REZY!!!HATUONDOKI, tukiwaacha watakuwa rezy zaidi ya hapa so tunavyokuwepo hapa wanaiga mapambano yetu ya maisha nao wanabadirika, sema tu wana roho ya mbaya kwa baadhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
REZY!!!HATUONDOKI, tukiwaacha watakuwa rezy zaidi ya hapa so tunavyokuwepo hapa wanaiga mapambano yetu ya maisha nao wanabadirika, sema tu wana roho ya mbaya kwa baadhi.
Zbc ipi unayozungumzia? Isijekuwa zbc2Sahii kabisa,
Ndo Maana zbc Ni televisheni ya taifa.
ila kamwe hawawezi kurusha mahubiri ya kilokole Wala wakristo.
Utaona wanarusha wamawaidha ya kiislamu TU
Watanganyika tumeridhika na tunaheshimu maamuz yao.
Mtoa mada hana Nia nzur na mila na desturi za wanzibar, na yeye ndio anayeanzisha hizi chokochoko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wenu si alipigwa hadi akadedi au una dhani tumesahau?Sasa basi huyo mungu wenu hana maana,yani unavunjaje jengo la mtu kisa kuogopa kupotoshwa watoto wenu, sasa na sisi wakristo tukiamu kuvunja misikiti iliyokaribu na makazi yetu itakuaje??sijui huwa mnafkiliaje nyie watu.
Kwa sababu Zanzibar sio kwao, hayo Makanisa wakajenge kwao Tanganyika. Kuna mzanzibari aliejenga msikiti Tanganyika?Kwanini jamii za imani ya kikristo zionekane kama ni wavamizi, wapitaji na wageni waliokosa mwenyeji kila mara huko Zanzibar?
Kwa mujibu wa huyo mchungaji wa hilo Kanisa, anasema aliwahi kuomba eneo la kujenga kanisa kwa mamlaka husika kwa miaka mingi bila mafanikio (na kiuhalisia hayo maeneo kwa Zanzibar hayapo na hata yangekuwepo huenda taasisi za kanisa zisipewe)Ombeni vibali rasmi vya eneo la kanis muone kama mtakataliwa. Kwanini mkajenge makanisa uswahilini? Kwani hamna akili?
Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanziba...
Wewe ni mgeni hapa Tz?Kwa sababu Zanzibar sio kwao, hayo Makanisa wakajenge kwao Tanganyika. Kuna mzanzibari aliejenga msikiti Tanganyika?
Naona kuna tatizo hapa, masharti vigezo, desturi, imani na tamaduni haikuzingatiwa.
Unaweza kumiliki eneo lakini kuna masuala mtambuka ambayo mnunuzi hakuyazingatia akayaona ni mepesi, kumbe kuna mengine hayaandikwi lakini yanafuatwa na jamii husika wakaazi wenyeji wa mwanzo kabisa...
Aliekwambia serekali haina dini nani ? Zanzibar wakaazi wake wa kiislamu lakini skuli zinafuata kalenda ya kikristo na wala hawajalalmika miaka yote wakati wao ndio majority...
Liko sehemu gani mkuu?Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar...
Jitahidi kutofautisha kati ya Imani na utamaduni, imani ni jambo binafsi la moyoni la mtu, huwezi kulilazimsha na hauwezi kulizuia.Mtoa mada anatafuta TU chokochoko kwny mila,desturi na tamaduni za watu,
Wee umewahi kuskia wapi mzanzibar mkristo, achilia mbali mlokole wa TAG?[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkipeleka ndio hivyo wanabomoa [emoji1787]Hata kama kuna wakristo wawili, tutapeleka injili kama kawaida.
Mbona kuna misikiti Ulaya, Marekani, China na Israel ?!S
Hatuogopi competition ya imani, hatutaki kupotoshwa na hatutaki kupoteshewa watoto wetu. Ikiwa unasema kuwa tunaogopa kupotoshwa, then yes sawa na wala hatuoni aibu kwa hilo tunaogopa kupoteshewa familia zetu, tunaogopa adhabu ya Mola wetu siku tukirudi kwake.
Yule mchungaji kasema hivi.Jamaa kaonyesha mikataba ya kununua ardhi/banda lakini haoneshi kibali cha ujenzi alichopewa na serikali
Zanzibar-ASP, Pamoja na mada fikirishi uliyoleta mezani, pia Nikupongeze kwa uandishi mzuri na kiswahili fasaha.👍Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar...
Vipi kuhusu Answaar ?Mnataka kuleta ibada za Mfalme Zumaridi Zanzibar? "Mtume/Nabii" Gwajiboy..etc
Bomoa yote kama alivyofanya Kagame.. Yabakie makanisa ya kistaarabu tu..