Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

Shida si viongozi wetu, tatizo ni sisi wananchi kuwashabikia watu kama hawa. Makonda kama alivyokuwa mwendazake, anapitapita na kujifanya anatatua kero za watu. Je, kwa mtindo huo atafikia wangapi. Ni aibu kwa kiongozi kukaa na kulalamikia mifumo ya utoaji haki. Mara ngapi mahakama zetu zimelahumiwa?
 
Makonda hajatatua shida zozote zile!

Basi tu nchi imejaa watu wapumbavu.

La sivyo angekuwa keshapopolewa na mawe huko apitako.
 
Zuzu yupo nigeria [emoji90][emoji90]
 
Tulishapigwa kitambo
 
Nchi hii shida zinajulikana.

Hakuna haja ya kutenga siku ili uzijue shida za watu.

Huo ni usanii tu. Ni kutaka kuonekana unafanya kazi ilhali hakuna chochote cha maana unachokifanya.
Huenda hana kazi ya kufanya kwahiyo anaona asiposikika kila siku watu watajua hafanyi kazi. Utaratibu wa rais kila siku kutengenezewa habari ulianzia kipindi cha mzee wa msoga, Mzee wa chato naye akaiga kama ambavyo machawa walivyoanza kusikikika katika kipindi chake na kuendelea hadi kwa kizimkazi Mkapa hakuwa na mpenda mambo madogo madogo kila siku kutaka kusikikika na kusifiwa.

Kwa kweli urais umekuwa mrahisi sana. Haifai rais kila siku kusikika tena kwenye mambo cheap sana.
 
Kuna watu wanaona hivi anavyosafiri sana ni sawa tu.
Mlipenda rais pimbi anayejifungia ndani kama mwali,
Nachukia watu wazima kujitoa ufahamu, matatizo ya watanzania yanajulikana kwa ujumla wake, umeme, maji, bei ndogo za mazao, Pembejeo kuwa juu na kadhalika,
TUFAHAMU MBALI NA HAYO,
Yapo matatizo ya mmoja mmoja miongoni mwetu ambayo ni sugu na yameshindikana kutatuliwa kutokana na kuwa complicated sasa haya ndiyo yanakwenda kupatiwa ufumbuzi, tukumbuke yapo matatizo ya kijumla Jumla na yale sugu ya watanzania mmoja mmoja.
# OVER!
---KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI---
 
Wakati Magufuli na wasaidizi wake wanawapanga watu kueleza shida kwenye mikutano yake barabarani nyie Wanyantuzu mlimsifu sana kuwa Rais anayesikiliza wanyonge na mkamuita mtetezi wa wanyonge. Sasa hivi Mama Samia anafanya the same thing mnaanza majungu.
Acheni unafiki



Mungu tu ndiye anayejua shida zako KABLA ya kuambiwa . Wengine wote tunapasa kusikiliza
 
Onyesha nilipomsifu Magufuli kuhusu hilo.
 
Ni ofisi ndogo ya CCM siyo Ikulu
 
Hapana mkuu kuna sehemu wanajua wametushika atufurukuti kupitia kura zetu.

Unafikiri huyu tupige kura na zihesabiwe kwa haki, atatoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…