JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Endelea kujitekenya na kuchekaUkisikia yalaaaaah! Ujue limempata! Ahahahahaha!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujitekenya na kuchekaUkisikia yalaaaaah! Ujue limempata! Ahahahahaha!!!!
Huyo Mzee Lawi Sijaona Nangwanda yeye hakuwa na matatizo ya akili?Nyerere alikuwa ana matatizo ya akili. Nilikaa na Mzee Lawi Sijaona Nangwanda akasema enzi zao kuna wakati Nyerere alikuwa anafichwa kabisa asionekane kwa sababu alikuwa na circles zake.
Hata yule kaka mkubwa anayekuja hapa naye mara nyingine yuko poa, mara nyingine tia maji tia maji.
Wanaojua wanajua.
Ni kweli alikuwa kichaa wa mageuzi kwani aliwageuza wengi wakawa wafuYule bwana alikuwa kichaa wa mageuzi kama kina alexander the great, sankara, Castro, Tesla, Napoleon, wenzake wote waliomzunguka wanaona haiwezakani yeye aliona inawezekana lazima wakuone kichaa.
Na wizara zote ali overpoform.
Kwa hiyo uliamini? Lawi Sijaona?Nyerere alikuwa ana matatizo ya akili. Nilikaa na Mzee Lawi Sijaona Nangwanda akasema enzi zao kuna wakati Nyerere alikuwa anafichwa kabisa asionekane kwa sababu alikuwa na circles zake.
Hata yule kaka mkubwa anayekuja hapa naye mara nyingine yuko poa, mara nyingine tia maji tia maji.
Wanaojua wanajua.
Nyerere bangi ikimchenguwa tuHuyo Mzee Lawi Sijaona Nangwanda yeye hakuwa na matatizo ya akili?
Wana akili timamu.Kwani Hao waliomteuwa , wewe unawaona wana akili ?
The theater of the absurd.Nyerere bangi ikimchenguwa tu
😂😂😂😂Endelea kujitekenya na kucheka
Hivi binadamu au mtanzania gani ambaye anaweza kusema yupo huru au hana matatizo ya akili?Mkuu,
Kama hujayajua matatizo yote ya akiki si rahisi kuelewa.
Therw is a thin line between genius and madness.
Katika sayansi kuna mifano mingi ya ma genius walikuwa na matatizo ya akiki.
Soma story ya mtu anaitwa Georg Cantor jamaa genius alikuwa anacheza na mahesabu ya infinity mpaka akawa kichaaa.
Kwa mujibu wa sheria gani wewe? Kubembeleza kupata mkopo maana yake ni mzazi wako kushindwa majukumu ya kulea familia yake, hivyo anaomba msaada wa serikali. Kama utakiri wazazi wako walishindwa majukumu, basi ntakubaliana na wewe.We nae ni mjinga mmoja baba na yake na mama yake kama wangepewa nchi ndio ungehoji kuhusu wazazi wake.Kuhusu kusoma kwa mkopo sio kosa ni kwa mujinlbu wa sheria ya Tanzania ndio inaruhudu hivyo tena utalipa huo mkopo mjinga mmoja wewe.Wewe mtetee ila ukweli upo wazi.
Mkuu hata vichaa ni watu haitakiwi kuwabagua,na pia ukichaa na una level 1 hadi 3Kama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Ndo silka ya binadamu hiyo.Hivi binadamu au mtanzania gani ambaye anaweza kusema yupo huru au hana matatizo ya akili?
Hivi nyie watu wengi wa JF mnaojiita Great Thinkers na msiyo na matatizo ya akili mmewasaidia nini watanzania ukiacha uchawa wenu na ukuwadi?
Mnapata wapi ujasiri wa kumzodoa hayati na kusema alikuwa na matatizo ya akili?
Kweli kichaa anawaona wengine ni vichaa isipokuwa yeye tu in Kanumba Voice. Ndo member wengi wa JF mlivyo, nyie ni vichaa ila hamjujui
Na waliomteua yeye kuwa waziri huku ana kichaa, tuwaiteje sasa?
MIaka 20 kama waziri na mbunge wa kuchaguliwa, kisha akapata digrii tatu pamoja na udaktari, kisha akagombea urais baada ya kuteuliwa na wazee kina MwinyiKama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?
Baadhi ya watu wanadai kuwa alikuwa na faili lake pale Mirembe [sijui waliliona wapi hilo faili 🤷♂️].
Mtu kichaa, mwenye faili Mirembe, anateuliwa kuwepo kwenye baraza la mawaziri na marais wawili tofauti.
Pia soma: Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea
Baada ya hapo, chama hicho hicho cha hao marais waliomteua kwenye mabaraza yao ya mawaziri, kinamteua kuwa mgombea urais wao.
Huo ugonjwa wake wa akili ulianza lini? Baada ya yeye kula kiapo cha kuwa Rais?
Marais wawili, with all the state resources at their disposal, wanamteua ‘kichaa’ kutumikia kwenye serikali zao!
How?
Make it make sense. Please.
Hii ni fallacy tu. Wewe nd'o moron.Usipoteze muda wako kutarajia kwamba utapata a sensible answer.Hawawezi kukujibu.Kukujibu inabidi waelewe swali.
You are expecting answers from morons. Wisdom is chasing them but they are always faster.
Jiwe gizani limekuibua.Hii ni fallacy tu. Wewe nd'o moron.
What about Hitler what about putin? What about Sadam HussainKama ni kweli Rais Magufuli alikuwa ni kichaa, kwa nini marais Mkapa na Kikwete walimteua kuwa kwenye mabaraza yao ya mawaziri?