Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
ukweli wa jambo hauamuliwi na idadi ya watu wanaoliamini—hapo uko sahihi kabisa. Hiyo ni kweli: argumentum ad populum ni fallacy ya kimantiki. Sasa, kusema Mungu yupo kwa sababu watu wengi wanaamini hivyo, hiyo si hoja sahihi.Unafanya Logical fallacy ya argument from popularity, Argumentum ad populum.
Kwa vile mabilioni ya watu wanaamini Mungu yupo, Na wewe unafuata mkumbo huohuo kusema na kudai Mungu yupo bila uthibitisho wala uhakika.
Mamilioni ya watu duniani kuamini kuna Mungu, Hakufanyi Mungu huyo awepo. Na wala sio kigezo cha kusema kwamba Mungu yupo!
Thibitisha imani yako kuhusu uwepo wa Mungu ni ukweli na si imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.
Si madai yote yanapaswa kupimwa kwa mizani ya majaribio au akili peke yake. Imani haiko nje ya mantiki, bali huenda zaidi ya mantiki. Kuna mambo yanayoguswa na nafsi, si macho tu—kama vile upendo, maadili, au uzuri—ambayo hatuyapimi kwa vipimo vya kisayansi lakini tunajua yapo.Kutoamini si imani bali ni msimamo wa kutosadiki jambo hadi ushahidi wa kutosha utolewe. Ukosefu wa ushahidi si ushahidi wa kutokuwepo, lakini ni sababu tosha ya kukataa madai hadi yatakapothibitishwa. Si kupinga, ni kutosadiki.
Mawazo yanaonekana kwa athari zake zinazothibitika . Dini na ibada hazithibitishi Mungu kama kiini cha athari hizo ila ni tafsiri ya binadamu. Miungu mingi imetajwa kihistoria, zote zikiwa na ibada na maandiko. Je, zote ni kweli kwa sababu ziliathiri jamii?
Na kuhusu joka lisiloonekana darini ni kwamba ikiwa mtu anadai liko pale, ni wajibu wake kutoa ushahidi, si wangu kupanda darini kuthibitisha halipo. Madai ya ajabu yanahitaji ushahidi wa ajabu.
Kwa nini vitoto vinazaliwa tu na kufa!? Huyo Mungu wako vimemkosea nini?Kama huwezi kuiona pumzi lakini unajua ipo kwa sababu unaishi, basi kuwepo kwa Mungu si lazima kuthibitishwe kwa macho — athari na mpangilio wa uhai unaoishi ni ushahidi tosha wa nguvu iliyo juu ya uelewa wetu.
Dini zote hazina uthibitisho wa moja kwa moja kuwa MUNGU huyu hapa kama ambavyo wewe huna uthibitisho wa moja kwa moja kuwa hayupo.Miungu mingi imetajwa kihistoria, zote zikiwa na ibada na maandiko. Je, zote ni kweli kwa sababu ziliathiri jamii?
Mtu akisema kuna Joka darini akashindwa kuthibitisha hakukupi uhalali wa kuhitimisha hakuna Joka darini.Na kuhusu joka lisiloonekana darini ni kwamba ikiwa mtu anadai liko pale, ni wajibu wake kutoa ushahidi, si wangu kupanda darini kuthibitisha halipo. Madai ya ajabu yanahitaji ushahidi wa ajabu.
Ni kweli kwamba truth haipimwi kwa njia moja tu, na kuna mambo ambayo hatuyaoni moja kwa moja lakini tunatambua athari zake, mfano kama vile upendo au dhamira.Hoja yako inajenga msingi wa kutokuwapo kwa Mungu juu ya ukosefu wa ushahidi wa kisayansi tu, lakini truth haipimwi kwa njia moja tu. Lack of empirical evidence is not evidence of absence.
Vitu vingi ambavyo hatuvioni au hatuvipimi moja kwa moja — kama upendo au dhamira bado vinaathari halisi,, watu wengi wana ushuhuda wa kiroho binafsi, unaovuka vipimo vya maabara. So, wisdom siyo tu kukataa bila kuona, bali pia kufungua akili kwa uwezekano wa reality iliyo juu ya uwezo wetu wa sasa wa kupima.
Sio kwamba Mungu anafurahia vifo vya watoto—life on earth is full of pain not because God is unjust, but because the world is broken.Kwa nini vitoto vinazaliwa tu na kufa!? Huyo Mungu wako vimemkosea nini?
Kama mtu anasema "kuna joka darini", na akashindwa kulionyesha au kutoa ishara yoyote ya kuwepo kwake, sisi walimwengu tuna kila sababu ya kutokukubali dai hilo mpaka awe na ushahidi.Dini zote hazina uthibitisho wa moja kwa moja kuwa MUNGU huyu hapa kama ambavyo wewe huna uthibitisho wa moja kwa moja kuwa hayupo.
Katika hili la uthibitisho, Wewe na anayesema kuna MUNGU hamna tofauti zaidi ya kwamba wewe huamini na yeye anaamini. Tena wewe usiyeamini ni parasite maana bila anayeamini huna hoja. Kichaka chako ni kwa anayeamini kushindwa kuthibitisha na sisi wewe kuwa na hoja isiyo na shaka kuwa HAKUNA MUNGU.
Mtu akisema kuna Joka darini akashindwa kuthibitisha hakukupi uhalali wa kuhitimisha hakuna Joka darini.
Kutakupa uhalali wa kumwambia thibitisha ila akishindwa hakukupi uhalali wa kuhitimisha hakuna Joka. Joka linaweza kuwepo ila uwezo wa kuthibitisha usiwepo.
Uhalali ulionao wa kumwambia anayesema yupo MUNGU athibitishe si uhalali wa wewe kusema hayupo iwapo ameshidwa kuthibitisha. Elewa tofauti.
Ukisema hakuna Joka unatakiwa uthibitishe kuwa halipo sio useme hakuna Joka sababu aliyesema lipo hajathibitisha.
Hata ulimwengu ni kisababishi kisichokuwa na mwanzo. Ulimwengu hauhitaji kisababishi kiitwacho Mungu.Lazima kuwe na kisababishi kisicho na mwanzo (kisingesababishwa)—hicho ndicho tunaita ni Mungu mwenyewe.
Cosmological argument ni madai tu yasiyo na uthibitisho wowote ule kuhusu uwepo wa huyo Mungu.Hii ni hoja ya kisababu (cosmological argument) kwa kifupi, inayojibu pingamizi bila kulazimisha imani, bali kwa mantiki.
Ni kweli akili tumepewa ili tufikiri, lakini kufikiri si tu kuhoji bali pia kutambua mipaka ya maarifa yetu. Just because something is beyond empirical testing doesn't mean it's invalid. Mambo mengi ya msingi katika maisha – kama vile maadili, uzuri, hata consciousness – hayawezi kupimwa kisayansi lakini bado ni halisi kwa namna fulani.Ni kweli kwamba truth haipimwi kwa njia moja tu, na kuna mambo ambayo hatuyaoni moja kwa moja lakini tunatambua athari zake, mfano kama vile upendo au dhamira.
Hata hivyo, tofauti kubwa ni kwamba mambo haya yanaweza kuonekana kwa njia za kihisia, kisaikolojia, au kijamii, na mara nyingi tunayaona kupitia athari zake halisi kwa tabia za binadamu.
Lakini linapokuja suala la madai ya kiroho au ya Mungu, tunazungumzia madai ya kuwepo kwa entity ya juu zaidi, yenye nguvu zisizo na mipaka, inayodhibiti kila kitu. Hili ni zengwe kubwa sana, na linahitaji ushahidi unaothibitika
Hoja ya "lack of empirical evidence is not evidence of absence" ni sawa na kusema tukubaliane kutokubaliana.
Kuhusu ushuhuda wa kiroho wa watu binafsi ni halali kwao, lakini si sahihi kuutumia kama msingi wa ukweli wa jumla.
Hisia za mtu hazithibitishi ukweli wa nje ya nafsi yake. Watu wa dini mbalimbali wana ushuhuda tofauti, wakati mwingine kinzani, kila mmoja akiamini kuwa yeye yuko sahihi. Je, wote wanaweza kuwa sahihi kwa pamoja?
Kufungua akili kwa uwezekano ni busara, lakini kufungua akili haimaanishi kuamini bila sababu. Inamaanisha kuwa tayari kupokea ushahidi mpya, kuchunguza kwa uaminifu, na kubadilika pale ushahidi unapotufikisha. Huo ndio msingi wa hekima ya kweli.
Binadamu tumepewa akili tufikiri si kwa ajili ya kukariri tu..
Asipokuwepo wa kusema kuna Joka darini nafasi yako ni ipi?Kama mtu anasema "kuna joka darini", na akashindwa kulionyesha au kutoa ishara yoyote ya kuwepo kwake, sisi walimwengu tuna kila sababu ya kutokukubali dai hilo mpaka awe na ushahidi.
Kusema huna sababu ya kuamini kuna Joka darini sababu hakuna ushahidi kuna tofauti gani na kusema hakuna ushahidi kwamba hakuna Joka darini?Hiyo haimaanishi tumethibitisha kuwa hakuna joka, bali tunasema kwa sasa hatuna sababu ya kuamini kuwa lipo.
Hoja si kuamini, hoja ni uthibitisho kuwa kutoamini ni bora kuliko kuamini sababu kutokuamini kuna ushahidi, otherwise hakuna tofauti.Hilo ndilo jambo la busara na kisayansi.
Kama hakuna tofauti kivitendo kati ya joka lisiloonekana, lisilothibitishwa, na joka ambalo halipo basi kwa maamuzi ya kivitendo, tunalichukulia kama halipo.
Vinginevyo tungepaswa kuamini kila dai la ajabu kwa sababu tu hatuwezi kulikanusha kikamilifu
ukweli wa jambo hauamuliwi na idadi ya watu wanaoliamini—hapo uko sahihi kabisa. Hiyo ni kweli: argumentum ad populum ni fallacy ya kimantiki. Sasa, kusema Mungu yupo kwa sababu watu wengi wanaamini hivyo, hiyo si hoja sahihi.
Lakini, hoja ya uwepo wa Mungu haitegemei tu imani ya watu. Kuna njia nyingi ambazo watu wamejaribu kutumia kuhalalisha uwepo wa Mungu, kama vile:
Hata huyo Mungu lazima awe na kisababishi chake.Cosmological Argument: Kila kilichoanza kuwepo kina kisababishi
Ulimwengu ulianza kuwepo lini?—na ulimwengu ulianza kuwepo
Sio lazima "unacaused cause" awe Mungu.—so lazima kuna Kisababishi kisichoanzwa (Uncaused Cause), ambacho wengi wanakiita Mungu.
Chanzo cha maadili ni binadamu wala sio Mungu.Moral Argument: Maadili ya juu (universal morals) kama vile kusema “kubaka ni kosa” huwa yana msingi wa nje ya binadamu. Huo msingi wa maadili ya juu huashiria kuwepo kwa chanzo cha maadili – Mungu.
Huyo mpangaji alitoka wapi?Fine-tuning of the universe: Ulimwengu una muundo sahihi wa kuwepo maisha – kiasi cha kwamba inaonekana haukutokea kwa bahati tu, bali kuna Mpangaji.
Wewe tayari umeshajua Mungu yupo, Sasa eleza ulijuaje yupo, unathibitisha vipi yupo, na tutahakikisha vipi Mungu yupo na si imani na maandiko ya vitabuni tu?So kusema mtu anaamini Mungu si tu kwa sababu ya mkumbo, bali mara nyingi ni kwa sababu ya hoja hizo na uzoefu wa kibinafsi wa kiroho—ambao huwezi kupima kwa darubini, lakini huwezi pia kupuuza kirahisi.
Kumbuka: Kukosa ushahidi wa kisayansi si ushahidi wa kutokuwepo.
“The universe is self-existing by its own nature.”Hata ulimwengu ni kisababishi kisichokuwa na mwanzo. Ulimwengu hauhitaji kisababishi kiitwacho Mungu.
Usifosi na wala usilazimishe kwamba Mungu ndio kisababishi cha ulimwengu.
The universe is self -existing by its own nature.
Hakuna Mungu.
Cosmological argument ni madai tu yasiyo na uthibitisho wowote ule kuhusu uwepo wa huyo Mungu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na kisababishi chake, Hata huyo Mungu lazima awe na kisababishi chake. Huwezi kumu exempt huyo Mungu kwenye kuwa na kisababishi, halafu unaanza kufosi ulimwengu uwe na kisababishi.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina kisababishi chake, Hata ulimwengu hauhitaji kisababishi chake.
Usifosi ulimwengu uwe na kisababishi halafu unafanya EXEMPTION kwa Mungu.
Hiyo itakuwa ni special pleading fallacy.
Kufikiri ni kutenganisha kati ya imani na ukweli, kati ya hisia na uhalisia, kati ya nadharia na ushahidi.Ni kweli akili tumepewa ili tufikiri, lakini kufikiri si tu kuhoji bali pia kutambua mipaka ya maarifa yetu. Just because something is beyond empirical testing doesn't mean it's invalid. Mambo mengi ya msingi katika maisha – kama vile maadili, uzuri, hata consciousness – hayawezi kupimwa kisayansi lakini bado ni halisi kwa namna fulani.
Kusema kuwa madai ya kiroho yanahitaji "empirical evidence" pekee ni kupunguza uhalisia wa uzoefu wa binadamu. Truth is not confined to the physical realm alone. Kuna dimensions zingine za uhalisia — subjective, experiential, transcendent — ambazo haziwezi kupimwa kwa vipimo vya maabara, lakini zina uzito mkubwa katika maisha ya watu.
Ushuhuda wa kiroho hauwezi kupuuzwa tu kwa kuwa ni binafsi. Ni kama kupuuza muziki kwa sababu huwezi kuuona. Just because spiritual truths vary doesn't mean they’re all false — maybe we're all perceiving the same truth from different angles.
Na mwisho, kufikiri siyo tu kupima ushahidi wa macho, bali ni pia kutambua kuwa akili ina mipaka. Sometimes the most rational thing is to accept that not everything can be fully grasped na akili ya kibinadamu
"Haiwezekani Mungu awepo tu, from nowhere."Hata huyo Mungu lazima awe na kisababishi chake.
Haiwezekani Mungu huyo awepo tu, from nowhere.
Ulimwengu ulianza kuwepo lini?
Ni muda gani, Tarehe ipi, Mwezi upi, na mwaka gani Exactly ulimwengu ulianza kuwepo?
Sio lazima "unacaused cause" awe Mungu.
Hata ulimwengu ni unacaused cause. Hauhitaji kuwa na cause.
Kama ulazima huo upo, Hata huyo Mungu lazima awe na cause.
Chanzo cha maadili ni binadamu wala sio Mungu.
Huyo mpangaji alitoka wapi?
Je huyo mpangaji alitokeaje kwa bahati tu?
Wewe tayari umeshajua Mungu yupo, Sasa eleza ulijuaje yupo, unathibitisha vipi yupo, na tutahakikisha vipi Mungu yupo na si imani na maandiko ya vitabuni tu?
Soma.Duuuh maelezo marefu mkuu
Unaona haiwezekani nature kutokea yenyewe tu, Lakini unakubali mkichwa mkichwa tu kwamba Mungu alitokea tu from nothing.“The universe is self-existing by its own nature.”
Oh, really? Na hiyo "nature" ya universe yenyewe, imetoka wapi? Iliumbika yenyewe tu from nothing? halafu universe yenye uzito wote huu wa gravitation, laws of physics, na quantum field eti tu ilijibuni kama surprise gift? 😂 Hii si hoja, ni science fiction ya kihuni.
Unathibitisha vipi ulimwengu una mwanzo?"Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na kisababishi chake, hata huyo Mungu lazima awe na kisababishi chake."
Unachekesha sana
Hii ni misunderstanding ya msingi ya hoja ya cosmological argument. Argument haisemi kila kitu lazima kiwe na cause. Inasema: vitu vyenye mwanzo au vilivyo contingent (yaani vinavyoweza kuepo au kutokuwepo) lazima viwe na cause. Sasa Mungu, kama anavyofikiriwa na wana-falsafa na wanateolojia, ni necessary being—existence yake haiwezekani kutokuwepo. Kwa hiyo kumdai naye awe na cause ni kama kuuliza: "Je, harufu ya rangi ya bluu inasikikaje?" B
hiyo ni category error. 🤷🏽♂️
Na wewe unataka tuamini huyo Mungu wako alitokea tu from nothing, bila cause yeyote?Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina kisababishi chake, hata ulimwengu hauhitaji kisababishi chake."
Hii ni strawman argument. Hakuna aliye sema "every thing" lazima kiwe na cause, bali "kila kitu chenye mwanzo au kilicho contingent" ndicho kinahitaji cause. Ulimwengu unaonekana kuwa na mwanzo (Big Bang, remember?). Sasa unataka tuamini kwamba "something came from nothing" bila cause yoyote? That’s not deep thinking bro, that’s just wishful atheism.
Huyo Mungu ni necessary kivipi?"Special pleading fallacy"
Kama umetumia fallacy ya special pleading kujaribu kushika hoja ya Mungu, kumbe hujui maana ya hiyo fallacy. Special pleading ni pale mtu anatoa exception bila justification. Sasa kusema Mungu ni necessary being si special pleading, ni ontological distinction. Kama universe ni contingent, na Mungu ni necessary, hiyo si special pleading, hiyo ni tofauti ya asili. Ni kama kulinganisha samaki na ndege then ulalamike kwa nini samaki hawezi kuruka.
Hebu usifosi imani zako uchwara za huyo Mungu zionekane zina mashiko kumbe ni pumba za kidini tu.Kujaribu kutumia hoja dhaifu za kumtoa Mungu ni kama kujaribu kuzima jua kwa kutumia kijiko cha maji. Universe haiji-kuexist bila sababu, na akili timamu haikubali kitu kikubwa namna hii kuibuka tu kama popcorn ya metaphysical.
Hebu usilazimishe ujinga uwe hoja ya kisomi. 😎
Hapana, kufikiri hakuwezi kutenganishwa kabisa na imani, hisia, au nadharia — kwa sababu hata tafsiri ya “ukweli” mara nyingi huathiriwa na mazingira ya kiutamaduni, uzoefu binafsi, na mitazamo ya mtu.Kufikiri ni kutenganisha kati ya imani na ukweli, kati ya hisia na uhalisia, kati ya nadharia na ushahidi.
Kukubali kwamba si kila kitu kinaweza kupimwa hakumaanishi kukubali madai yoyote yanayodai kupita vipimo hivyo.
Tunapaswa kuendelea kuuliza, kutathmini, na kuamini tu pale ambapo kuna msingi wa kufanya hivyo si kwa sababu tu uzoefu binafsi umeleta hisia.
Kwa nini unafosi na kulazimisha universe iwe na cause halafu una mu exempt Mungu?"Haiwezekani Mungu awepo tu, from nowhere."
Oh, lakini ulimwengu “uwepo tu, from nowhere” ni sahihi kabisa?nimeamini Double standards zipo hata kwenye hoja, siyo kwa wapenzi tu. Kama unasema kila kilicho “exist” lazima kiwe na cause, basi chagua moja kati ya hivi viwili:
1. Kila kitu kina cause—including universe and God.
2. Kuna kitu kimoja kipo bila cause—iwe universe au Mungu.
Lakini huwezi kukwepa principle ya regress. Ukisema kila kitu kina cause, then utakuwa na infinite regress—ambapo kila sababu inahitaji sababu nyingine, mpaka hakuna mwanzo. Na hiyo ni logical nonsense. So tunahitaji unmoved mover au uncaused cause.
Sasa tukisema
"Hata universe inaweza kuwa uncaused cause."
Swali linakuja: Je universe ina sifa za kuwa uncaused cause? No.
Why? Kwa sababu universe ina muda, mabadiliko, na entropy—vitu vyote hivyo vinategemea muktadha wa sababu na matokeo. Huwezi kuwa uncaused na bado ubadilike. Unless you believe in a magical, thinking, spontaneous explosion. Boom! Uhai. Boom! Maadili. Boom!
“Chanzo cha maadili ni binadamu wala si Mungu.”
Eeeh? 😂 That’s adorable. So binadamu—ambaye leo anapiga kura kuruhusu ndoa ya mtu na mbwa, kesho anapiga kura ipige marufuku vitabu—ndiye chanzo cha moral truth? Kweli?
Halafu unategemea hayo maadili yawe objective? Binadamu siyo reliable moral compass, ni kama kutumia TikTok kuamua sheria za fizikia.
“Huyo mpangaji (Mungu) alitoka wapi?”
Wewe ndiye unaishi kwenye nyumba (universe), unashangaa kwanini kuna mpangaji. Unajua nyumba haijajijenga, lakini unakataa kuwepo kwa fundi. Hiyo ni sawa na kuona picha halafu ushupaze shingo kukataa kuwepo kwa mpiga picha kwa sababu hujamuona. . Common sense bado ipo, lakini haipo trending.
"Ulijua vipi Mungu yupo?"
Simple: Through reason, metaphysics, and necessary being logic.
Mimi sijasema Mungu ni Santa Claus. Sijakurupuka. Natumia hoja kama:
Contingency argument (from Aquinas and Leibniz),
Kalam Cosmological Argument
Fine-tuning of the universe,
Objective morality.
Haya yote hayahitaji Biblia wala Qur’an. Yanatumia akili. Siyo kila anayeamini Mungu ni fanatic. Mwingine ameona logic inamuongoza kwa conclusion hiyo.
Ulimwengu hauwezi kuwa na asili yenye mabadiliko na muda halafu usiombe source yake. Ukikataa Mungu kwa kisingizio cha “who created God,” basi usimkumbatie universe kama kiumbe kisichohitaji cause. Either God is the uncaused cause, or you believe everything came from nothing, for no reason, by no mind—and that takes more blind faith kuliko dini yoyote duniani.
So yes, it's either God... or magic with no magician. Pick your poison.
"Kama Mungu hawezi kuwepo tu bila cause, basi ni nini kilicholeta kitu kisicho na cause, ambacho kilileta universe yenye cause?"
Hujui? Karibu kwenye club ya “tunauliza maswali ya maana lakini tunakimbia majibu magumu.”
Unasema ni hoja za kihuni kufikiri kuwa ulimwengu una mwanzo, lakini hujibu swali moja rahisi: kama haukuanza, uko hapa kivipi sasa? Au ulimwengu ni kama Mchina wa Kariakoo - aliingia tu ghafla bila kuulizwa? 🤔Unaona haiwezekani nature kutokea yenyewe tu, Lakini unakubali mkichwa mkichwa tu kwamba Mungu alitokea tu from nothing.
Hata wewe una hoja za kihuni za kufosi huyo Mungu wako aonekane ametokea from nothing.
Umeshindwa kuelezea Mungu huyo alitoka wapi, unafosi fosi tu.
Hata huyo Mungu wako HAIWEZEKANI atokee from nothing.
Unathibitisha vipi ulimwengu una mwanzo?
Uliuona ukiwa unaanza?
Au umezaliwa na kuukuta?
Hizo cosmological arguments ni hoja za kihuni za kufosi fosi mambo tu. Wala hazina ushahidi wala uthibitisho wowote ule wa kwamba ulimwengu una mwanzo.
Na wewe unataka tuamini huyo Mungu wako alitokea tu from nothing, bila cause yeyote?
That's indoctrination.
Eleza na thibitisha huyo Mungu alitoa wapi?
Usifosi imani zako ulizo aminishwa.
Huyo Mungu ni necessary kivipi?
Kwa nini unafosi Mungu awe necessary being?
Bado unafosi hoja na imani zako uchwara za vitabuni tu.
Hebu usifosi imani zako uchwara za huyo Mungu zionekane zina mashiko kumbe ni pumba za kidini tu.
Umemaliza kila kitu mkuu, kichwa yako inastahili verificationGod exist
Hiyo kuteseka ,umasikini na njaa is man made and you can get rid from that ....