Hata huyo Mungu lazima awe na kisababishi chake.
Haiwezekani Mungu huyo awepo tu, from nowhere.
Ulimwengu ulianza kuwepo lini?
Ni muda gani, Tarehe ipi, Mwezi upi, na mwaka gani Exactly ulimwengu ulianza kuwepo?
Sio lazima "unacaused cause" awe Mungu.
Hata ulimwengu ni unacaused cause. Hauhitaji kuwa na cause.
Kama ulazima huo upo, Hata huyo Mungu lazima awe na cause.
Chanzo cha maadili ni binadamu wala sio Mungu.
Huyo mpangaji alitoka wapi?
Je huyo mpangaji alitokeaje kwa bahati tu?
Wewe tayari umeshajua Mungu yupo, Sasa eleza ulijuaje yupo, unathibitisha vipi yupo, na tutahakikisha vipi Mungu yupo na si imani na maandiko ya vitabuni tu?
"
Haiwezekani Mungu awepo tu, from nowhere."
Oh, lakini ulimwengu “uwepo tu, from nowhere” ni sahihi kabisa?nimeamini Double standards zipo hata kwenye hoja, siyo kwa wapenzi tu. Kama unasema kila kilicho “exist” lazima kiwe na cause, basi chagua moja kati ya hivi viwili:
1. Kila kitu kina cause—including universe and God.
2. Kuna kitu kimoja kipo bila cause—iwe universe au Mungu.
Lakini huwezi kukwepa principle ya regress. Ukisema kila kitu kina cause, then utakuwa na infinite regress—ambapo kila sababu inahitaji sababu nyingine, mpaka hakuna mwanzo. Na hiyo ni logical nonsense. So tunahitaji unmoved mover au uncaused cause.
Sasa tukisema
"Hata universe inaweza kuwa uncaused cause."
Swali linakuja: Je universe ina sifa za kuwa uncaused cause? No.
Why? Kwa sababu universe ina muda, mabadiliko, na entropy—vitu vyote hivyo vinategemea muktadha wa sababu na matokeo. Huwezi kuwa uncaused na bado ubadilike. Unless you believe in a magical, thinking, spontaneous explosion. Boom! Uhai. Boom! Maadili. Boom!
“
Chanzo cha maadili ni binadamu wala si Mungu.”
Eeeh? 😂 That’s adorable. So binadamu—ambaye leo anapiga kura kuruhusu ndoa ya mtu na mbwa, kesho anapiga kura ipige marufuku vitabu—ndiye chanzo cha moral truth? Kweli?
Halafu unategemea hayo maadili yawe objective? Binadamu siyo reliable moral compass, ni kama kutumia TikTok kuamua sheria za fizikia.
“
Huyo mpangaji (Mungu) alitoka wapi?”
Wewe ndiye unaishi kwenye nyumba (universe), unashangaa kwanini kuna mpangaji. Unajua nyumba haijajijenga, lakini unakataa kuwepo kwa fundi. Hiyo ni sawa na kuona picha halafu ushupaze shingo kukataa kuwepo kwa mpiga picha kwa sababu hujamuona. . Common sense bado ipo, lakini haipo trending.
"Ulijua vipi Mungu yupo?"
Simple: Through reason, metaphysics, and necessary being logic.
Mimi sijasema Mungu ni Santa Claus. Sijakurupuka. Natumia hoja kama:
Contingency argument (from Aquinas and Leibniz),
Kalam Cosmological Argument
Fine-tuning of the universe,
Objective morality.
Haya yote hayahitaji Biblia wala Qur’an. Yanatumia akili. Siyo kila anayeamini Mungu ni fanatic. Mwingine ameona logic inamuongoza kwa conclusion hiyo.
Ulimwengu hauwezi kuwa na asili yenye mabadiliko na muda halafu usiombe source yake. Ukikataa Mungu kwa kisingizio cha “who created God,” basi usimkumbatie universe kama kiumbe kisichohitaji cause. Either God is the uncaused cause, or you believe everything came from nothing, for no reason, by no mind—and that takes more blind faith kuliko dini yoyote duniani.
So yes, it's either God... or magic with no magician. Pick your poison.
"Kama Mungu hawezi kuwepo tu bila cause, basi ni nini kilicholeta kitu kisicho na cause, ambacho kilileta universe yenye cause?"
Hujui? Karibu kwenye club ya “tunauliza maswali ya maana lakini tunakimbia majibu magumu.”