Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Ni shida sana kujaribu kumfahamisha mtu ambae hafahamu dini yetu na ni vigumu zaidi ikiwa anaeuliza hataki kufahamishwa bali anataka kubishana.
Kwa nini unifahamishe dini yenu? Dini ambayo anakula mwingine anatamani mwingine?
Sihitaji kujua, nachosema nyie hamjazuiliwa kujenga misikiti kwenye wakristo wengi na pia wakristo hakuna walipomatazwa kujenga makanisa kwenye waislamu wengi
 
akina zumaridi nao wajenge makanisa yao. Uhuru wa kupitiliza hauna maana. makanisa yaliyopo hamjajaza mnajenga makanisa mengine ya nini
 
Kwa nini unifahamishe dini yenu? Dini ambayo anakula mwingine anatamani mwingine?
Sihitaji kujua, nachosema nyie hamjazuiliwa kujenga misikiti kwenye wakristo wengi na pia wakristo hakuna walipomatazwa kujenga makanisa kwenye waislamu wengi
Labda nikuukize wewe hujawahi kumuona mwanamke ukamtamani? Anaemla ni mwengine kwa nini unamtamani wewe? Lugha hii nadhani utaifahamu. Suali la kuzuia makanisa zanzibar ni bora ukumbuke kuwa Zanzibar nchi yetu na ni hiari yetu, tutaruhusu tukitakacho na tutazuia tusikatacho. Suali la ardhi na majenzi si la muungano kwa hivyo hamuwezi kutulazimisha tufanye tusilitakalo. Ni hiari yenu huko kwenu kuruhusu au kutoruhusu ijenzi wa misikiti. Zanzibar ni ndogo na hatuhitaji makanisa ni feki kusambaa kila kona ya bisiwa vyetu!
 
Hili kanisa/nyumba muda mrefu sana liliandikwa na manispaa "SIMAMISHA UJENZI" pamoja na nyumba nyengine mbili zilizovunjwa, ambazo zipo line moja.

Hii sehemu ni karibu na Bar ya Mbawala kwa wale wenyeji wa Amani Sebleni, eneo ambalo kiasili linakaa maji, ila baada ya mradi wa ZUSP (Zanzibar Urban Services Projects), maji yalijengewa njia na hivyo kupungua.

Wajanja wakauza viwanja eneo la maji, eneo zilipojengwa nyumba zilizovunjwa
 
Si kwamba wakiujua ukweli wataacha imani
 
Tatizo la waislamu majini yao hayapatani na jina la Yesu Kristo. Likitajwa wanaungua moto. Na ukumbuke waislamu wengi wanaishi na majini na wengi ndiyo chanzo cha vipato.
Hapana wanaogopa kukaa jirani na mapadri. Wasije kubaka watoto wao. Maana nasikia ulawiti huko kwenu ni tendo takatifu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kutawaliwa na wa Wazanzinnk
 
Ukiamshwa nusu saa muda wa saa kumi na moja asubuhi unaweza kulala tena?
 
Kwa kifupi Wazanzibari ni wabaguzi sana huko kwao kwa wasio waislam!
 
Umechambua vizuri sana, tatizo ni mihemuko tu, kumbe kuna double standards tena huko?

Kumbe ndiyomaana baadhi yao wamejitoa ufahamu kwa kujiita Waarabu wa Mchambawima ilihali tu wasionekane wao ni Waafrika....daaah utumwa wa kidini ni adui mwingine wa kutisha sana mbali na ujinga, magonjwa, maradhi na Chawa hapa TZ.
 
Hiyo Bar ya Mbawala imepona? Manake imekuwa ikitafutwa sana... na imeshawahi hadi kuchomwa moto.

Aidha kwa ujenzi eneo nyuma ya Bar hiyo sio sahihi...
 
Nikuulize hiyo misikiti hapo zanzibar kila mtaa ina vibali, pili umejikita kwenye kero za kelele kutoka nyumba za ibaada unaona solution ni kubomoa? Uhuru wa kuabudu na uheshimiwe regardless imani ya mtu

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
MFAHAMU MUISLAMU NA UISLAMU;-
1;-UISLAM
HII NI DINI ILIYO ANZISHWA NA MWARABU WA KABILA LA KIKURAISHI NA MTU HUYU ALIKUWA MZALIWA WA MAKA ,KITABIA MTU HUYU NA JAMII YAKE YOTE WALIISHI MAISHA YA KIBEDUI ,KWA LUGHA NYINGINE WALIISHI MAISHA YA KIJAMBAZI
HALI HII IKAPELEKEA KUWA NI UTAMADUNI WA MWARABU NA UISLAMU KWA UJUMLA WAKE.
KWANI SIYO RAHISI UTAMADUNI HUO UKA ACHWA KWA KUWA UISLAMU UMEANZISHWA NA MTU WA TABIA HIYO
INAPOTOKEA MTU WA UTAMADUNI HUO AKATENDA MATENDO AKISI, NAJAMII YA WASTARABU KUIKEMEA BASI MUISLAMU HUONA KWAMBA ANAONEWA HAPO NDIPO HUJITAHIDI KULEJESHA ROHO YA KIBEDUI,
PIA UTAMBUE KATIKA UISLAM HAKUNA SOMO LA UPENDO, NDIYO SABABU MACHAFUKO YATOKANAYO NA MUISLAM DUNIANI KOTE HAYAISHI.
SASA SUBIRI UTAONA, KWA KUWA BARA NA ZANZIBA NI WAO WANA TAWALA TEGEMEA VULUGU NA MACHAFUKO.
 
Zanzibar kuna makanisa mangapi? kanisa kubwa kabisa la kihistoria lipo zanzibar na halijabomolewa... Kwanini libomolewe hilo???
Siyo kanisa moja tu kuna makanisa zaidi ya manne makubwa kushinda msikiti yote iliyopo na inayojengwa na makanisa hayo yamekuwepo kwa miongo kadhaa hata uislam huu unaolelewa zanzibar umeyakuta hayo makanisa mkuu.

••••••••••••••••••••••••••••

Tatizo la zanzibar ni umimi na kujifanya wana itikadi za kiaarabu ambazo ingekuwa ni bora kama 'wanaweza' kudai uhuru mpya na kujiingiza kwenye dora ya kiislamu ambayo haihitaji dini nyingine zaidi ya hiyo moja tu.

Huwa nacheka eti katika baraza la mawaziri utakuta mkirisito mmoja kafichwa uko kwenye uafisa kamisheni flani au katibu mkuu, ndiye wamemuweka kuonyesha kaumoja asee afrika bana mh!.
 
Kwa hiyo walivyobomoa wameokoa resource? hizo resource ni kodi za wananchi. Mtu akijenga ghorofa akakaa peke yake ukiwa kama kiongozi utaenda bomoa?

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…