Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Una uhakika gani kwamba Mungu aliumba ulimwengu?

Au unatetea hoja za kihuni za kutungwa na kina Aquinas zisizo na uthibitisho wala ushahidi wowote ule.

Hao philosophers wako ulio wasoma wana uhakika na uthibitisho upi kwamba Mungu ndio aliumba ulimwengu?

Walimuona akiumba?

Au walifosi mawazo yao uchwara yasiyo na uhakika wala ushahidi?
Hoja zao si ushahidi wa kisayansi, ni attempt za ku-link logic na imani, lakini si lazima zikukolee. Ni sawa na kujaribu kuelezea ladha ya pilipili kwa mtu asiye na ulimi – unaweza ongea sana, lakini mtu hawezi kufeel.

Kwa hiyo, kama unatafuta proof kama ya gravity au DNA, basi hapa uko wrong neighborhood bro. Hapa ni faith meets philosophy, si lab ya physics.
 
Unataka uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu ndiye aliumba dunia?
Ni kipimo gani cha kisayansi kinaweza kumpima Muumbaji wa kipimo?
That's like trying to use a thermometer to measure ambition. It doesn't work.

Science inafanya kazi ndani ya mfumo wa universe ,not beyond it. Kutaka "proof" ya Mungu kisayansi ni kama kuuliza kamera ya CCTV ikuonyeshe nani aliiunda CCTV.

Kama si Mungu, ni nani basi aliumba ulimwengu?

Matter ilijiumba yenyewe?

Energy iliamka asubuhi moja na kusema, "Leo nataka kuwa Galaxy"?

That’s like believing kamusi ilijandika yenyewe baada ya kurushwa hewani na upepo. Hii ni comedy ya quantum level.

Unasema tusitumie vitabu kama Biblia, Quran au Torati kwa sababu ni "uchwara".
Swali dogo:
Kama mtu asiyemuamini Mungu haamini vitabu vya dini, halafu anauliza kuhusu Mungu, si kama kufunga macho na kuuliza kama taa inawaka?

Hauwezi kuthibitisha kuwepo kwa Mungu kama unavyothibitisha uzito wa mawe.

Usipokubali uwepo wake, basi lazima ukubali kwamba dunia hii iliumbwa kwa bahati mbaya iliyo na mpangilio mkali kama msafara wa kijeshi.

That sounds more insane than believing there's a God.

“The absence of proof is not the proof of absence.”
Na kuamini kuwa hakuna Muumba kwa sababu huoni, ni kama kusema "nimefunga macho, hivyo jua halipo.

So before you throw away the idea of God, jiulize: ni busara gani kuamini kuwa “nothing” ilizaa “something” bila sababu, bila mwelekeo, bila nia — halafu ikatufikisha hapa ambapo wewe unataka “uthibitisho”?

Mambo mengine hayataki ushahidi wa maabara ,, yanahitaji unyenyekevu wa akili, sio ujeuri wa lugha.
Kuna sehemu nimekwambia nataka uthibitisho wa kisayansi?

Nimekwambia hivi, una uhakika na uthibitisho upi wa kwamba Mungu ndio aliumba ulimwengu?

Hivi una elewa swali wewe?

Una elewa kiswahili?
 
Hoja zao si ushahidi wa kisayansi, ni attempt za ku-link logic na imani, lakini si lazima zikukolee. Ni sawa na kujaribu kuelezea ladha ya pilipili kwa mtu asiye na ulimi – unaweza ongea sana, lakini mtu hawezi kufeel.

Kwa hiyo, kama unatafuta proof kama ya gravity au DNA, basi hapa uko wrong neighborhood bro. Hapa ni faith meets philosophy, si lab ya physics.
Imani (faith) inaweza kuwa hata ya uongo.

Sasa una uhakika upi kwamba hiyo imani yako ya Mungu ni ukweli hundred percent?

Una uhakika upi kwamba Mungu aliumba ulimwengu?

Hao philosophers wako wana uhakika upi kwamba Mungu aliumba ulimwengu?

Hao philosophers wako walijihakikishia vipi kwamba Mungu ndio kaumba ulimwengu?

Au walifosi tu mawazo yao kama wewe unavyo jaribu kufosi?
 
Kuna sehemu nimekwambia nataka uthibitisho wa kisayansi?

Nimekwambia hivi, una uhakika na uthibitisho upi wa kwamba Mungu ndio aliumba ulimwengu?

Hivi una elewa swali wewe?

Una elewa kiswahili?
God doesn’t need your validation. He’s not campaigning for existence. Kama huamini Yeye yupo, it’s fine—He still believes you exist.

But be careful, denying the sun while staring straight at its light only proves one thing: you've chosen to close your eyes.
 
Ili jambo lithibitike kuwa ni ukweli linahitaji kuwa na sifa gani?
Very strategic question.

Ili jambo lithibitike, linahitaji kuwa na sifa zifuatazo:

  1. Ukweli (Uhalisia) – Lile jambo linapaswa kuwa la kweli kwa msingi wa ushahidi au uhalisia. Lazima liwe linaendana na hali halisi au matokeo ya uchunguzi wa uhakika.
  2. Ushahidi – Kunapaswa kuwepo na ushahidi wa moja kwa moja au wa kisayansi (mfano: vielelezo, ushuhuda wa mashahidi, rekodi, au vipimo vya kisayansi) vinavyolithibitisha jambo hilo.
  3. Uthabiti (Consistency) – Lile jambo linapaswa kuwa na uthabiti wa hoja au matokeo; linapochunguzwa au kujaribiwa mara kwa mara, matokeo yanabaki sawa.
  4. Mantiki (Logic) – Lihusiane kwa namna ya kimantiki. Lisiwe jambo la kubahatisha au linalokwenda kinyume na kanuni za akili na mantiki.
  5. Uwezekano wa kuthibitishwa (Falsifiability/Testability) – Lihusiane na hali ambayo mtu anaweza kulichunguza na kuthibitisha au kulikanusha. Kama jambo haliwezi kuchunguzwa kwa njia yoyote, basi ni vigumu kulithibitisha kisayansi au kiakili.

Kwa mfano, katika sayansi, jambo halitakubaliwa kama halijaonyeshwa kwa njia ya majaribio na uthibitisho wa wazi. Vilevile katika sheria, jambo linathibitishwa kupitia ushahidi na ushuhuda unaokubalika kisheria.
 
If God exists let him come to speak for himself.

Why are you speaking on his behalf?

Did he beg you to speak for him?
 
Ili jambo lithibitike kuwa ni ukweli linahitaji kuwa na sifa gani?
Kikwazo cha kwanza kabisa kupita kuelekea kwenye uthibitisho ni jambo kuwa logically consistent.

Habari ya kuwepo kwa Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote haina logical consistency.

Ukisoma the problem of evil/ Epicurean Paradox inaonesha habari hiyo ya juwapo Mungu ilivyo na contradiction.

Contradiction hiyo inaonesha kuwa habari hii haina uthabiti wa kuwa kweli.
 
Imani (faith) inaweza kuwa hata ya uongo.

Sasa una uhakika upi kwamba hiyo imani yako ya Mungu ni ukweli hundred percent?

Una uhakika upi kwamba Mungu aliumba ulimwengu?

Hao philosophers wako wana uhakika upi kwamba Mungu aliumba ulimwengu?
Kama unahitaji hundred percent certainty kabla ya kuamini kitu, basi huenda hata hujui kama mama yako ni mama yako kweli — unless uwe umewahi kufanya DNA test mwenyewe?

Ukiuliza uhakika wa kwamba Mungu aliumba ulimwengu, ni kama mtu kuuliza uhakika kwamba mwandishi fulani aliandika kitabu wakati anaangalia hicho kitabu mikononi. Ulimwengu una order, complexity, na harmony kiasi ambacho kusema “ilimake tu yenyewe” ni kama kusema iPhone ilijiunda yenyewe baada ya volcano kulipuka karibu na Apple HQ.

Kuhusu philosophers ,hawa jamaa hawakukaa miaka mingi wakivuta bangi ya mawazo tu. Kina Aquinas, Descartes, Leibniz walipiga hesabu nzito and that's why Walisema hivi kwa kifupi

"Anything that begins to exist has a cause. The universe began to exist. Therefore, the universe has a cause — and that cause is something beyond space, time, and matter… which is basically what we mean by God."

But najua itapinga, sasa ukipinga, uje na jibu kabisa kuwa ni kitu gani hicho kilicho anzisha time yenyewe?

Hiyo line yako ya "imani inaweza kuwa ya uongo" ni kama kusema “mapenzi yanaweza kuwa ya uongo,” lakini bado unalia ukiachwa. Kwa hiyo, ikiwa uongo waweza kuwa na nguvu hivyo, vipi kuhusu ukweli? Don’t underestimate genuine faith just because fakes exist — hata pesa bandia zipo kwa sababu kuna original.

Kwa hiyo , kabla hujatupa imani kama karatasi ya toilet, jiulize: Je, hoja zako za kutokuamini zina nguvu kuliko hoja za kuamini? Au unafanya tu “intellectual gymnastics” ili uendelee kula maisha bila accountability?

Imani ya kweli haiji kwa kuona tu, inakuja kwa kufikiri, kutafakari, na kukubali kwamba huwezi kuwa chanzo cha kila kitu kwa akili yako yenye mipaka. Kama huwezi kujieleza ulianzia wapi, usijione mtaalamu wa kueleza ulimwengu ulianzaje.

Na kama bado unauliza uhakika wa Mungu kama vile unatafuta receipt ya creation, basi hujaelewa kwamba faith is not blindness — it’s trust built on reason, not ego

Chew on that.
 
If God exists let him come to speak for himself.

Why are you speaking on his behalf?

Did he beg you to speak for him?
"God doesn't need anyone to speak for Him, but people share their understanding of Him based on faith, experience, and scripture. Just like love or justice, not everything true needs to appear physically to be real.
 
Mateso ni maumivu yanayomgusa mtu ndani au nje, yanayomtengeneza au kumvunja—depending on how he responds.
Kumbe basi, mateso sio kitu (entity) tunachoweza kusema kipo kwa maana kwamba ni moja ya mambo ambayo Mungu aliyaumba ambayo labda yanapita uelewa wetu wa sasa. Lakini yapo kwa maana kwamba watu wanapitia mateso kwa sababu ya kukataa Mungu, kukataa kutambua kwa akili lipi jambo jema la kufanya.
 
Kabla ya kuuliza kama Mungu yupo, tujiulize—tunaposema "Mungu", tunamaanisha nini?

Mungu (kwa muktadha wa mantiki huru) nitaeleza ifuatavyo

Chanzo kisicho na mwanzo, chenye akili au nguvu ya hali ya juu, kinachosababisha kuwepo kwa mpangilio, sheria, na uwepo wa ulimwengu huu.

Hii haimaanishi Mungu wa dini fulani. Inamaanisha:

Chanzo (source) – kitu au hali iliyosababisha kila kitu kilicho hai au kisicho hai.

Kisicho na mwanzo (uncaused) – kwa sababu kila kitu tulichonacho kina chanzo, tunahitaji kujiuliza ikiwa kuna kitu ambacho hakikuanzishwa na kingine.

Chenye akili au nguvu ya mpangilio – si lazima kiwe "kiumbe", lakini kinaonekana kupitia muundo wa akili, sheria thabiti, na utaratibu wa maumbile.

Kwa hiyo, unaweza kuweka dhana hii mezani na kujiuliza:
Je, kuna ushahidi wa "mpangilio" unaoashiria chanzo chenye akili au nia fulani?
Ikiwa ndiyo—unaweza kuchunguza dhana hii zaidi. Ikiwa hapana—basi bado hatuna msingi wa kuendelea mbele.

Dhana ya Mungu inayoweza kuchunguzwa na akili yoyote ni:
“A necessary, possibly intelligent cause of existence and natural order.”
Unatuambia kuhusu "chanzo kisicho na mwanzo chenye akili" kana kwamba hilo ni jambo linaloeleweka, linajulikana au kuthibitishika—lakini je umepataje uelewa huo?

Je, ni utafiti wa kisayansi? Je, ni dhana inayotokana na uchambuzi wa kielimu? au ni muunganiko wa nadharia na Mila ulizorithi?

Umejifunza wapi kuhusu dhana hiyo?

Maana Mungu si kitu kinachofunuliwa wazi wazi lakini kwa maelezo yako bado kiligunduliwa na Je ni nani aligundua?

Umejifunza wapi kuhusu ugunduzi huo?
 
Kumbe basi, mateso sio kitu (entity) tunachoweza kusema kipo kwa maana kwamba ni moja ya mambo ambayo Mungu aliyaumba ambayo labda yanapita uelewa wetu wa sasa. Lakini yapo kwa maana kwamba watu wanapitia mateso kwa sababu ya kukataa Mungu, kukataa kutambua kwa akili lipi jambo jema la kufanya.
Si sahihi kusema kwamba mateso "hayapo" kama entity eti kwa sababu yanatokana na kumkataa Mungu.

Suffering exists as a real experience—watu wanateseka hata wale wanaomwamini Mungu kwa dhati. Biblia yenyewe inaonyesha watu wa Mungu walipitia mateso (mfano, Ayubu). Therefore, mateso hayawezi kuelezwa tu kama consequence ya kumkataa Mungu, bali ni sehemu ya maisha katika dunia iliyoanguka—sometimes for growth, sometimes as a mystery.
 
Very strategic question.

Ili jambo lithibitike, linahitaji kuwa na sifa zifuatazo:

  1. Ukweli (Uhalisia) – Lile jambo linapaswa kuwa la kweli kwa msingi wa ushahidi au uhalisia. Lazima liwe linaendana na hali halisi au matokeo ya uchunguzi wa uhakika.
  2. Ushahidi – Kunapaswa kuwepo na ushahidi wa moja kwa moja au wa kisayansi (mfano: vielelezo, ushuhuda wa mashahidi, rekodi, au vipimo vya kisayansi) vinavyolithibitisha jambo hilo.
  3. Uthabiti (Consistency) – Lile jambo linapaswa kuwa na uthabiti wa hoja au matokeo; linapochunguzwa au kujaribiwa mara kwa mara, matokeo yanabaki sawa.
  4. Mantiki (Logic) – Lihusiane kwa namna ya kimantiki. Lisiwe jambo la kubahatisha au linalokwenda kinyume na kanuni za akili na mantiki.
  5. Uwezekano wa kuthibitishwa (Falsifiability/Testability) – Lihusiane na hali ambayo mtu anaweza kulichunguza na kuthibitisha au kulikanusha. Kama jambo haliwezi kuchunguzwa kwa njia yoyote, basi ni vigumu kulithibitisha kisayansi au kiakili.

Kwa mfano, katika sayansi, jambo halitakubaliwa kama halijaonyeshwa kwa njia ya majaribio na uthibitisho wa wazi. Vilevile katika sheria, jambo linathibitishwa kupitia ushahidi na ushuhuda unaokubalika kisheria.
Kufuatia maelezo hayo mazuri, sasa turudi kwenye hoja yenyewe: neno "Mungu", kwa sabubu hatuwezi kuthibitisha jambo fulani ni ukweli au ni uongo bila kujua nini maana ya jambo hilo.

Neno "Mungu" maana yake ni nini au Mungu ni nini?
 
Unatuambia kuhusu "chanzo kisicho na mwanzo chenye akili" kana kwamba hilo ni jambo linaloeleweka, linajulikana au kuthibitishika—lakini je umepataje uelewa huo?

Je, ni utafiti wa kisayansi? Je, ni dhana inayotokana na uchambuzi wa kielimu? au ni muunganiko wa nadharia na Mila ulizorithi?

Umejifunza wapi kuhusu dhana hiyo?

Maana Mungu si kitu kinachofunuliwa wazi wazi lakini kwa maelezo yako bado kiligunduliwa na Je ni nani aligundua?

Umejifunza wapi kuhusu ugunduzi huo?
Uelewa wa Mungu hautokani na utafiti wa kisayansi, kwani sayansi inachunguza vitu vinavyoonekana na kupimika. Mungu, kwa asili ya dhana hiyo, ni metaphysical—yani yuko juu au nje ya ulimwengu wa kimaumbile.

Chanzo cha dhana hiyo ni mchanganyiko wa:

Nadharia za kifalsafa: Wanafalsafa kama Aristotle walizungumza juu ya “The Unmoved Mover” – kilichoanzisha kila kitu bila chenyewe kuanzishwa.

Imani za kidini na tamaduni. Mila na maandiko ya dini nyingi kama Uyahudi, Ukristo, na Uislamu humuwasilisha Mungu kama chanzo cha kila kitu, mwenye akili, asiye na mwanzo wala mwisho.

Uchunguzi wa kiakili (reasoning). Baadhi ya watu hufikia wazo la Mungu through logical inference—kama vile hoja ya "First Cause" (Sababu ya kwanza) au "Design Argument" (Hoja ya mpangilio).

Mimi nimejifunza kuhusu dhana ya Mungu kutoka kwenye baadhi ya maandiko,, vitabu vya falsafa, Biblia, maandiko ya kihistoria, na mijadala ya kisayansi na kijamii.

Kwahiyo Mungu hakugunduliwa kama sayari mpya—bali ni dhana iliyojengwa, kupitishwa, na kuboreshwa na vizazi vya wanadamu kupitia tafakari, imani, na uzoefu wa ndani.

God is not seen with eyes, but sensed through reason, spirit,
and tradition.

UMEELEWA??
 
Si sahihi kusema kwamba mateso "hayapo" kama entity eti kwa sababu yanatokana na kumkataa Mungu.

Suffering exists as a real experience—watu wanateseka hata wale wanaomwamini Mungu kwa dhati. Biblia yenyewe inaonyesha watu wa Mungu walipitia mateso (mfano, Ayubu). Therefore, mateso hayawezi kuelezwa tu kama consequence ya kumkataa Mungu, bali ni sehemu ya maisha katika dunia iliyoanguka—sometimes for growth, sometimes as a mystery.
I agree.
Though my point is that God didn't create sufferings or evils. Suffering exists not as an entity but as men results.
 
I agree.
Though my point is that God didn't create sufferings or evils. Suffering exists not as an entity but as men results.
Absolutely true,,God didn't create suffering as an entity,,mateso ni matokeo ya uchaguzi wa mwanadamu.

Uovu na mateso havikuumbwa kama vitu halisi, bali ni consequences za mwanadamu kuamua kuishi mbali na mapenzi ya Mungu.
 
Maisha ni shobo zako mwenyewe ,kiufupi maisha ni biashara ya upatu tena pyramid schemes au ponzi scheme ..Mtu anazaa ili wengine wanaendelea kuzaani huko chini kama wajinga bila hata kufirikia yule anayemzaa atakumbana na mitihani ila mwisho wa siku atakufa tu haina ubishi.

Kiufupi dunia kote hata kwa wanyama ni matatizo ,kuna jamii kama nyumbu kazi yao kuliwa ila bado wanazaa tena wako wengi zaidi hapa utajua hata binadamu ni wajinga ...Bado maisha ni magumu ila bado wanazaana kama wathenge.

Kiufupi Maisha yapo kwa sababu umeyapa maana ila maisha ni mateso na ujinga ,na aliyeleta huu mfumo wa maisha haya ya sasa ni Mthenge mkubwa kabisa ..
Hili limeniliza sana
Hili limeniumiza sana
Awamu hii nimeumia sana
Mungu wangu nisaidie eeh
Mbona umeniacha sana
Katika hili nimeumia sana aaah
Nakiri nakuhitaji sana
Mungu wangu nisaidie eeeh
 
Back
Top Bottom