genius.

Mfano tunaambiwa Nyerere naye alikuwa kichaa.

Wanamahesabu magenius wengine nao tunaambiwa walikuwa na vichaa.

Kwa msingi huo Magufuli naye alikuwa genius kwa sababu alikuwa na kichaa.

Lakini hapo kwa Magufuli, watagoma kumuita yeye genius, kwa sababu hiyo ni sifa iliyo chanya.

Ila Nyerere alikuwa genius [which he wasn’t], kwa sababu alikuwa na kichaa!
 
MIaka 20 kama waziri na mbunge wa kuchaguliwa, kisha akapata digrii tatu pamoja na udaktari, kisha akagombea urais baada ya kuteuliwa na wazee kina Mwinyi
 
Usipoteze muda wako kutarajia kwamba utapata a sensible answer.Hawawezi kukujibu.Kukujibu inabidi waelewe swali.
You are expecting answers from morons. Wisdom is chasing them but they are always faster.
Hii ni fallacy tu. Wewe nd'o moron.
 
What about Hitler what about putin? What about Sadam Hussain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…