Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Mungu anaweza kuwa amejifunua kwa njia ya ndani (inner moral compass, curiosity, reason), lakini sio kila mtu hujibu kwa namna ileile. Free will inahusika — watu wana hiari ya kutafuta, kupuuza, au kupotosha ukweli. Tofauti za tamaduni, historia, na mazingira zimechangia mitazamo tofauti ya kidini.

Lakini hoja kuu ni hii: ukweli wa Mungu haujifichi kwa wote, bali hujifunua hatua kwa hatua, kwa njia mbalimbali — ndani ya nafsi, katika asili, na kwa wengine kupitia ufunuo wa moja kwa moja au maandiko. Tofauti za dini zinaweza kuwa sehemu ya tafsiri za binadamu, si uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu.

So, instead of expecting a uniform method, perhaps God allows diversity in perception — not to confuse, but to invite a deeper, voluntary search for truth.
 
Kila kilichoanza kuwa ni lazima kiwe na chanzo.

Kwanza hapa chanzo si lazima kiwe Mungu.

Pili, unajuaje ulimwengu umeanza?

Unapoandika ulimwengu una muundo wa ajabu, ajabu maana yake ni nini?

Kama mambo unayoyaita ya ajabu hayawezi kutokea tu, ni lazima yawe yameumbwa, Mungu naye katokeaje? Na yeye kaumbwa?

Kama hajaumbwa, huoni kuwa Mungu ambaye hajaumbwa anavunja sheria yako ya kwamba mambo ya ajabu hayawezi kutokea tu, ni lqzima yawe yameumbwa?

Kuhusu binadamu kujua mema na mabaya, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?
 
Kwa nini unaona uhuru ni lazima uambatane na uchaguzi wa mabaya au mazuri?

Kwani watu wakiwa na uchaguzi wa mazuri na mazuri wanakuwa hawana uhuru?
 
Kwa nini unaona uhuru ni lazima uambatane na uchaguzi wa mabaya au mazuri?

Kwani watu wakiwa na uchaguzi wa mazuri na mazuri wanakuwa hawana uhuru?
Uhuru ni kuwa na uwezo wa kuchagua—iwe ni jema au baya. Freedom is meaningful because it includes the possibility of choosing even what is wrong.

Kama mtu anaweza kuchagua tu mazuri, huo siyo uhuru bali ni udhibiti. True freedom exists when one can choose between good and evil, and still choose good—hapo ndipo thamani ya maadili inaonekana.

Nimekujibu hata Mwanzo mkuu, naona kama tunataka kurudi kule kule tuliko toka.
 
I don't believe in believing or worshipping.

I don't want to believe, I want to know.

Unasema kuna Mungu halafu ukiambiwa uthibitishe uwepo wake unaanza porojo za kikapanda kikashuka. Mara argument hii ikapanda, ikashuka.

Unajaribu kufosi uwepo wa Mungu kwa argument uchwara zisizo na uthibitisho wala ukweli wowote. Zaidi ni hekaya za vitabuni tu.
Kwa nini uingizwe kwenye game bila kuchagua na bila uhuru wako binafsi wa kuamua, Halafu hapohapo unasema uko huru?

Una freewill gani, kama uliletwa duniani bila kuamua mwenyewe?

Huoni kwamba uko conditioned kuishi kwa matakwa ya huyo aliyekuleta pasipo kuwa na uhuru wako mwenyewe?
Ulimwengu ni “self-existing”? Hilo ni claim pia — umelifanyia peer-review au unarudia maneno ya astrophysicists unaowaamini kwa imani hiyo hiyo ya kidini unayodharau?
Kwanza mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Una elewa?
Hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu, unaruka ruka tu na porojo uchwara.
 
unasema: “huamini katika kuamini, huttaki kuamini, unataka kujua.”
Swali dogo tu: Unajua kwa uhakika gani kuwa "kujua" kwako hakujajengwa juu ya imani zako binafsi, perceptions zako, au limitations za akili ya kibinadamu?

Claim yako ya "nataka ushahidi" ni fair, lakini pia ni naivety ya kufikiria kwamba kila kitu kinaweza kupimwa kwa microscope. Kitu kama consciousness, love, morality—hizo zote zipo, lakini si rahisi kuzifungia kwenye tube ya lab. Yet bado huzikatai. So why single out God?

Unasema haukupewa free will coz hukuomba kuzaliwa.
Bro Hata simu yako haukuomba iwe na battery life ya masaa machache, but here we are, unaitumia tu.
Not choosing to be born doesn’t invalidate your ability to choose what to do after you're born. Huo ndio uhuru wa kweli. Life haiku-ask permission, it just dropped you here, kama default setting. That’s nature, not injustice.

Na kuhusu hoja za Mungu—unasema ni porojo za "kikapanda kikashuka."
Ni sawa, lakini jiulize, what kind of proof do you expect?
Mungu si sample ya chembechembe upeleke kwa lab. He's supposedly a Being beyond time, space and matter. Asking for proof of such a Being using tools za dunia ni kama kujaribu kupima upendo kwa thermometer. You’re using the wrong instrument.

Uko kama samaki anayehoji uwepo wa maji kwa sababu haoni maji na hajawahi kuyakosa.

Halafu hiyo dhana yako ya “siamini kwenye kuamini”—bro, that’s still a belief. You believe in not believing.
So technically, you’re a believer. Just not a theist.

Kwahiyo, before uanze kusema watu wanaporomosha porojo, angalia kama hujasimama kwenye porojo zako mwenyewe, but with bigger vocabulary and a more rebellious tone.

Sijakushawishi kuamini. Lakini usijifanye uko neutral huku unachagua upande wa disbelief kwa imani ile ile.
You haven’t escaped belief. You’ve just switched brands.

Huu ni mjadala wa ma-great thinker, hupaswi ku panic kabisa. 😊
 
Baba wa mtoto mchanga anayeweza kumpa mtoto wake uhuru wa kuchagua kunywa maziwa au juisi akimpa mtoto huyo uhuru wa kuchagua maziwa au sumu kali inayoua, kwa sababu ni uhuru wa kuchagua kitu kizuri na kibaya, utamuitaje?
 
Nitamwita mzazi mzembe asiyejali maisha ya mtoto wake.
Huu si uhuru halisi bali ni uzembe wa maadili, kwani mtoto hana uwezo wa kutofautisha baya na jema. Kumpa chaguo la sumu ni kuhatarisha maisha kwa kisingizio cha uhuru—ambapo jukumu la mzazi ni kulinda, kuelekeza na kuchuja chaguzi hatarishi.
 
Soma huu uzi:
Thread 'Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO' Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO
 
Soma huu uzi:
Thread 'Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO' Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO
 
unasema: “huamini katika kuamini, huttaki kuamini, unataka kujua.”
Swali dogo tu: Unajua kwa uhakika gani kuwa "kujua" kwako hakujajengwa juu ya imani zako binafsi, perceptions zako, au limitations za akili ya kibinadamu?
Hatuwezi kujua tusivyo vijua. Lakini tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.

Sasa wewe eleza ulijuaje Mungu yupo na unathibitishaje uwepo wake?

Usilete imani zako za vitabuni ulizo aminishwa na kupumbazwa.

Eleza ulijuaje Mungu yupo?

Eleza huyo Mungu yupoje?
Kwanza eleza na thibitisha ulijuaje Mungu yupo kabla ya kuendelea na vingine.

Hujaeleza ulijuaje Mungu yupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.
Uwezo wa kufanya simu iwe na battery life ya masaa mengi upo. Na inawezekana kufanyika hivyo. Kwa sababu simu imetokana na utaalamu wetu wa kibinadamu.

Sasa tukirudi kwenye suala la "kuzaliwa" Kuna watu hawakupenda kabisa kuzaliwa kwenye hii dunia lakini wakashtukia tayari wameshazaliwa bila kuamua wala kutaka.

Sasa je hiyo ni freewill?

Kwa nini usipewe hiyo freewill mapema kabisa kabla hajazaliwa ili uamue hukohuko uzaliwe ama usizaliwe?

Kwa nini ushtukizwe tu kwa kufanyiwa surprise ya kuzaliwa bila kuamua mwenyewe?

Kwa nini huyo Mungu anashtukiza watu kuzaliwa duniani bila wao kuamua wenyewe?

Huoni kwamba hiyo sio freewill?
Huo ndio uhuru wa kweli. Life haiku-ask permission, it just dropped you here, kama default setting. That's nature, not injustice.
Kama that is nature, kwa hiyo habari nzima ya uwepo wa Mungu na freewill haipo.

Hakuna Mungu wala freewill.

The universe is self -existing by its own nature.
Na kuhusu hoja za Mungu—unasema ni porojo za "kikapanda kikashuka."
Ni sawa, lakini jiulize, what kind of proof do you expect?
Mungu si sample ya chembechembe upeleke kwa lab. He's supposedly a Being beyond time, space and matter.
Ulijuaje kwamba Mungu ni beyond time, space and matter?

Au unatetea habari za kuaminishwa tu na imani zako za kidini?
Hivi unaelewa maana ya I DON'T BELIEVE?

Nimeshakwambia siamini halafu wewe unasema tena, naamini kwenye kutokuamini?

Hivi una elewa lugha kweli?
You need to restore your brain 🧠 to factory settings.

You need urgent brain reset.
 
Mungu yupo wala huitaji akili nyingi kuamini hilo coz kila unachokiona katika hii dunia kina chanzo chake either kiwe cha asili au artificial hata wewe ukizaa watoto Leo inamana chanzo cha hao watoto ni nyie wazazi
Au ukimchukuwa kondoo dume ukampandisha kwa mbuzi jike watoto watakao zaliwa hapo inamana chanzo chao ni mbuzi + kondoo no matter zitakuja generation ngapi but ndio mwanzo wa kitu kipya ambacho hakijakuwepo
So point yangu kila kitu kina mwanzilishi au kuna factor's zilizopelekea hicho kitu kutokea hara milima ipo mayo source yake ni mlipuko wa volcano
 
Na chanzo cha huyo Mungu ni nini?

Au huyo Mungu alizuka tu from nowhere?

Alitokea tu from nowhere?
 
Mnapoteza muda kubishana mambo yasiyo kuwa na majibu.

Tendeni mema Ili mpate mema,mema yaliyo umbwa na muumba wa mema.
 
Kila siku unapo omba Ile sara ya Baba yetu uliembinguni
Zingatia sana hili neno "ufalme wako uje"
 
Na chanzo cha huyo Mungu ni nini?

Au huyo Mungu alizuka tu from nowhere?

Alitokea tu from nowhere?
😂 😂 tumia nguvu hiyo kuutafuta uso wake lkn kwanz uwe mkristo coz hiyo ndio dini pekee yenye shuhuda za watu kusemeshwa na Mungu baada ya hapo maswali yako yatakuwa yamejibiwa kiurahisi Zaid na Mungu mwenyewe
 
Your opinions are not different from that of a suicide bomber.

Maoni yako hayana tofauti na wale wafia dini wakujitoa mhanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…