Kama miss grand ni JIhan, je nani anafaa kuwa miss jf?

Anawafahamu
Kwani wewe hajakufikia huko PM ?
Inasemekana alikua na screen shot za wadada wa selfika kibao akibisha hodi kila mlango PM kuwaonesha

Umemuona huyu?
Huyu ni fulaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌ
Aisee, wewe mtoto una stahili fimbo kabisa kwa uzushi huu
 
Aisee, wewe mtoto una stahili fimbo kabisa kwa uzushi huu
Hakuna uzushi wa aina yoyote umewahi kuona nikimzushia nani mwingine?

Hiyo tabia ni ya kishamba sana
Hivi kama kweli wanawake wa selfika uliohifadhi picha zao ni wabaya kama unavyosema kwa nini wa kushughulishe kiasi hicho?

Kwanini wewe huweki picha yako tukuone?

Halafu ulitaka uwaone wazuri wote ili iweje kwa mfano ?

Wanokuchekea nadhani hawakujui vizuri wewe ni mtu hatari sana ukiwa kwenye kundi la watu ni wale aina ya watu wakiwa sehemu sahau kuhusu utulivu na amani
 
King of REACTIONS unafaa sana kuvikwa hilo taji kwa mwaka huu.
 
Mbona anasura ya mishangazi ya bungeni
 
Inaruhusiwa kupiga kura kwa multiple IDs πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Miss JF kwangu ni Binti wa zamani nadhani kwa kila kigezo ambacho mtatumia kuchagua mshindi amewaacha mbali mnooo

Hakuna kama huyu humu kwa chochote kilee mpeni badge yake tu mambo yasiwe mengi
 
Mimi hata sielewi, ila kichwa cha habari cha uzi huu.

Una stahili kuwa miss wetu wa wakati wote hapa jf, nisiulizwe sababu.
Mie sifit hapo mkuu mi ni mshangazi unaoelekea kwenye ubibi!!

Siku wakiweka ma mr naomba nistue .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…