MUNGU yupo kijana.Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu.
Swali linakuja:
Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa, vifo vya watoto wasio na hatia?
Na kwa upande mwingine:
Kama hakuna Mungu, binadamu anajiongoza kwa misingi gani? Maadili yanatoka wapi? Haki ni nini bila Mungu?
---
Maswali kwa mjadala:
Unaamini Mungu yupo au hakuna? Kwa nini?
Kama huamini, maisha yako yanapata maana wapi?
Kama unaamini, unawezaje kuelezea uwepo wa maovu na mateso?
Je, dini ni njia ya watu kutuliza hofu yao ya kifo au ni kweli kuna nguvu ya juu isiyoonekana?
Wewe unadai universe haipaswi kuwa na cause — just pops into existence like "puff! surprise existence!" — lakini ukisikia jina la Mungu tu, unalipuka, "Aa! Lazima na Yeye awe na cause!" ni kama unasema, wewe haupiki chakula lakini jikoni lazima kuwe na moto." Bro, consistency please.Kwa nini unafosi na kulazimisha universe iwe na cause halafu una mu exempt Mungu?
Huyo Mungu wako ana u special upi wa kufanya asiwe na cause?
Sio lazima kwamba universe ina cause, Ni wewe tu unafosi na kulazimisha.
Are you there?
Mungu anawezaje kumtesa kiumbe aliyemuumbaWapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu.
Swali linakuja:
Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa, vifo vya watoto wasio na hatia?
Na kwa upande mwingine:
Kama hakuna Mungu, binadamu anajiongoza kwa misingi gani? Maadili yanatoka wapi? Haki ni nini bila Mungu?
---
Maswali kwa mjadala:
Unaamini Mungu yupo au hakuna? Kwa nini?
Kama huamini, maisha yako yanapata maana wapi?
Kama unaamini, unawezaje kuelezea uwepo wa maovu na mateso?
Je, dini ni njia ya watu kutuliza hofu yao ya kifo au ni kweli kuna nguvu ya juu isiyoonekana?
Critical thinking ni siasa ya busara ya akili zetu lakini inahitaji ushahidi pale ambapo madai yanahusu uhalisia unaovuka nafsi ya mtu mmoja.Hapana, kufikiri hakuwezi kutenganishwa kabisa na imani, hisia, au nadharia — kwa sababu hata tafsiri ya “ukweli” mara nyingi huathiriwa na mazingira ya kiutamaduni, uzoefu binafsi, na mitazamo ya mtu.
"Not everything measurable matters, and not everything that matters is measurable." Ukiona mtu anahisi kitu kwa kina sana, hiyo si sababu ya kupuuza hisia zake eti kwa sababu hakuna "ushahidi."
Evidence isn't always physical — sometimes it's lived. Critical thinking siyo kuamini tu kile kinachothibitishwa, bali pia kusikiliza yale yasiyoelezeka kirahisi lakini yana uzito kwa walioyaishi.
Hoja yako inachekesha,, ni kama kusema, “huwezi kuona hewa, basi haipo. Mkuu critical thinking haiishii kwenye "feelings zako tu, inahitaji facts kama vile AI inavyotafuta data kuliko hisia zako za mtaani.Critical thinking ni siasa ya busara ya akili zetu lakini inahitaji ushahidi pale ambapo madai yanahusu uhalisia unaovuka nafsi ya mtu mmoja.
Ni kama kutumia AI kujibu hoja za watu wakati ambapo ufahamu wako uko mtupu....
Umerejea tu niliyosema kwamba: inahitaji ushahidi pale ambapo madai yanahusu uhalisia unaovuka nafsi ya mtu mmoja.Hoja yako inachekesha,, ni kama kusema, “huwezi kuona hewa, basi haipo. Mkuu critical thinking haiishii kwenye "feelings zako tu, inahitaji facts kama vile AI inavyotafuta data kuliko hisia zako za mtaani.
Wewe ukiwasha jiko na ukaweka mkono ndani ya moto, ukaungua, utamlaumu nani? Jiko au wewe mwenyewe?Mungu anawezaje kumtesa kiumbe aliyemuumba
Baba yako akikuambia kitu na usipomsikiliza ukafata yako, na ukaanza kuteseka kwa matendo yako nani kamtesa mwenzie hapa
Sawa, kama ndo ulivyo ona.Umerejea tu niliyosema kwamba: inahitaji ushahidi pale ambapo madai yanahusu uhalisia unaovuka nafsi ya mtu mmoja.
Basi, YUPO ili maisha yawe na maana, na HAYUPO kwa kuwa maisha hayana maana. Maisha ni HEKIMA yako au UPUMBAVU wako.Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu.
Swali linakuja:
Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa, vifo vya watoto wasio na hatia?
Na kwa upande mwingine:
Kama hakuna Mungu, binadamu anajiongoza kwa misingi gani? Maadili yanatoka wapi? Haki ni nini bila Mungu?
---
Maswali kwa mjadala:
Unaamini Mungu yupo au hakuna? Kwa nini?
Kama huamini, maisha yako yanapata maana wapi?
Kama unaamini, unawezaje kuelezea uwepo wa maovu na mateso?
Je, dini ni njia ya watu kutuliza hofu yao ya kifo au ni kweli kuna nguvu ya juu isiyoonekana?
Niko hapa kwa sababu nilizaliwa kutoka kwa wazazi wangu, wala si kwa kuumbwa na huyo Mungu wako.Unasema ni hoja za kihuni kufikiri kuwa ulimwengu una mwanzo, lakini hujibu swali moja rahisi: kama haukuanza, uko hapa kivipi sasa?
Na huyo Mungu wako ni kama mchina wa kariakoo aliingia tu ghafla?Au ulimwengu ni kama Mchina wa Kariakoo - aliingia tu ghafla bila kuulizwa? 🤔
Nakuuliza hivi, Uliona ulimwengu ukiumbwa na huyo Mungu au unafosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa?Unakosoa hoja ya kwamba Mungu ni necessary being, lakini hujiulizi, ikiwa kila kitu kina cause, basi zile cause zinarudi nyuma hadi lini? Back to infinity? Hapo ndio akili inaanza kuparaganyika. Cause zisizoisha ni kama dereva wa boda anayesema “nakuja” lakini hafiki — forever pending. Ulimwengu usingekuwa upo kama kila kitu kingetegemea kitu kingine kisichoisha.
Kwanza energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.Unasema, “why assume God is necessary?”
Na mimi nauliza,, why assume the universe is? Na mbaya zaidi, universe yenyewe inaonekana inazeeka — kuna second law of thermodynamics ambayo inasema energy inasambaa, mambo yanachoka, entropia inapanuka. Kama ilikuwa ya milele, isingekuwa na direction kama hiyo — ingekuwa imechoka kitambo!
Nakuuliza hivi 👇Halafu unataka nithibitishe Mungu alitoka wapi — lakini "coming from somewhere" ni concept ya vitu vilivyoumbwa, sio ya Mwenza asiyeanzishwa. Huwezi kuuliza “kwani infinity inaanzia wapi?” — hiyo ni logical error. Kama Mungu angehitaji kuumbwa, basi huyo asingekuwa Mungu —angekuwa ni kiumbe tu kama vilivyo vingine vyote . Kwahiyo swali lako ni kama kuuliza “siku ya kwanza ya eternity ilikuwa lini?” Uliza vizuri kaka.
Mimi wala siamini Big- Bang.Na ukisema “indoctrination,” basi ni fair kusema hata wewe umeindoctrinate na “faith ya randomness.” Unaniambia nature haikuumbwa na akili, lakini bado unaamini imepanga mambo kwa mpangilio.
Ni kama kusema kabati limepangwa na upepo. Basi wewe endelea kuamini Big Bang ilijilipua yenyewe ikatoa sheria za fizikia, kemia, na biology — huku hakuna source yoyote ya order. Hii siyo sayansi tena, ni imani ya dhati kuliko ya Mlokole.
Umeshindwa kuelezea ulijuaje Mungu yupo, umeshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu. Unaruka ruka na hoja zisizo na kichwa wala miguu.Mwisho kabisa, nikiona mtu anapinga hoja kwa hasira na kejeli nyingi kuliko logic, huwa naogopa kwamba labda kuna ukweli katika anayepinga. So relax, tafuta majibu, lakini usidhani arrogance ni argument.
Kumbuka: kufoka si kujenga hoja.
Kwanza hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu, Unarukia kusema Mungu ni necessary being.Wewe unadai universe haipaswi kuwa na cause — just pops into existence like "puff! surprise existence!" — lakini ukisikia jina la Mungu tu, unalipuka, "Aa! Lazima na Yeye awe na cause!" ni kama unasema, wewe haupiki chakula lakini jikoni lazima kuwe na moto." Bro, consistency please.
Hiyo definition ya kwamba Mungu ni necessary being ilitoka kwa nani?Kama universe inaweza kuwepo bila cause, basi logically, hata Mungu anaweza. Lakini hapa ndipo akili inahitajika:
Universe ni contingent — inaweza kuwepo au isiwepo, ina vitu vinavyobadilika, ina mipaka. Hiyo inaonyesha kuwa haijitoshelezi.
Lakini Mungu, kwa definition, ni necessary being — yupo kwa asili yake, haitegemei kitu kingine kuwepo.
Na wewe unataka Mungu asiwe na chanzo, Halafu unaanza kufosi ulimwengu uwe na chanzo.So kama unakataa Mungu kwa sababu hana cause, halafu unaaccept universe bila cause — that’s not deep thinking, that’s philosophical favoritism.
Kwa lugha nyepesi
Unataka universe iwe kama mtoto yatima aliyekuja bila wazazi, lakini unakataa kuwa kuna mzazi wa milele asiyehitaji mzazi. Hiyo si hoja, hiyo ni double standard ya metaphysics. .
Ulimwengu upo na unathibitishika upo.Kwa kifupi — either accept that not everything needs a cause, including God, or be consistent and explain what caused your causeless universe.
Otherwise, tunaita hiyo logic yako "selective skepticism" – unamshuku Mungu tu, lakini universe unaimeza bila swali.
Karibu tena na maswali yako ya "kejelilogical."
“Wewe unasema Mungu hakuumba, kwa sababu hukumuona?”Niko hapa kwa sababu nilizaliwa kutoka kwa wazazi wangu, wala si kwa kuumbwa na huyo Mungu wako.
Na huyo Mungu wako ni kama mchina wa kariakoo aliingia tu ghafla?
Nakuuliza hivi, Uliona ulimwengu ukiumbwa na huyo Mungu au unafosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa?
Ulimuona huyo Mungu akiumba ulimwengu?
Wewe si umezaliwa na kuukuta ulimwengu upo.
Ni nani alishuhudia ulimwengu ukiumbwa?
Mnafosi fosi arguments zenu uchwara za vitabuni zisizo na uthibitisho wala ushahidi wowote ule.
Kwanza energy cannot be created or destroyed but it can be transformed from one form to another.
Energy ina exist yenyewe pasipo kuhitaji huyo Mungu.
Kwa hiyo unaona kwamba ulimwengu hauhitaji kisababishi kiitwacho Mungu.
Kwa sababu energy tu yenyewe, haikuwa created.
Sasa wewe huyo Mungu wako unayedai ni unacaused cause umemtoa wapi, kama sio kufosi imani zako uchwara?
Nakuuliza hivi 👇
Uliuona ulimwengu ukiwa unaumbwa au umezaliwa na kuukuta?
Kwa nini unafosi ulimwengu uwe umeumbwa?
Kama ulimwengu lazima uwe umeumbwa, Je huyo Mungu wako aliumbwa na naniiiiiiiiii?
Mimi wala siamini Big- Bang.
Nakuuliza hivi 👇
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Je huyo Mungu wako aliumbwa na nani?
Je ni lazima ulimwengu uwe umeumbwa?
Ni nani alishuhudia ulimwengu ukiwa unaumbwa?
Kwa nini unafosi ulimwengu uwe umeumbwa?
Umeshindwa kuelezea ulijuaje Mungu yupo, umeshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu. Unaruka ruka na hoja zisizo na kichwa wala miguu.
Kama energy ipo haikuumbwa, kwa nini isiwe possible kwa Mungu kuwepo pasipo kuumbwa?
Hii hoja yako ni kichekesho, huwezi kutumia ukosefu wa ushahidi kama ushahidi wa ukosefu. That's a logical fallacy—argument from ignorance.Kwanza hujathibitisha uwepo wa huyo Mungu, Unarukia kusema Mungu ni necessary being.
Ulijuaje Mungu yupo?
Unathibitisha vipi Mungu yupo?
Ulijuaje na una uthibitisho upi kwamba Mungu ni necessary being?
Hiyo definition ya kwamba Mungu ni necessary being ilitoka kwa nani?
Una ushahidi na uthibitisho upi kwamba Mungu ni necessary being?
Au unafosi arguments zenu za vitabuni?
Na wewe unataka Mungu asiwe na chanzo, Halafu unaanza kufosi ulimwengu uwe na chanzo.
Huko ni kufosi.
Ulimwengu upo na unathibitishika upo.
Kila mtu amezaliwa ndani ya ulimwengu.
Hakuna aliyewahi kushuhudia ulimwengu ukiumbwa.
Kwa hiyo usifosi kwamba ulimwengu umeumbwa wakati huna uthibitisho wala uhakika
Una elewa?
Kwani lazima ulimwengu uwe umeumbwa?“Wewe unasema Mungu hakuumba, kwa sababu hukumuona?”
Kwa mantiki hiyo hiyo, je unawaona atoms kwa macho yako? Unaziona gravity lines? Au electron spin? , na unaamini kuwa microwave inafanya kazi kwa kutumia mawimbi ili hali hauna hata uhakika nayo. Kwa nini? Kwa sababu kuna ushahidi wa kisayansi unao-back up theory hizo — si lazima uone kwa macho, unaamini kwa sababu kuna evidence and consistency.
Sasa unadai energy haikuumbwa. Sawa. Hii energy ilianzia wapi?
Wewe unaleta “energy exists by itself” kana kwamba ni kitu kinachojielewa na kujipanga. Unapotezea kanuni ya “order requires intelligence.” Ukiwa unaona mfumo wa sayari, physics constants zikiwa fine-tuned, na mazingira ya dunia yakiwa perfect kwa life, bado unasema “energy tu imetokea na ikaamua kupanga kila kitu?” that’s not science, that’s blind faith in randomness.
Unasema "energy cannot be created or destroyed" — hiyo ni law ya mfumo ulio already existing.
Sasa tuseme hivi kwa lugha yako:
Unampinga Mungu kwa kusema “hakuumbwa” lakini unakubali energy haikuumbwa? That's double standards. Kwa nini energy iwe exception lakini si consciousness yenye akili kuu kuliko binadamu?
Sikuwepo na wala wewe hukuwepo.Halafu unaniuliza, "Je, nilimuona Mungu akiiumba dunia?"
Nope. Sikuwepo.
Na wewe je, ulikuwepo ukashuhudia kuwa hakukuwa na Muumba?
Nilishakwambia, Mimi siamini kwenye kuamini. Sihitaji kuamini.If you're being honest, you believe it because unaamini tu, kama mimi,, tofauti ni kwamba mimi na-refer logic ya causality, wewe unaamini randomness is enough.
Kusema kuwa “wewe hauamini Big Bang.”
Hapo nakupa handshake. At least unaonekana una msimamo.
Lakini jiulize — kama huamini Big Bang, huamini Muumba, huamini energy iliumbwa — hivyo vyote vilitokea vipi? Uko suspended kwenye “nisijue” lakini bado unaconclude Mungu hayupo. That’s not logic — hiyo ni intellectual laziness in a philosophical suit.
Ulimwengu tayari upo. Na si lazima kwamba uliumbwa.Don’t pretend like you have no faith — you do.
You just relocated it from God to “random chance” and “eternal energy” bila source.
So before you laugh at someone’s belief in God, angalia kama ya kwako imebebwa na hoja au na kelele za ego tu.
Point yangu ndio ilikuwa kama yako, akili ya mwanadamu ndio chanzo cha matatizo au furaha yakeWewe ukiwasha jiko na ukaweka mkono ndani ya moto, ukaungua, utamlaumu nani? Jiko au wewe mwenyewe?
God gave you free will, aka ubongo wa kutumia, si mapambo ya kichwa, halafu wewe unaamua kutumia huo uhuru kwa ujinga, then maisha yakianza kuku-fry unaanza kumlaumu Mungu?
seriously?
Kama mzazi anakushauri, anakuambia “usiguse moto utaungua,” halafu wewe ukaenda kugusa, ukaungua, sasa hapo nani kamtesa nani? Baba yako au akili yako iliyokataa kusikiliza? 🤷🏾
You don’t blame the creator for the consequences of misusing what He gave you.
Huo ulazima wa kwamba, lazima kuwe na kitu kisicho na chanzo uliwekwa na nani?Hii hoja yako ni kichekesho, huwezi kutumia ukosefu wa ushahidi kama ushahidi wa ukosefu. That's a logical fallacy—argument from ignorance.
"Sijathibitisha Mungu yupo."
Uwepo wa Mungu hauwezi kuthibitishwa kisayansi kama vile tunavyothibitisha mzunguko wa maji, lakini hiyo haimaanishi kwamba ni uongo. Si kila kitu kinachoshikika au kuonekana. Math, for instance, is abstract—but real.
Unataka Mungu asiwe na chanzo, halafu unataka kufosi ulimwengu uwe na chanzo.
Sasa hapa unachanganya viatu na supu. Mungu, kama anavyofasiriwa na philosophy (na si hadithi za vitabuni kama unavyodai), ni “necessary being”—yule ambaye hawezi kutokuwepo. Sio kuwa tunamfosi asiwe na chanzo, bali tunasema, ikiwa kila kitu kina chanzo, basi lazima kuwe na kitu kisicho na chanzo—vinginevyo ni regress isiyoisha, Sawa na mtu anayejaribu kujikuna usingizini.
Hayo ni mawazo yao tu."Definition ya necessary being ilitoka kwa nani?"
Good question. Ilitoka kwa philosophers kama Leibniz, Aquinas, na hata contemporary thinkers kama William Lane Craig na Richard Swinburne. Wote walichambua hoja ya kuwa kitu lazima kianze kutoka kwenye kisichoanza, or else nothing ever begins.
Na wewe kusema Mungu yupo tu, kwa bahati tu bila chanzo, Ni sawa na huohuo mfano wako wa Novel."Ulimwengu upo na unathibitishika."
Hakuna anayebisha hilo. Ila kusema kuwa upo kwa bahati tu bila chanzo, ni kama kusema novel fulani ilijiandika yenyewe kwa ajali ya mkondo wa upepo. Come on. Ulimwengu kuwepo sio hoja ya kutosha ya kusema haujaumbwa.
Bado Hujathibitisha kwamba Mungu ndio muumbaji wa ulimwengu. Unajaribu kufosi fosi tu kwa arguments zisizo na mashiko.So usijaribu ku-run away na hoja kwa kusema “hakuna aliyeshuhudia ulimwengu ukiumbwa.” lakini pia hakuna aliyeshuhudia atomi zikigongana kutengeneza mawazo yako, but here you are unatoa hoja. See the irony?
Hoja yako ni kama ku-downgrade software bila kuelewa ulikuwa na version gani mwanzo. Tafakari. Don't confuse mystery with non-existence. Just because you don’t get it, doesn’t mean it ain’t true.
Mkuu, hoja uliyoitoa inajaribu kueleza kwamba Mungu amejifunua kwa njia za ndani kama dhamiri, kiu ya maana na mantiki, Si ndiyo?Hoja yako ina mantiki, lakini haimaanishi kuwa Mungu hajajifunua kwa wazi. The existence of internal moral compass (dhamiri), thirst for meaning, and rational capacity already point to a universal revelation — sio lazima iwe ya kidini pekee, bali ya msingi wa kiroho unaomuweka mwanadamu kwenye safari ya kumtafuta Mungu.
Kuhusu tofauti za dini, hizi zinaweza kueleweka kama tafsiri mbalimbali za ule ukweli mmoja, zilizopitia katika mazingira, historia, na mapokeo tofauti. Truth isn't always received in the same way by everyone — kwa sababu ya uhuru wa mwanadamu wa kuchagua, kupokea au kupinga.
Moreover, Mungu hajajificha — amejifunua kwa njia mbalimbali: kupitia maumbile (Romans 1:20), dhamiri, historia, na kwa wengine kupitia maandiko. That diversity of expressions doesn’t contradict His existence — inathibitisha kuwa Mungu anawafikia watu kwa njia wanayoweza kuelewa, ingawa si wote hukubali au hutafsiri sawa.
Kwa hiyo, it's not that God is silent or hidden — ni kwamba wanadamu mara nyingi huchagua kusikia kile wanachotaka, si kile walichoambiwa.
Swali lako lina mantiki,, haswa kutokana mtazamo wa agnosticism na stoicism, ambao unathamini reason, virtue, na natural order kuliko imani isiyo na ushahidi.Mkuu, hoja uliyoitoa inajaribu kueleza kwamba Mungu amejifunua kwa njia za ndani kama dhamiri, kiu ya maana na mantiki, Si ndiyo?
Mimi kama Agnostiki na Mstoiki, ninayeweka msisitizo kwenye logic, physic, na maadili ya kweli yasiyotegemea hofu au urithi wa imani, lazima nitafakari hili kwa kina zaidi.
Kama kuna Mungu ambaye ni Chanzo cha Maadili, Asili, au Nguvu ya Juu inayosababisha ulimwengu huu, basi ufunuo wake ungetarajiwa kuwa wazi na wa kimaumbile kama vile alivyofanya kwenye Gravitational force au Majira ya mwaka - vinaonekana na vinapimika.
Sheria za asili hazibadiliki kirahisi tu kwa muktadha wa kijamii au historia ya mtu; zinajidhihirisha kwa kila mmoja kwa njia ileile. Hivyo, kama kweli Mungu anataka kujulikana na watu wote, je, si angejifunua kwa njia isiyohitaji kutegemea historia fulani au mapokeo ya kitamaduni, bali kwa njia ya universal accessibility, kama alivyo fanya kwa jua au hewa?
Kwanini yeye asijidhihirishe waziwazi lakini vitu unavyodai kaviumba avidhihirishe waziwazi?
How do we know for sure kwamba yeye ndiye chanzo cha universe ikiwa hajaacha physical evidence yeyote?
Aidha, kusema Dhamiri ya ndani na Kiu ya kujua maana ya maisha ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu ndani yetu tena kwa kutumia Maandiko ya mungu huyo huyohuyo kama ulivyoquote hapo kitabu cha Warumi ni kosa la kimantiki (Mzunguko -circular reasoning).
Ikiwa unasema tunajua Mungu yupo kwa sababu biblia inasema A,B,C... Hapo unakuwa umetumia maelezo yake ye mwenyewe kumuelezea huyo huyo, na hakuna msingi huru wa nje unaothibitisha uwepo wake hivyo unakuwa unafanya Circular reasoning.
Kimantiki, Maadili hujitokeza kwa kuishi kwa mujibu wa asili (physis) na kwa kutumia akili (logic), Hii inapelekea sisi kuweza kutofautisha kilicho ndani ya uwezo wetu na kisicho.
Maadili ya kweli hayategemei hofu ya adhabu wala ahadi ya thawabu, bali yanajengwa juu ya kuishi kwa hekima, ujasiri, haki na ukiasi — ambayo ni misingi ya maisha yenye lengo kwa mujibu wa asili.
Tunaona pia kwamba ufunuo wa kidini mara nyingi umefungwa ndani ya historia, lugha, na jamii fulani. Ikiwa kweli Mungu ni wa wote na wa haki, kwa nini ajifungie katika lugha ya watu fulani pekee na kuwafanya wengine wengi waanguke nje ya “mpango wa wokovu”?
Kwa nini mtu wa Amazon, au mtoto aliyezaliwa kabla ya maandiko, asiwe na nafasi ya wazi ya ufunuo kama wale wa jamii fulani yenye maandiko hayo? Hili linaibua swali la upendeleo wa kihistoria na kijiografia — ambao kwa hakika hauendani na haki ya kweli.
Ikiwa kweli kuna Maadili ya Juu yanayotoka kwa Mungu, basi maadili hayo yangekuwa ya wazi kwa wanadamu wote, siyo kwa kundi fulani pekee waliopokea “ufunuo” wa kipekee like Ibrahim, Daudi au Suleimani huku kwa kipindi hichohicho wanachofunuliwa hao kuna watu wengine wakiendelea kuishi bila kufunuliwa hayo sehemu nyingine huko duniani - Haki iko wapi?
Kwa hivyo, hoja kuwa Mungu hujifunua kwa kila mtu kwa njia tofauti si suluhisho la tatizo bali ni kuhamisha mzigo wa ushahidi kwa watu.
Ikiwa kweli Mungu yupo, wa haki, na mwenye nia nasi, basi je, si ingekuwa mantiki zaidi kwa Yeye kujifunua kwa njia isiyopingika, ya wazi, ya asili, na inayopatikana kwa kila mtu bila kujali historia au tamaduni au mipaka ya kijiografia?
Dhamiri, kiu ya maana, na mantiki vinatokana na hali ya kuwa binadamu tu mwenye ubongo unaofikiri na kutamani kuwa bora, vimeibuka kwa sababu za kimaumbile na kijamii —na si kama dalili za ufunuo wa kipekee from nowhere.
That's why kila watu wa kutoka jamii na kabila tofauti, watu wa dini tofauti na watu wa falsafa tofauti wananamna yao ya kitofauti ya kutafsiri Dhamiri na kiu ya maana na wana namna yao pekee ya kuelezea maadili kiujumla.
Je, sio kwamba kuishi kwa mujibu wa asili na mantiki ni njia ya uadilifu wa kiakili na kimaadili zaidi kuliko kukubali hitimisho lisilo na ushahidi wa kutosha?
Je, kama kweli kuna ukweli mmoja wa kimungu, kwa nini huo ukweli uonekane kwa tafsiri nyingi zinazokinzana, ambazo kila moja hudai kuwa ndiyo njia pekee?
Na je, kwa nini ukweli huo usiwe wazi kama lilivyo joto la moto au baridi lenye upepo?
Kwanini ukweli wake unahitaji imani pekee, hofu, au kuamini mapokeo maalum yaliyoandaliwa bila ushahidi wowote wa kimazingira, hali au kihisia kuthibitisha uwepo wake?
Unasema eti, "Ulimwengu unaweza kuwa kitu kisicho na chanzo." Halafu hapo hapo unaukataa uwezekano wa Mungu kuwa necessary being, hiyo ni kama kusema "mimi siamini kwenye uchawi, lakini najua kuna wachawi." Unaamini katika kitu kisicho na chanzo, lakini unapinga dhana ya necessary being kwa sababu tu haikupendezi? Hiyo siyo deep thinking bro, hiyo ni intellectual gymnastics.Huo ulazima wa kwamba, lazima kuwe na kitu kisicho na chanzo uliwekwa na nani?
Kama ni hivyo, Hata ulimwengu unaweza kuwa kitu kisicho na chanzo, Pasipo huyo Mungu.
Ulimwengu upo wenyewe kama kitu kisicho kuwa na chanzo.
Hayo ni mawazo yao tu.
Na sio uthibitisho wa kwamba lazima kuwepo necessary being.
Mawazo ya hawa kina Leibniz, Aquinas, William craig lane na huyo Richard Swinburne sio facts bali ni opinions zao tu.
They are entitled to their opinions.
Na wewe kusema Mungu yupo tu, kwa bahati tu bila chanzo, Ni sawa na huohuo mfano wako wa Novel.
Huu mfano wako wa Novel una apply na kwako pia.
Bado Hujathibitisha kwamba Mungu ndio muumbaji wa ulimwengu. Unajaribu kufosi fosi tu kwa arguments zisizo na mashiko.