Taratibu za Admin zinasema issue inaposhindikana hatua moja ina kuwa 'escalated' .
Kwa maana tayari hayo matatizo unayosema yangemfikia kupitia wasaidizi wake
Tatizo la Tanzania si matatizo ya mtu mmoja mmoja kama kuporwa kiwanja.
Ni matatizo ya kimfumo yanayokwamisha hatua za utatuzi na ufumbuzi
Ni matatizo yaliyoanza miaka 60 na sasa haionekani kama kuna suluhu, kinachofanyika ni kupoteza muda
Rais wa nchi anasimamia majukumu makubwa ya nchi ya kisera na kisekta ikiwemo shughuli za Kimataifa
Ikiwa haamini Mawaziri, RC, DC, RAS, DAS, Wakurugenzi hawawezi kumsaidia, tatizo ni yeye aliyewateua.