Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

Sasa mmeamua kuwachezea waTanzania wananchi wenye maisha ngumu kila kona!.
Hivi kwa akili ndogo tu kukaa Lumumba kusikiza shida za wananchi unamsaidiqje mwananchi mwenye ako na shida kibao na hana hata hiyo pesa ya kufunga safari kutoka pale Ifakara kuja kukueleza mashida yake! Huu ndio usanii!

Wanqnchi wamedhulumiwa mno na hao hao walioko nyima yako mama hebu acha usanii.
Tenga hiyo sikunyako uende hata hapo Kibaha tu kwa siku nzima wauze hata kuku zao wakuje ndipo utajua kweli huna wasaidizi!

Hapo hujaenda Manyara!, Kondoa, Mfaranyaki, Ludewa, Kilombero tunalima miwa lakini sukari hatuna!
 
Tunahitaji siasa za kuwaletea maendeleo ya kweli na shirikishi.
Asilimia kubwa ya wananchi wanaelewa majukumu ya serikali, bunge na mahakama.
Ni muhimu pia kuwaondolea wananchi (wale wajinga) fikra kwamba maendeleo yao yanamtegemea Rais moja kwa moja, na badala yake wajue kwamba Rais na serikali yake ndiyo wanaotegemea wananchi ili kujiletea maendeleo na wanaweza kuidhibiti na kuifurusha ikibidi kufanya hivyo.
Serikali imara na tajiri hutokana na wananchi imara na matajiri.
 
Hivi nchi yenye rais kama bi kiguu na njia inaweza kweli kupata maendeleo?
 
Wewe jamaa pimbi kweli ni shida gani hizo ngumu kutatulika mpaka rais ndio atatue? Hivyo vyombo vingine kazi yake ni nini? Au ni mchwa wa kula ela za Bure?
 
Wewe jamaa pimbi kweli ni shida gani hizo ngumu kutatulika mpaka rais ndio atatue? Hivyo vyombo vingine kazi yake ni nini? Au ni mchwa wa kula ela za Bure?
Hapo ukaapo kuna mashauri mangapi yameshindikana mpaka wananchi wanaamua kukaa kimya?, maana ameshajaribu kwenda kila pahala bila mafanikio
 
Fuatilia mishahara na marprp yao ndo utajua hawazijui kero na shda za waTz. Kila mwaka wanapishana mabarabarani kuskiliza hizo kero, hawajazipata! Ripoti za CAG bado hawazisomi. Xaxa hv kna hili la bma ya afya, ripoti znaxema fedha NHIF wame kopeshana, hawarudishi, wagonjwa wanateseka, hawazfanyii kaz! Kw madudu yao, katiba mpya ni ndoto
 
Subiri Lucas Mwashambwa aje kujibu maswali yako
 
Kwani Rais hazijui shida za watu? Hajaishi nchi hii kabla hajawa Rais? Sasa hivi haishi nchi hii?
Kwasasa sidhani kama anaishi nchi hii, namuona akipita tu. Sijui anaishi nchi gani labda nchi yake ni ndege maana mara nyingi anakuwa kwenye ndege
 
Kwasasa sidhani kama anaishi nchi hii, namuona akipita tu. Sijui anaishi nchi gani labda nchi yake ni ndege maana mara nyingi anakuwa kwenye ndege
Katoka kumzika Mwinyi halafu huyo, akasepa zake 😀.

Hivi keshawahi hata kupigwa picha akiwa ofisini kwake Ikulu?
 
Eti wanatenga siku moja kwa mwezi
Shida zangu tu siku moja fupi
Labda awe anapumzika siku moja kwa mwezi 🤒
Sio siku moja ni masaa machache ndani ya mwezi mzima, kama si masaa 24 hio inakuwaje siku?
 
Hakuna sababu ingine yoyote ya kimkakati.

Na ni ndiyo, tuna serikali ya watu wapumbavu na wajinga.
Basi wewe NYANI tukupe urais kama unaona una akili sana? Wewe ni mtu mpumbavu unayejifanya unajua kila kitu kumbe bwege mmoja mwenye hasira zinazotokana na upumbavu wake.
 
Anachopaswa angetenga siku hio moja katika mwezi kuwawajibisha aliowateua kumsaidia kazi kama mawaziri, wakuu wa mikoa wafanya kazi ofisi za umma n.k.
Wananchi zaidi ya milioni 60 utasikiliza kero za kila mtu?

Kero gani hizo zimekosa utatuzi hadi raisi aje kutatua, alio wateua wanafanya nini?
 
Ukiona Raisi ana Safiri hovyo hapo hakuna Raisi, Raisi wa ukweli ana tulia ana leta meandeleo nchin. Mfano Ivory cost Raisi wao katulia na Maendeleo yapo juu wananchi wake wanapendeza mpaka raha

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona Raisi ana Safiri hovyo hapo hakuna Raisi, Raisi wa ukweli ana tulia ana leta meandeleo nchin. Mfano Ivory cost Raisi wao katulia na Maendeleo yapo juu wananchi wake wanapendeza mpaka raha, Mfano mwingine Misr, Morocco, Algeria viongozi wao wametulia hawa puyangi na meandeleo yapo juu. We ukitaka kujua wananchi wa Tanzania ni Masikini sana angalia kwenye mikusanyiko yao mfano Kwenye Michezo au Mikutano ya Kisiasa. Jaribu kuangalia mikusanyiko ya Wananchi wa nchi za Wenzetu utaona utofauti mkubwa sana.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…